Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
kinana atampigia kura Slaa
kinana atampigia kura Slaa
Hata yeye amesikitika kuwekwa na kinana, lakini amesema ataendelea kumwaga sera, hawa waongoza kipindi mbona wanampa Kinana muda mrefu halafu hawamkatishikatishi kama Slaa.Aaaaah,huu ni mdahalo vile eh?
wame ufanya kama mdahalo bila wenyewe kujijua na ni udhalilishaji huu kumuweka na kinana hapa
KInana kasema mwenyewe hivyo au umetia chumvi mkuu.
KInana kasema mwenyewe hivyo au umetia chumvi mkuu.
slaa yuko mwaza, kinana yuko darAisee mbona slaa wamemkata anaongea kinana tu,niaje hapa..