Elections 2010 Kinana na Dr Slaa - Live Star TV

Dr Slaa kamfunika vibaya huyu ndondocha wa CCM. Sijui bwana Kinena alipata kwanza mirungi kabla ya kuja hapo? Maana anabwabwaja tu bila umakini wowote.

Vote for Slaa, Kinena!
 
Huyu kinena vp? Eti shule zina walimu na vitabu, eti sasa mwalimu 1 kwa wanafunzi 54

Huyu kinena ana wazimu, mke wangu mtarajiwa ni mwalimu wa shule flan ya sirikali jijini DSM, kila cku hamalizi kusahisha madaftari ya mkondo m1 2, huu ni wehu wa uyu kinena. Kwel akili ni nywele, na kichwa chenye mvi ni hekima tosha!
 
hilo neno MABUGA tu inatosha kufikisha ujumbe, msiumie sana wazee, kinena kajipatia na mke star tv
 
Wandugu, kwanza mimi nilipata mashaka tangu awali niliposikia kuwa kutakuwa na mahojiano 'live' kwenye kituo cha StarTv. Sababu ni moja tu, kituo hicho kinamilikiwa na kada wa sisi m anayejipachika cheo cha Dr. kama ilivyo kwa kinara wao 'njaa kali'. Kama hivyo, ndivyo, ninyi mlitarajia nini???? Hicho chama ni mabingwa (duniani) kwa uchakachuaji. Wasingekubali mahojiano yamnufaishe Rais wetu Mtarajiwa Dr. Slaa badala ya fisadi wao. Lakini kwa mtazamo wangu wamenoa kwani kwa mtu msomi wa karba ya Slaa hiyo ndiyo ilikuwa fursa muafaka ya kuonesha usomi wake. Alibaini mwelekeo wa 'watangazaji njaa' na kuwa-control vizuri. Angekuwa amebanwa hivyo 'msomali', angepanda hasira za kiharamia.

Wandugu, tusikatishwe tamaa na mbinu za kifisadi wenye maajenti hadi kwenye vyombo vya habari. Mwaka huu ni wetu na nchi inarudi mikononi mwetu wanyonge. Tukaze buti na kampeni zetu kwa ndugu na jmaa ziendelee kwa nguvu zote ili hatimaye tuwaondoea mafisadi warudi kuongoza familia zao, kama walivyosema kuwa urais ni suala la kifamilia.

Paul Mabuga, anza kutafuta nchi utakayoishi baada ya Rais wetu mpya kuapishwa mbele ya umati mkubwa wa wazalendo Jijini Dar.

Pipoooooooooooooz ...........
 
Hahahahahahaha kazi kweli kweli lazima kuzingatia weledi sio
mapenzi kwa chama cha siasa au maelekezo ya mmiliki wa kituo cha TV
 
What if kwenye mikutano ya kampeni ya Slaa kungekua na mabango yanayosomeka "DR WA UKWELI SLAA"
 
Mtangazaji mwenyewe hana upeo wowote sikufurahishwa na kiwango chake cha uelewa na elimu yake kupewa jukumu la kuendesha kipindi muhimu kama hicho.
Star TV nani asiyejua Ni Kituo cha wale wale
Slaa yuko Juu ..tunahitaji mabadiriko Tanzania
 
Mnajua CCM wanaamini kwamba Abdulrahman Omar Kinana amesoma zaidi ya JK ambaye amesome pale Mlimani tu. Kwa vile CV yake inaonyesha he holds a Bachelor Degree in Political Science and International Relations from the Ljubiliana University in Yugoslavia and a Masters in Management and Public Administration from Harvard University in the United States.
 
Dr Slaa kamfunika vibaya huyu ndondocha wa CCM. Sijui bwana Kinena alipata kwanza mirungi kabla ya kuja hapo? Maana anabwabwaja tu bila umakini wowote.

Vote for Slaa, Kinena!

CCM kweli wanajua kuchagua, yaani ilikuwa kama Dr.Slaa amewekwa na taahira kwenye mdahalo.

Kweli unapomtetea JK kwa jinsi alivyoboronga lazima uonekane kama una mtindio wa ubongo.

Hivi kama huyo ndo kati ya 'top cream' wa CCM ambaye ameonekana kuwa bora kuliko JK aliyekimbia midahalo sasa swali je hiyo 'top cream' yao mbona mbele ya CHADEMA imekuwa kama matapishi ya fisi????????????

HALAFU MTANGAZAJI NA UPENDELEAJI WAKE KAJIAIBISHA MNO. YAANI MTANGAZAJI WA STAR TV ALIONEKANA KAMA KINDA LA KUNGURU LIKIKANYAGWA NA TRENI, HUKU LIKIJARIBU KUPAMBANA NA TRENI.
 
MABUGA ajifunze kwa yule dada aliyeendesha mdahalo wa ITV jana, anazidiwa upeo na mwanamke, NYAMBAFU ZAKE NA KINAA or sorry i mean KINENA WAKE.
 
CCM wanadharau saana, sasa ndo nini kumtuma Kinana wakati mgombea uraisi yupo au anogopa maswali ya papo kwa papo?? this is unfair. VOTE fOR chadema:thumb:
 
Back
Top Bottom