Kinana aibiwa nyumbani kwake

Kinana aibiwa nyumbani kwake

Kwa anayejua kilo moja ya meno ya tembo ni $ ngapi atuambie ili tujue $ elfu 60 ni wastani wa meno mangapi-tembo wangapi!!!!
 
una internet access.....tafuta kiwango cha dola 1 kwa tsh halafu zidisha mara 60,000 utapata jibu....huna sababu ya kufungua thread kujua ni tsh....kwa kukadiria kwangu bila calculator wala nini its around tsh 96,000,000

haja ilikuepo wakati sijui jinsi ya kukokotoa ila kwakua nimeshajua poa mkuu kwa maelezo
 
huu ni uzandiki mkubwa sana. hizi ni hujuma zinazofanywa kwa makusudi na wana chadema. sasa naanza kukubaliana na zile makala za kibanda juu ya tishio la kinana kwa uhai wa chadema. najua haya yanafanyika kwa makusudi ili kuchafua taswira yake katika jamii. lakini hawataweza

Mtu akiibiwa tunampa pole, na hatujasema kuwa yeye ndo kaiba, ila yeye ndo kaibiwa, na dogo yuko ndani mpaka saa hii. sasa hujuma ziko wapi hapo. piga cm kituo cha mabatini upate uhakika wa habari kaka acha kutoa povu bila sababu
 
kwa taarifa yenu huyu kinana siyo huyu ambaye ni katibu mkuu wa ccm huyu ni kinana wa tegeta kwa ndevu make naona mnamjadili kinana wa ccm poleni.
 
kwani hamjui kinana ni msomali? na biashara za wasomli hamzijui?jasili haachi asili.
 
halafu kuna kitu nimebaini katika thread hii. siiamini mpaka mleta uzi atakapoleta ufafanuzi wa haya yafuatayo
  1. huyu kinana ni yupi, maana akina kinana ni wengi
  2. wachangiaji wengi wametoa michango yao kwa kumlenga abdulrahmani kinana, katibu mkuu wa ccm, je mleta uzi, kuna connection yoyote kati ya kinana aliyeibiwa na huyu tumjuaye, katibu mkuu wa ccm?
kama hatutapata ufafanuzi juu ya mambo hayo mawili basi hakuna haja ya uzi huu kuendelea kuwepo maana malengo yake ni kupotosha.

pia kwa jinsi wengi wanavyochangia uzi huu inajidhihirisha ni jinsi gani uwezo wao wa kufikiri ulivyo mdogo. si ma great thinkers tena bali ni vilaza wa kutupa. mtu anayechangia kwa kufikiri huwezi kukurupuka tu ukaanza kuchangia kitu ambacho hukijui
 
Kwa anayejua kilo moja ya meno ya tembo ni $ ngapi atuambie ili tujue $ elfu 60 ni wastani wa meno mangapi-tembo wangapi!!!!

96millions ni tembo wengi wameteketea hapo mzee,bora huyo dogo ameziingiza kwenye mzunguko,walenga shabaha wa kinana nadhani wameshaarifiwa kuwa mtaji umeibiwa kwa hiyo leo wasilete mzigo!!tembo watapumua kidogo kwa siku hizi mbili tatu mpaka ccm wataakapompa mtaji mwingine! Acha tembo na faru zimtukuze Mungu kwa hilo.
 
Mtu akiibiwa tunampa pole, na hatujasema kuwa yeye ndo kaiba, ila yeye ndo kaibiwa, na dogo yuko ndani mpaka saa hii. sasa hujuma ziko wapi hapo. piga cm kituo cha mabatini upate uhakika wa habari kaka acha kutoa povu bila sababu

kwanza hicho kituo cha mabatini sina uhakika ni kipi. maana hapa songea tuna kituo cha polisi cha mabatini. sijui ndo hicho? hiyo namba ya simu mbona hujaiweka ili tuwapigie tupate ufafanuzi wa hilo?
 
huu ni uzandiki mkubwa sana. hizi ni hujuma zinazofanywa kwa makusudi na wana chadema. sasa naanza kukubaliana na zile makala za kibanda juu ya tishio la kinana kwa uhai wa chadema. najua haya yanafanyika kwa makusudi ili kuchafua taswira yake katika jamii. lakini hawataweza

Jiheshimu wewe kilaza, CHADEMA inahusikaje hapo. Huwezi kukurupuka hapa na kusema tuhuma za wana CHADEMA bila kutueleza ukweli ukoje. Mmezoea kusema hata UJANGILI wa KInana ni tuhuma za kisiasa huku Tembo 30 wanauwawa kila siku. Acheni hizo bana...
 
halafu kuna kitu nimebaini katika thread hii. siiamini mpaka mleta uzi atakapoleta ufafanuzi wa haya yafuatayo
  1. huyu kinana ni yupi, maana akina kinana ni wengi
  2. wachangiaji wengi wametoa michango yao kwa kumlenga abdulrahmani kinana, katibu mkuu wa ccm, je mleta uzi, kuna connection yoyote kati ya kinana aliyeibiwa na huyu tumjuaye, katibu mkuu wa ccm?
kama hatutapata ufafanuzi juu ya mambo hayo mawili basi hakuna haja ya uzi huu kuendelea kuwepo maana malengo yake ni kupotosha.

pia kwa jinsi wengi wanavyochangia uzi huu inajidhihirisha ni jinsi gani uwezo wao wa kufikiri ulivyo mdogo. si ma great thinkers tena bali ni vilaza wa kutupa. mtu anayechangia kwa kufikiri huwezi kukurupuka tu ukaanza kuchangia kitu ambacho hukijui

Acha kutoka povu, Akina Kinana walio Somalia hawahusiani na hili....huyu ni KINANA wa Tembo
 
mods, ondoeni thread hii maana ina mkanganyiko mkubwa. kuna mwingine anasema kuwa kinana anayetajwa anaishi tegeta kwa ndevu. sasa hapo tunazidi kuchanganya zaidi maana michango ya wengi inamlenga katibu mkuu wa ccm
 
Kwa anayejua kilo moja ya meno ya tembo ni $ ngapi atuambie ili tujue $ elfu 60 ni wastani wa meno mangapi-tembo wangapi!!!!

mkuu naona unahangaika kumjadili kinana wa ccm kwa taarifa yako huyu kinana aliyeibiwa siyo km wa ccm bali ni kinana wa tegeta.
 
Kijana kachota kidogo tu, zilikuwepo nyingi zaidi ya hizo!
 
tafadhali naomba kijana alipe hizo hela haraka maana ataua mpaka vifaranga vya tembo
 
Acha kutoka pozi, Akina Kinana walio Somalia hawahusiani na hili....huyu ni KINANA wa Tembo

tuna haki ya kujua maana huu ni upotoshaji mkubwa. kama wewe ndo mleta uzi basi tufafanulie zaidi maana kuna mwingine anasema kuwa aliyeibiwa ni mkazi wa tegeta kwa ndevu
 
Back
Top Bottom