Elections 2010 Kinana atoa kali!

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,366
6,492
Kinana amesema REDET kusema JK anaporomoka katika maoni ya wananchi ni 'fair' lakini ni sio 100% correct. Huyu jamaa simuelewi kabisa kwani anakubali na kukataa wakati huo huo, hivi ana uwezo kweli wa hali ya juu wa kufikiri?

Anasema ilibidi JK apate asilimia 80, mara 90 ambao ndio ushindi wao mwaka huu. Pia alisema kwenye majimbo ambayo wana uhakika kama Mvomero. Hivi huu uhakika wameutoa wapi, au tayari wana maboksi yenye kura zilizokwisha kupigwa? Au ndio tayari ile mbinu ya kuwaonga mawakala imekamilika? Au ndio mambo ya Shekh Yahya hayo?
 
Redet wahuni tuu,hawana ukweli wowote.Rbu nambie kati yenu nu nani aliyehojiwa na hao red -et na kuwa miongoni mwa waliochukuliwa kama mfano?
 
Huyu kinana naona naye anataka kuwa kama Shekh Yahaya. Anaongea vitu ambavyo vimekaa ki-majini majini!
 
Back
Top Bottom