Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
- Thread starter
-
- #921
Mkuu hawa ni washenzi wa tabia na wala si wa kuwaonea huruma, Na wengi wanaojifariji kujibu ni wale magumegume yaliyoachwa na gari la mshahara.mkuu jiwe ulotupa limewapata pabaya wamebaki kubwabwaja na kufarijiana ila kiukweli limewaathiri mpaka kisaikolojia.
mkuu jana waliitana saa sita na nusu usiku wakafarijiana wakijua tumelala teh! sijapata kuona jiwe kama hili kwa kwelimkuu jiwe ulotupa limewapata pabaya wamebaki kubwabwaja na kufarijiana ila kiukweli limewaathiri mpaka kisaikolojia.
Teacher usipite hivi hivi, toa somo kidogo.duh! hii mada bado inaendelea??? Ngoja nipite tu.
The good thing ni kuwa mawazo ya Mungu sio kama ya wanadamu, hivyo endelea kujifurahisha hapa jamvini na kujivisha kofia ya kumuonea Mungu huruma
The good thing ni kuwa mawazo ya Mungu sio kama ya wanadamu, hivyo endelea kujifurahisha hapa jamvini na kujivisha kofia ya kumuonea Mungu huruma
Jiwe limetupwa gizani ngoja tusikilizie kelele....mie nipo pembeni hapa
Mxiuuuuuuuuuuu! WANAUME WENYEGUBU KAMA MTOA MADA NDO WANAKUFUJA MPAKA UNAKIONA CHA MTEMA KUNI. Hapo hajakuoa nyodo ndo zipo level hiooo! Hahahaaaaaaaa! Ndo ile mume wa kuchoraa, mume mume jina hakujui kwa sabuni wala kanga. Hahahaaa! Kwenda KFC sahau. Ndo maana nawaambia Wanawake TUFANYE KAZI USIJIBWETEKEEE. Ukipata jibaba kama hili utavaa lonya na wanao mpaka ukomeee. Kariakoo itakukoma, sare za jiji ndo zako, ofisini kama mfagizi. Nguo ya ghali kumiliki 30,000. Hahahaaa! Ngachokaaa! Nguo za kina TK Fashions kijitonyama za 150,000 cheappest kwa 300,000 utaziona dukani tu Hahahaaa! Jibaba hili likupe 200,000 ununue gauni thubutuuuuu!
Ila kuna WANAUME WANA ROHOOOOOO! We acha tu! Mpaka unashukuru Mungu! Anakupa matunzo unadhibitisha bila shaka yoyote ni uzao wa Abel! Anakuoa na mitoto yako na kuilea kabisaaa. NDO KUSEMA HUMUONI ZARI AU? Na mitoto yake 3 na bado katupiga vikumbo wali tusioijua lebaaa.
Watakimbia wengi hapa coz kwao waliyo wengi wanatuletea ushauli Mara mm ilikuwa hiv hatutaki huo ushauli wenu Wa kila siku na hapa amuwezi changia coz ilo jiwe ni hatari
Aiseeeeeeeeee....!Kuoa mwanamke aliyezalishwa ni uboya wa kiwamgo cha Kimataifa..
Ni ujinga kuoa Mwanamke used wakati kila mwaka watoto wakali na wabichi wanaingia Mtaani...
Mwanamke aliyezaa nitamtumia kwa matumizi ya dharura lkn si kuoa.
Asanteni sana.
Ndo hapo sasaaaa! Kuna mabinti vibikraaa kabisaa wangapiii Dai angewataka angewaoa hata bureee. Lakini kakolea kwenye K used, K ya bibi, ina video ya pono, na imeliwa na mastar kibao na ina makunyanzi. Ila yeye ndo hasikii wala haoniii. Utamwambia nini?
Ndo ujue wanaume wenye hela zao hawa banwi banwi na u saint a.ss, na sentimental values zisizokuwa na ishuu. Anaangalia they click basi.
Mwingine Peter wa P square kamuoa Lola Omatayo bibi kampita miaka 8 ila ndo kafika hapo yeye.
Nlisema watakuja single dada streesed na maisha wataanza kutukanaaa....
Teh teh... wote hao ni 30+ jua lishazamaaa....kaz matusi
Kinachofurahisha hapa ni kwamba baada ya kelele zoooooooote lazima njia ifunguliwe jamaa apenye na kuachia wazungu wawe wachafu ama wasafi siyo issue!! Uanaume raha sana kwa kweli!!Hahahahaaa! Ni kopo la chooni tu ndo linaweza kukosa haya kiasi hiki cha kuja hapa mbele za watu kuongea mashudu matupu. ILA MAKOPO YA CHOONI TUNAWASEMEHE BURE ILE KAZI YENU IMEWAKOMAZA, KUCHUNGULIA TUPU ZA WABABU, WABIBI, WATU WA MAKAMO, VIJANA, WATU WAZIMA, VITOTO, IT IS OKAY YOUR JUDGEMENT CAN BE UNREASONABLE! We understand.
nilikuwa nimebanwa kidogo. mie gumegume nilishatoa somo muda kidogo.Teacher usipite hivi hivi, toa somo kidogo.
Ndio mkoje?nilikuwa nimebanwa kidogo. mie gumegume nilishatoa somo muda kidogo.
u mgeni Yerusalemu?Ndio mkoje?