kapotolo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 3,727
- 2,221
Mkuu hii 'joke' haichekeshi tena. Tafuta nyingine utuvunje mbavu.Hapo ukute lwakatare aliwatuma vijana wake akina sa8 wakamteke wamlishe sumu walipoona dolari wakatoka kwenye lengo
Mkuu hii 'joke' haichekeshi tena. Tafuta nyingine utuvunje mbavu.Hapo ukute lwakatare aliwatuma vijana wake akina sa8 wakamteke wamlishe sumu walipoona dolari wakatoka kwenye lengo
Jiheshimu wewe kilaza, CHADEMA inahusikaje hapo. Huwezi kukurupuka hapa na kusema tuhuma za wana CHADEMA bila kutueleza ukweli ukoje. Mmezoea kusema hata UJANGILI wa KInana ni tuhuma za kisiasa huku Tembo 30 wanauwawa kila siku. Acheni hizo bana...
ndio maana shilingi yetu inashuka thamani kila siku,viongozi wa ccm wanathamini dola kuliko shilingi hata adam malima sii aliibiwa dola 4000 na changu morogoro!dola 60,000 nyumbani za nini kama sio za kulipia ma deal ya chap chap?mwaka 1983 dola 1 ilikuwa sawa na shilingi 12.leo ni shilingi 1625
Mkuu unatumia masburi kufikiri? kama unajua kuandika iweje usijue kusoma. nimesema mabatini kijitonyama, au songea napo kuna kijitonyama?kwanza hicho kituo cha mabatini sina uhakika ni kipi. maana hapa songea tuna kituo cha polisi cha mabatini. sijui ndo hicho? hiyo namba ya simu mbona hujaiweka ili tuwapigie tupate ufafanuzi wa hilo?
KWA MARA NYINGINE TENA, UZUSHI UNAPOGEUZWA ZANA YA KUPAMBANA KISIASA.
Muda mchache uliopita kumekuwepo na taarifa za kutungwa na uzushi ambao umeanzia hapa JF na kuzungushwa katika mitandao mingine ya kijamii k.v facebook na twitter ambazo zinadai Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahaman Kinana amepatwa na mkasa wa kuibiwa kiasi cha dola za kimarekani elfu sitini na mfanyakazi wake wa ndani.
Taarifa hiyo aina ukweli hata chembe, ni uzushi ambao unalenga katika kumchafua na kumjengea tafsir hasi Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, ndugu Kinana. Hakuna mfanyakazi yeyote wa ndani ama mlinzi ambae ametuhumiwa kuiba si tu kwa Kinana lakini hata sehemu nyingine yeyote. Pia hakuna mtuhumiwa yeyote aliyefikishwa katika kituo cha polisi cha mabatini kwa kuhusishwa na wizi wa pesa kiasi hicho kutoka sehemu yeyote na pia hakuna kesi yeyote ambayo imefunguliwa kwa yeyote kuhusiana na shitaka la namna hiyo.
Huu ni uzushi na unapigiwa chapuo na kuchangiwa na watu wenye nia mbaya na wenye mkakati wa kumshambulia katibu mkuu kwa malengo yao binafsi hasa malengo hayo yakihusiana na dhamana ya cheo alichonacho ndugu Kinana yaani Ukatibu Mkuu wa Cham Cha Mapinduzi, hivyo uzushi na uwongo huu una mlengwa wa kisiasa. Ni aibu kubwa kwa mwanasiasa ama chama cha siasa kutumia uzushi, uzandiki na fitina kama silaha yao na mbinu ya kujijengea umaarufu na kujitangaza kwa wananchi.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Habari za uhakika zilizonifikia ni kwamba, Kinana amepata balaa kubwa baada ya mfanyakazi wake wa ndani kumuibia kiasi cha dola elfu 60, taarifa zinasema kuwa kijana huyo mwenye asili ya mkoa wa iringa yuko sasa hivi ktk kituo cha polisi mabatini, na tayari alikuwa ameshanunua gari moja ain ya vitz na pikipiki 3 na nyumba maeneo ya mbagala, gari na pikipiki bado zinashikiliwa na polisi na nyumba bado muuzaji anatafutwa ili arudishe pesa.
Muuzaji wa nyumba ni kijana wa kichaga na ameapa hawezi kurudisha pesa. Kwanini mtu msomi kama yule aweke kiasi kikubwa cha pesa nyumbani kwake?
Kwa uhakika zaidi juu ya suala hili ampigie mkuu wa kituo cha Mabatini hapo Kijitonyama
Kijana aliyeuza nyumba anaitwa SHIRIMA. Endeleeni kutoa tu mapovu, maana kila la ukwali mnapinga. kama una simu piga kituoni kwa sababu kijana hajapata dhamana leo ni siku ya 6tuna haki ya kujua maana huu ni upotoshaji mkubwa. kama wewe ndo mleta uzi basi tufafanulie zaidi maana kuna mwingine anasema kuwa aliyeibiwa ni mkazi wa tegeta kwa ndevu
thread za uzushi na uwongo uliokithiri wenye kulenga kumchafua mtu na kuishusha hadhi yake zinaihribia JF na kuonekana na moja miongoni mwa medias zinazotumiwa kimkakati katika kuchafua viongozi wa Chama na serikali. Jambo hili ni baya na linaloleta tafsir mbaya mbele ya jamii, ni vibaya mno media kutumika kwa maslahi ya mtu au kikundi. Mods thread hizi za namna hii kwanini zipewe nafasi hapa JF..?
Mkuu unatumia masburi kufikiri? kama unajua kuandika iweje usijue kusoma. nimesema mabatini kijitonyama, au songea napo kuna kijitonyama?
Umempigia mkuu wa kituo Mabatini akakuambia ni uongo? Mbona mnamtetea sana Kinana kwa kila kinachosemwa dhidi yake bila hata kuchunguza? Kuwa na fedha sio jambo baya,ila kuweka fedha nyingi nyumbani badala ya Bank ndio shangao. Viongozi haohao ndio wanahimiza watu waweke fedha bank kisha wao wana weka nyingi nyumbani kwa nini? Ana biashara gani ya kuhitaji cash yote hiyo kukaa nyumbani?thread za uzushi na uwongo uliokithiri wenye kulenga kumchafua mtu na kuishusha hadhi yake zinaihribia JF na kuonekana na moja miongoni mwa medias zinazotumiwa kimkakati katika kuchafua viongozi wa Chama na serikali. Jambo hili ni baya na linaloleta tafsir mbaya mbele ya jamii, ni vibaya mno media kutumika kwa maslahi ya mtu au kikundi. Mods thread hizi za namna hii kwanini zipewe nafasi hapa JF..?
tuna haki ya kujua maana huu ni upotoshaji mkubwa. kama wewe ndo mleta uzi basi tufafanulie zaidi maana kuna mwingine anasema kuwa aliyeibiwa ni mkazi wa tegeta kwa ndevu
..... na nyumba bado muuzaji anatafutwa ili arudishe pesa.
Kijana aliyeuza nyumba anaitwa SHIRIMA. Endeleeni kutoa tu mapovu, maana kila la ukwali mnapinga. kama una simu piga kituoni kwa sababu kijana hajapata dhamana leo ni siku ya 6
Kijana aliyeuza nyumba anaitwa SHIRIMA. Endeleeni kutoa tu mapovu, maana kila la ukwali mnapinga. kama una simu piga kituoni kwa sababu kijana hajapata dhamana leo ni siku ya 6