kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,237
- 17,675
waduwaaIvi hapo pichani wanaomkaribisha, wanapomtazama fikra gani zinawajia kichwani mwao?
Haswa huyo jamaa aliyevaa suti na tai ya mistari! cheki anavyomtafakari?Ivi hapo pichani wanaomkaribisha, wanapomtazama fikra gani zinawajia kichwani mwao?
mzee wa totoz
Mtoto mdogo mwili jumba...., anyway, ningemheshimu kama angekuwa hafanyi udhalilishaji dhidi ya wanawake nchini mwake.Wengi wanamshangaa..
Jamaa anauonyesha uafrika..
Haswa huyo jamaa aliyevaa suti na tai ya mistari! cheki anavyomtafakari?