Wambugani
JF-Expert Member
- Dec 8, 2007
- 1,757
- 276
Dola elfu60 alikuwa nazo ndani?
Basi Kinana ni bilionea aisee!
Hiyo ni kiasi cha 'pocket money'. Hujawahi kusikia 'vijisenti'
Dola elfu60 alikuwa nazo ndani?
Basi Kinana ni bilionea aisee!
Habari za uhakika zilizonifikia ni kwamba, Kinana amepata balaa kubwa baada ya mfanyakazi wake wa ndani kumuibia kiasi cha dola elfu 60, taarifa zinasema kuwa kijana huyo mwenye asili ya mkoa wa iringa yuko sasa hivi ktk kituo cha polisi mabatini, na tayari alikuwa ameshanunua gari moja ain ya vitz na pikipiki 3 na nyumba maeneo ya mbagala, gari na pikipiki bado zinashikiliwa na polisi na nyumba bado muuzaji anatafutwa ili arudishe pesa.
Muuzaji wa nyumba ni kijana wa kichaga na ameapa hawezi kurudisha pesa. Kwanini mtu msomi kama yule aweke kiasi kikubwa cha pesa nyumbani kwake?
Kwa uhakika zaidi juu ya suala hili ampigie mkuu wa kituo cha Mabatini hapo Kijitonyama
Basi biashara ya pembe za ndovu itakuwa inalipa sana.Hiyo ni kiasi cha 'pocket money'. Hujawahi kusikia 'vijisenti'
thread za uzushi na uwongo uliokithiri wenye kulenga kumchafua mtu na kuishusha hadhi yake zinaihribia JF na kuonekana na moja miongoni mwa medias zinazotumiwa kimkakati katika kuchafua viongozi wa Chama na serikali. Jambo hili ni baya na linaloleta tafsir mbaya mbele ya jamii, ni vibaya mno media kutumika kwa maslahi ya mtu au kikundi. Mods thread hizi za namna hii kwanini zipewe nafasi hapa JF..?
Heri dogo kafanya hivyo, wale tembo ni wetu sote..
Mbowe amewatuma vijana wake wa kazi
thread za uzushi na uwongo uliokithiri wenye kulenga kumchafua mtu na kuishusha hadhi yake zinaihribia JF na kuonekana na moja miongoni mwa medias zinazotumiwa kimkakati katika kuchafua viongozi wa Chama na serikali. Jambo hili ni baya na linaloleta tafsir mbaya mbele ya jamii, ni vibaya mno media kutumika kwa maslahi ya mtu au kikundi. Mods thread hizi za namna hii kwanini zipewe nafasi hapa JF..?
Natumaini huna maana hii si habari au tukio kama mengine ndani ya jamii. Pia nadhani Kinana ni tatizo kubwa kichama, kiserikali na kijamii chukueni hatua. Unajua dola zinapofutikwa chumbani kwa mtu zinasababisha dhamani ya shilingi kuyumba? Huyo kijana kajitahidi kuziosambaza tu; ila njia aliyotumia ya wizi si nzuri, angalau angetumia ambayo ingemstiri zaidi.thread za uzushi na uwongo uliokithiri wenye kulenga kumchafua mtu na kuishusha hadhi yake zinaihribia JF na kuonekana na moja miongoni mwa medias zinazotumiwa kimkakati katika kuchafua viongozi wa Chama na serikali. Jambo hili ni baya na linaloleta tafsir mbaya mbele ya jamii, ni vibaya mno media kutumika kwa maslahi ya mtu au kikundi. Mods thread hizi za namna hii kwanini zipewe nafasi hapa JF..?
thread za uzushi na uwongo uliokithiri wenye kulenga kumchafua mtu na kuishusha hadhi yake zinaihribia JF na kuonekana na moja miongoni mwa medias zinazotumiwa kimkakati katika kuchafua viongozi wa Chama na serikali. Jambo hili ni baya na linaloleta tafsir mbaya mbele ya jamii, ni vibaya mno media kutumika kwa maslahi ya mtu au kikundi. Mods thread hizi za namna hii kwanini zipewe nafasi hapa JF..?
ina maana zilichukuliwa muda mrefu Kinana halikuwa hana habari,mpaka huyo kijana akafikia kununua gari,pikipiki,nyumba,inaonyesha kwamba hivyo vijidola vilikuwa vimewekwa kama vijisenti tu, ndaniHabari za uhakika zilizonifikia ni kwamba, Kinana amepata balaa kubwa baada ya mfanyakazi wake wa ndani kumuibia kiasi cha dola elfu 60, taarifa zinasema kuwa kijana huyo mwenye asili ya mkoa wa iringa yuko sasa hivi ktk kituo cha polisi mabatini, na tayari alikuwa ameshanunua gari moja ain ya vitz na pikipiki 3 na nyumba maeneo ya mbagala, gari na pikipiki bado zinashikiliwa na polisi na nyumba bado muuzaji anatafutwa ili arudishe pesa.
Muuzaji wa nyumba ni kijana wa kichaga na ameapa hawezi kurudisha pesa. Kwanini mtu msomi kama yule aweke kiasi kikubwa cha pesa nyumbani kwake?
Kwa uhakika zaidi juu ya suala hili ampigie mkuu wa kituo cha Mabatini hapo Kijitonyama
Mkuu hili tukio limetokea, na kijana aliyeuza nyumba, amelipwa pesa nusu, milioni 35, anadai ml 30. na yeye anasema hawezi kurudisha pesa ila wakitaka wammalizie pesa wachukue nyumba. wakishindwa basi imekula kwaoMkuu kama unaujua Ukweli ni bora kutueleza kuliko kusema ni ya kumchafua mtu, halafu hausemi ukweli halisi au usafi halisi ndio upi...
Je ameibiwa au hajaibiwa? Kama kaibiwa ni dola elfu 60 au pungufu ya hapo? Na je Kinana anakaa na hela zote hizo nyumbani kwa maslahi gani?
Pia kumbuka jamaa wakishuka na RB namba hapa utajikuta unaaibika wewe mwenyewe, labda mkafute kesi kimya kimya