Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Ndo nishakunya sasa na kuharisha umomo. Wanaume wenyewe mnaochonga vikopo tu vya chooni. NA NAFUNGUA MWAKA NA HUU UZI RASMI.
Hahahaha......nitumie no ya mpesa nikutoe sio kwa kuwanyea hivyo watabisha lakini habari ndio hio....
 
Nlisema watakuja single dada streesed na maisha wataanza kutukanaaa....

Teh teh... wote hao ni 30+ jua lishazamaaa....kaz matusi

Ama kweli..........
Now i get it!!
 
Kukataliwa ni stress tooosha! Unaweza ukafanya jambo ambalo hata wewe mwenyewe ukikaa unashangaa whts happened!!
Pole sana mleta mada naona uko na wenzio wengi tu, usijali with time you ll heal!!
Teh teh shem upo? Naona leo mtoa mada anajaribu kutikisa kiberiti....
 
Sure thing! Ndio maana Mungu hajaweka secretary wa kumsaidia imagine mtoa mada ndo angepewa cheo cha kumsaidia Mungu ingekuwaje?
 
Kheri yako akili zimo,sio hawa mapopoma waliokazana jiwe jiwe,jiwe my foot... Kwa style hiii wanaume ni wachache kwakweli....
 
Madebe tupu kwa kelele mmmh, kama huoi huoi wewe tu wenzio tunawachangia hadi tunatamani kukimbia harusi.....
kaka ake @nifah umetokelezea kivingine

Hahahaaaaa! Usiniambie huyu ni yule kaka yetu, hivi kweli yule ni kaka? Maana mie huwa simsomi!!
 
Kheri yako akili zimo,sio hawa mapopoma waliokazana jiwe jiwe,jiwe my foot... Kwa style hiii wanaume ni wachache kwakweli....
ha ha ha ha haaaaa hilo neno eti mapopoma ha ha ha haaaaa
 
Aloandika mada na wanaomsapoti angalia miandiko yao you'll notise something amaizing.
Wafanye kazi kwa bidii watapendwa tu sio wakishapokonywa tonge mdomoni ndio wanatapatapa!!
mada haizungumzii kupokonywa tonge mdomoni, bali wale wanaojifanya walokole baada ya maji kuwa shingoni, au mimi ndo sijaelewa
 
Heaven sent ,human nature in actions ,wrongdoers blaming everybody but themselves ,we are all like that .....ila pendekezo langu ni hilo la ujana wetu tunapo utumia vibaya mwisho wa siku tunalia na Mungu
Sisemi kama watu tutende dhambi makusudi kwa sababu tu Mungu anasamehe. Lakini je mtu akikosea na akafika uzeeni akaamua kutubu, Mungu hatomsamehe kwa sababu ni mzee tayari? Afu huo uzee mnaouongelea nyie ndo huo wa miaka 30+ au?

Haya what If nikajitunza ujanani afu uzeeni nikaharibu, ntasamehewa tu kwa sababu niliutumia ujana vizuri, au nikikosea uzeeni basi siruhusiwi kuomba msamaha nife tu na dhambi zangu? Cha msingi ni kuishi sawa na mapenzi ya Mungu, na binadamu tuna udhaifu so kuna muda tunaanguka but cha muhimu zaidi ni kunyanyuka baada ya kuanguka. Nikukumbushe tu " tunaishi kwa neema tu".
 
Shikamoooooooooooooooooooooooo!!!!!!.
 
sawa kaBisa,, coz hata MUNGU kupitia Mandiko Matakatifu anaseMa "MUKUMBUKE MUUMBU WAKO SIKU ZA UJANA WAKO" sasa hao wanao kula uJana MkitegeMea kuMrudia MUNGU Baadae iMekula kwenu,,!
Kwa hiyo tukizalishwa ni kwamba tumemsahahu Mungu au tumeanguka dhambini kaa unavyoanguka kwenye dhambi za uongo na mambo mengine acha kuwa bias ..
 
Si mpaka wawaoe? Wanakimbiwa wanaenda kuolewa na "wanaume" wao wanabaki full stress kama hivi
Kwa hiyo wanaolalamika hapa wapo stressed? Wamekimbiwa....!
Hebu nyoosha maneno...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…