Kinana aibiwa nyumbani kwake

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,865
2,439
Habari za uhakika zilizonifikia ni kwamba, Kinana amepata balaa kubwa baada ya mfanyakazi wake wa ndani kumuibia kiasi cha dola elfu 60, taarifa zinasema kuwa kijana huyo mwenye asili ya mkoa wa iringa yuko sasa hivi ktk kituo cha polisi mabatini, na tayari alikuwa ameshanunua gari moja ain ya vitz na pikipiki 3 na nyumba maeneo ya mbagala, gari na pikipiki bado zinashikiliwa na polisi na nyumba bado muuzaji anatafutwa ili arudishe pesa.

Muuzaji wa nyumba ni kijana wa kichaga na ameapa hawezi kurudisha pesa. Kwanini mtu msomi kama yule aweke kiasi kikubwa cha pesa nyumbani kwake?

Kwa uhakika zaidi juu ya suala hili ampigie mkuu wa kituo cha Mabatini hapo Kijitonyama
 
Huenda hizo zilikuwa hela za kununulia MZIGO, ha ha haaaa, kumbe MWOSHA NAYE HUOSHWA....

Au la huenda wamembambikizia kesi huyo kijana kwa kuwa anajua siri juu ya hizi biashara anazofanya Kinana, maCCM hawaaminiki kabisa.

attachment.php


Kinana Strikes Again
 
Mfanyabiashara wa madini,magari ya deal ,copper,shaba,tanzanite,meno ya tembo huwa hawaweki hela bank koz deal zao zinahitaji hela mda wowote hata usiku wa manane.........


mshauri asamehe tu ndiyo sawabu hizo,kwani muosha huoshwa
 
Huyo kijana wa Iringa naye ni poyoyo kweli. Yaani aliiba halafu akaanza kujizungusha nazo hapohapo? Kweli unaiba hela zote hizo halafu unaanza kununua gari na nyumba hapa hapa Dar? Huu ni umburula uliopindukia.

Kuhusu Kinana kuweka kiasi kikubwa hivyo cha pesa nyumbani, haishangazi, maana hakuna anayejua kama ni hela halali. Naamini ingekuwa halali ingekaa bank.
 
thread za uzushi na uwongo uliokithiri wenye kulenga kumchafua mtu na kuishusha hadhi yake zinaihribia JF na kuonekana na moja miongoni mwa medias zinazotumiwa kimkakati katika kuchafua viongozi wa Chama na serikali. Jambo hili ni baya na linaloleta tafsir mbaya mbele ya jamii, ni vibaya mno media kutumika kwa maslahi ya mtu au kikundi. Mods thread hizi za namna hii kwanini zipewe nafasi hapa JF..?
 
thread za uzushi na uwongo uliokithiri wenye kulenga kumchafua mtu na kuishusha hadhi yake zinaihribia JF na kuonekana na moja miongoni mwa medias zinazotumiwa kimkakati katika kuchafua viongozi wa Chama na serikali. Jambo hili ni baya na linaloleta tafsir mbaya mbele ya jamii, ni vibaya mno media kutumika kwa maslahi ya mtu au kikundi. Mods thread hizi za namna hii kwanini zipewe nafasi hapa JF..?
Mkuu usitokwe na povu bure, si upige kwa mkuu wa kituo uulize?
 
Hapo ukute lwakatare aliwatuma vijana wake akina sa8 wakamteke wamlishe sumu walipoona dolari wakatoka kwenye lengo
 
thread za uzushi na uwongo uliokithiri wenye kulenga kumchafua mtu na kuishusha hadhi yake zinaihribia JF na kuonekana na moja miongoni mwa medias zinazotumiwa kimkakati katika kuchafua viongozi wa Chama na serikali. Jambo hili ni baya na linaloleta tafsir mbaya mbele ya jamii, ni
vibaya mno media kutumika kwa maslahi ya mtu au kikundi. Mods thread hizi za namn
a hii kwanini zipewe nafasi hapa JF..?
Sasa wewe kibaraka wa magamba unabwata hapa kwa buku 7 mwenzako ana dollar 60 elfu mchagoni wewe umejaza kunguni halafu unatoka mapovu hapa....kuna mtu asiejua kwamba kinana ni jangili??Hizo pesa unadhani ni mshahara wa masisiem??tumieni akili kufikiri na sio masaburi.
 
Hainishangazi kuona hela haramu ikikaa nyumbani,ukijiuliza majibu yake ni rahisi sana kwa mtu wa hadhi ya Kinana kuweka kiwango kikubwa cha pesa nyumbani kwake kiasi cha mfanyakazi kuweza kukifikia na kuchukua.
 
Back
Top Bottom