Kinadada acheni kumsumbua Mungu

zari is an independent woman, usimlinganishe na hao wanaoomba hadi hela za vocha eti ampigie mama
 
teh teh mada mbona inaeleweka tu dadaangu, ahsante mleta mada, bado mmoja sijamuona,
 
Yes, nimeona! Bibi shemeji....!
Teh teh wanapita kwetu kupata uzoefu.

Na mkikataliwa msiwe stressed out na kuanza kutapatapa, tulieni pigeni kazi mjijenge mtawapata hao mnaowalilia wakienda kwa wenzenu.
 
ha ha ha ha haaaaa hilo neno eti mapopoma ha ha ha haaaaa
Teh.. Hao wote wanaosema jiwe sijui ukweli mchungu ni upopoma,kutongoza sio lazima ukubaliwe,huna vigezo huna tu wacha watu wachague bana
Mungu sio binadamu naamini hata nyiee wakaka ujana wenu mnautumia vibaya au ukimwi na kunywa ARV ni kwa wadada tu
Like for real mwanaume gani mwenye akili ataishangilia hii post.....
Mnataka hadi Mungu atumie mfumo dume,teh mtakesha sana kwa hilo...
 
Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea. Hakuja kwa wasafi, wala hana hata shida nao

Wanajulia wapi hilo sasa wamekalia majungu tu wanaume wazimaaa na kushangaa chuchu za wanawake, kazi hawafanyi wakishakataliwa ndio limtu kurupuuuuu!! Wafanye kazi huko waache success ziongee.
 
Last edited:
naona umeamua kutumia fursa vizuri..kuwa baba huruma ili ujipatie likes za mabinti
 
Nipe rula, nyie ni akina nani kwanza hadi mumpangie Mungu na watu waolewe lini?? Naona nawe umekazana na hiyo 30+ vipi kwani wanakula kwako? Waacheni watu wachague maisha yao, kama hayakufurahishi nyoosha yako.
Binafsi sijampangia Mungu wala kumhukumu mtu, wala kumcheka mtu kutokana na hali fulani.

ni 30+ na sio 20+ au wengineo ndio age haswaa mleta mada aliyoilenga. Nlichosema nlisema kutokana na uzoefu wangu wa jf. Mtu akileta mada huwa inakuwaje.... kama ilivyotokea (vichambo, panik, matusi n.k) jiwe gizani kama kawaida.

Otherwise ni changamsha genge, this is jf....!
 

Alijisemea @house girl kuwa kuna wanaume inabidi tu uwashauri kwa upoleee wasizae ili kizazi chao kiishie kwao tu!! Wanawake tuna mizigo sisi acha tu! Ukute huu nao ni mzigo wa mtu anagugumia nao huko!!
 
Sure thing! Ndio maana Mungu hajaweka secretary wa kumsaidia imagine mtoa mada ndo angepewa cheo cha kumsaidia Mungu ingekuwaje?
Tusingepona mbona...
Huyu atakuwa ana nyota ya kukatwa,kila anapogusa anapigwa chini unategemea nini...
Na hapo ni dhahili hana pesa,angekuwa nayo asingepiga kelele hapa...
In short wanaopiga kelele hapa pesa ni shida ingekuepo wasingeyajua hayo....
 
Hilo la menopause nimelitolea tu mfano uone kwenye uhalisia maisha yetu wanadamu yamepungua sana kufika hiyo 70 kwa kizazi chetu ni kazi kubwa sana , sawa wacha wenye imani zenu muendelee kuamini kila mtu ataolewa kwa wakati sahihi ambao Mungu amempangia japo tokea na zaliwa sijawahi kuhudhuria sherehe ya mwanamke anaolewa akiwa na miaka 50 kisa ndio wakati wake aliopangiwa na Mungu .
Tufanye yote ila mwisho wa siku try to make choices you can live with
 
Na mkikataliwa msiwe stressed out na kuanza kutapatapa, tulieni pigeni kazi mjijenge mtawapata hao mnaowalilia wakienda kwa wenzenu.
Ameeeen,
Wanaume halisi hawalii...! Labda wavulana...unaanzaje kulia!?
 
According to mtoa mada huwa tunajitia mimba wenyewe

Ooooh!! Sasa kama tumejitia wenyewe yeye inamuuma nini? Hivi kweli unaweza kuishi nyumba moja na mtu kama huyu kabisa na ukamuitacmume!! Alafu umzalie na watoto wamuite baba kweli!! Duuuh imbombo ngafu
 
akija mchumba mukimkataa eti hana pesa nyingi.ujuwe huyo mwanamke.atapata majanga tu hapa duniani.laana ya kumkataa huyo kijana anaetaka kuoa lazima itaishambulia hiyo familia iliyokataaaa
 
According to mtoa mada huwa tunajitia mimba wenyewe
Hahahaa nimecheka sana.. Kweli wadada tuna safari ndefu..maskini bado kuna mdada anakubali kukazwa na mtu kama mleta mada hapa,asalaleee dada huko ulipo natanguliza pole,huna bahati,mmeo akili ka za kuku teh..
 
Kimsingi hii post sio mbaya kabisa, mtoa mada kasema ukweli juu ya vijana kwa ujumla ingawa kawagusia wanawqke kwamba wajitunze enzi za ubinti wao

Hajamanisha wavulana wasijitunze,

Ila alichokosea mtoa mada ni pale aliposema si sahihi kumkimbilia mungu baada ya kuuharibu ujana,

Na kuhusu kugeneralize kwamba wasio olewa wote waliutumia ujana wao vibaya.



Na pia ni kwa kutumia lugha fulani kali tuuu,

Na watu kwa kujihisi daaah hawajambo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…