Elections 2010 Kinana na Dr Slaa - Live Star TV

Kinana amekubalije wakati wamesema CCM inakubalika na hawana haja ya midahalo. Heri CCM ifie mikononi mwa Kikwete.
 
Ni baada ya kudai kuwa Dr Slaa hawezi kutoa elimu na afya bure kwa kuwa ameshindwa kufanya hivyo kwenye shule mbalimbali alizozianzisha.

Na ktk hospital ambayo Slaa ni mwenyekiti ya hospital hiyo, Dr Slaa alisema yeye hajawahi kukusanya kodi ya watanzania na CCM ndio wanaochukua kodi ya watanzania, sasa yeye angeweza vp wakati hakusanyi kodi? Dah, hii kali kodi mkusanye nyie tena elimu na afya bure atoe Slaa ambaye hakusanyi kodi kwel?

Ni haibu kwa kinana kumtaka Slaa atoe elimu na afya bure wakati kodi wanakula CCM...
 
Slaa angempa mfano wa Halmashauri ya Tarime, mbona wameweza kutoa elimu bure.
 
Uwezo wakufikili mdogo, nilisikia mgombea mwngine wa ccm anasema eeeti watatoaje elimu bure wakati pesa za kampeni wanachangisha, nikaona uelewa wa wagombea ni mdogo sana anafikili chama ndo kinapesa ya kutoa elimu bure, ndomaana wanaweka mabango mengi waonekane wanapesa kibao!
 
uwezo wakufikili mdogo, nilisikia mgombea mwngine wa ccm anasema eeeti watatoaje elimu bure wakati pesa za kampeni wanachangisha, nikaona uelewa wa wagombea ni mdogo sana anafikili chama ndo kinapesa ya kutoa elimu bure, ndomaana wanaweka mabango mengi waonekane wanapesa kibao!

Nyie hamjui jinsi Kinana alivyokuwa Kilaza? yaani anakurupuka tuuuuu. Anajibu kwa Jazba yaani utamuonea huruma.Mweeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nashukuru tu hata kwa kumpata huyo Kinaa, sorry Kinana, something is better than noting, naskia kawa mpole kuliko maji kwenye mtungi na kuna baadhi ya nyakati anaweweseka akiongea hajui aongee nini, maskini weee
 
Aifunikwa na akakubali kufunikika..! Mifano ya watoto wa shule ya chekechea kabisa ile..Shame upon Kinana na chama cha mapunguani wenzie
 
uwezo wakufikili mdogo, nilisikia mgombea mwngine wa ccm anasema eeeti watatoaje elimu bure wakati pesa za kampeni wanachangisha, nikaona uelewa wa wagombea ni mdogo sana anafikili chama ndo kinapesa ya kutoa elimu bure, ndomaana wanaweka mabango mengi waonekane wanapesa kibao!

Muwasamehe CCM wote siyo kama wanaupeo mdogo ila wanajua bado watanzania nia wale wale wa enzi za mwalimu ambao hawana elimu ya kupambanua mambo wanahisi kila watakalosema sisi tutalipokea tu na kushangilia. Ndiyo maana unaweza kuona waziri mwenye dhamana anapinga hoja ya elimu bure kwa kutoa points weak kabisaaaa kama kamara. Wazarauni na achaneni nao ila tarehe 31 mkumbuke kwenda kumpigia kura dr slaa hapo mtakua mmefanya la maana
 
Yale mamilioni yaliyokuwa yanalipwa kwaajili ya umeme kila siku,,hayawezi kusomesha walalahoi kweli?
 
sasa uyo kinana anaongea nini kwel CCM wamefulia yani wanamtuma mkimbizi kwenye mdahalo???
nazani mwamfam uyo kanananananana ni mkimbizi ndomana hagombei kitu nchini
 
sasa uyo kinana anaongea nini kwel CCM wamefulia yani wanamtuma mkimbizi kwenye mdahalo???
nazani mwamfam uyo kanananananana ni mkimbizi ndomana hagombei kitu nchini
 
Namuona Dr hapa star tv mza huku Jk kakacha na kumsukumia jukumu la mdahalo Kinana. Hii ni dhahiri kuwa Jk anamgwaya Dr wa ukweli. Nawasilisha.

Wakati Kinana na Profesa Baregu walipokuwa wanaojiwa na BBC Kiswahili Service Kinana alitamka wazi kwamba Dr. Slaa size yake si Kikwete. Alitamka hayo pale Baregu alipomuambia KInana kwamba inabidi JK akutane ana kwa ana na wale walio saizi yake lakini KInana akasema kwamba Slaa si saizi ya Kikwete kv JK ni most experienced person in the field of leadership!! Hatimae, maneno ya Kinana yametimia kwamba size ya akina Slaa ni mtu kama KInana na sio JK!!!
 
jamani tuwekeeni habari vizuri basi...mnaturusha roho wengine tulishafika officne saiz!
 
Kikwete hatakaa aje aweze kuhimili mjadala kama ule hata akiishi mika 1000!, pamoja na Mabuga kumbeba sana kinena lakini slaa alikuwa imara mno!..........
 
Wakati Kinana na Profesa Baregu walipokuwa wanaojiwa na BBC Kiswahili Service Kinana alitamka wazi kwamba Dr. Slaa size yake si Kikwete. Alitamka hayo pale Baregu alipomuambia KInana kwamba inabidi JK akutane ana kwa ana na wale walio saizi yake lakini KInana akasema kwamba Slaa si saizi ya Kikwete kv JK ni most experienced person in the field of leadership!! Hatimae, maneno ya Kinana yametimia kwamba size ya akina Slaa ni mtu kama KInana na sio JK!!!

Bila wasiwasi wowote JK ndiyo Rais kihiyo kuliko wote tuliowahi kuwapata. Kuongea na Obama tu alihitaji kusoma karatasi. PhD kapewa mezani. Kwa ufupi yupo kwa vile amekuwepo.

Kwa nini akubali kujadili na kinana? Simple...ni nafasi nyingine ya kuwafikia watanzania wote bila kulipia gharama na kuwapa data ya jinsi CCM inavyotafuna nchi bila huruma.

Mnataka mtu ajenge hospitali na kulipa gharama zote wakati nyie mnawakamua watanzania...ili ni swala la IQ (upeo) na CCM hamnazo

Kuogopa midahalo ni ishara ya kutojihamini lakini zaidi JK akiogopa kudondoka hadharani maana pale bodyguard wanakaa distance kidogo na hakuna mike za kumsupport
 
Back
Top Bottom