Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Kinadada acheni kumsumbua Mungu

ha ha ha ha ha! Licha ya maisha kutupiga lakini kwa vibiashara vyangu nina uwezo wa kukulipa mshahara wako mara mbili na huo unaopokea kwa sasa.. Naona kukongoloka kumewaua hata viwango vya uelewa wenu....
Ibra kwa akili zako sikutaki hata utokee number one kwenye Forbes.
 
HAHAHAAAAAAAAAAAAAA! What ia VOW? JUEST MERE WORDS! So you really think if i say i will be yours and your only THAT IS IT? Regrdless of my History as a SERIAL CHEATER, FILTHY LAIR, GREED AND OVER AMBITIOUS. Just because i say some FEW REQUIRED WORDS everything will change? Really!

Nothing will change indeed. The sun will still come out as usual and set as usual and people will exactly filth as before the vow. SPARE ME THE SENTIMENTS NEXT TIME.
Ahahaha silly you!Lala dont you have to respect your vow?Remember after tie the knot you have to love your husband either for the better or for the worse!
Are you congenital liar?Dont you scared the power of madhabahu and holly books?Uki vow lzm uheshimu ndoa ndiyo maana mm sioi
 
tukitaka kuzungumzia issue binafsi tutanuniana humu... Wengine wapo kama vifaru hata kwa bure huwezi kukubali kuwapokea... Cha kufanya tujikite huku kwenye mjadala uliopo
 
Mhhmhhh sijawahi kukuona kwenye hali hii.....
Hahahaa,you kept reminding me kwamba hiii ni vita...hapo sijarusha makombola nimerusha jiwe tu and I look guilty aaah am bad kwakweli...
 
Hahahaa,you kept reminding me kwamba hiii ni vita...hapo sijarusha makombola nimerusha jiwe tu and I look guilty aaah am bad kwakweli...
I've got a thick skin....no sijawahi tu kukuona mada imekugusa namna hii...umekuwa so offended im surprised...maybe im wrong.
 
Nimerudia original comment yangu na kugundua your reaction has got absolutely nothing to do na maneno niliyotumia. Ulitamani niandike kwa kutumia lugha yako, unfortunately i am not you.

Hebu elezea hiyo stori in your own words kaka. Ila huyo unaemuita 'fala' nadhani atakushangaa manake yuko happy na mkewe na wanamlea vyema huyo mtoto aliepatikana katikati ya mahusiano yao. Unataka nini? Sijakuelewa
Stori yako inasaidifu maelezo yako kweli?

Nanukuu; "dada akaopoa jamaa la mtaani. Akazalishwa huko na dozi ya ngumi kila siku, stress hadi akaahirisha mwaka"

Unless by kuopoa ulikuwa unaandika tu na hukumaanisha 'akatafuta urahisi wa maisha/akaendekeza umalaya/akagawa papucci freely/etc'

Then again sijasoma mahali ambapo second chance ilipoingia only kuonesha tofauti ya binti mjanja na jamaa fala wa kijijini ambaye bila kujua alichokuwa akikifanya alitangaza ndoa tu!

Sijaona mahali ulipoandika binti akajifunza kwa makosa yake, regret and repentance, akatulia..akamaliza chuo ..etc etc....

Unless...
 
you seem to have gathered enough info to hit me with...damn it!
ni kweli, wengi wetu maisha yapo so imperfect, that i admit...that's why we are here kujifunza...!!
Hapana gathered nothing,sikujui hunijui seems nnayoyasema nayapatia mule mule,so mkeo ni screpa kweli??????
 
I've got a thick skin....no sijawahi tu kukuona mada imekugusa namna hii...umekuwa so offended im surprised...maybe im wrong.
Hiii imenigusa kwasababu kuna watu wamenishangaza,sikutegemea that's all...na kuna wengine ni vita waliibeba haihusu topic ya hapa,so huwezi kuelewa...jf ni zaidi ya watu wanavyo showoff hapa
 
Hapana gathered nothing,sikujui hunijui seems nnayoyasema nayapatia mule mule,so mkeo ni screpa kweli??????
Ni macho tu, yako yaweza ona scrap, yangu yakaona kifaa cha ukweli...!
Hivyo, umegusa ndipo haswaa...
 
Disgusting.
Yani me kuishi na mwanaume wa hivi sitaki hata uwe na shingapi kwakweli.

Nilishajua toka zamani ziwezi kuolewa na mbongo.

I need a man with a more developed cognitive abilities. This is too low for me.
Wewe ni mpuuzi kweli, na hiyo ID yako usipoangalia utazeeka ukiwa house girl, Eti huwezi huwezi kuolewa na mbongo, ulimbukeni tu umekujaa, wewe unajua sifa za mataifa ya nje tamaduni zao na maisha yao hadi unadiriki kudharau wanaume wa Tanzania? ndo maana mnataturiwa marinda ya nyuma na kufa wakati mnazaa nyambafu kabisa
 
,

Kumbe brenda ni dokta, kweli huyu dokta anaijua saikolojia yangu...teeeh!! hawa ndio madokta wetu...
am not arrogant bwana, sina maneno ya dharau wala kejeli...huu ni mjadala tu, we argue in a hard way...
Mie sio dokta bana, hizo ni jokes usidandie treni kwa mbele mshenga...teh..
 
Wewe ni mpuuzi kweli, na hiyo ID yako usipoangalia utazeeka ukiwa house girl, Eti huwezi huwezi kuolewa na mbongo, ulimbukeni tu umekujaa, wewe unajua sifa za mataifa ya nje tamaduni zao na maisha yao hadi unadiriki kudharau wanaume wa Tanzania? ndo maana mnataturiwa marinda ya nyuma na kufa wakati mnazaa nyambafu kabisa
Toa stress zako mwaya, tushaambiwa mapopoma yote kuanzia wewe kwenye hii thread are just loosers in life.....
 
Nimerudia original comment yangu na kugundua your reaction has got absolutely nothing to do na maneno niliyotumia. Ulitamani niandike kwa kutumia lugha yako, unfortunately i am not you.

Hebu elezea hiyo stori in your own words kaka. Ila huyo unaemuita 'fala' nadhani atakushangaa manake yuko happy na mkewe na wanamlea vyema huyo mtoto aliepatikana katikati ya mahusiano yao. Unataka nini? Sijakuelewa

Well happy is relative and subjective.

But then again, wahenga walisema, "Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza" e.g. anajua kilichotokea mpaka binti akapewa mimba ama he was too blinded with 'love'???!

Nonetheless, m glad he is 'happy' ts all that matters!!!!
 
Tena mbaya zaidi ukifanya kosa ukiwa unajua ndo mbaya zaidi, mngu awasamehe bure
 
Kwa heshima ya mkeo ntaishia hapa,ila ningeweza kukujibu..ntamfedhehesha mwanamke mwenzangu ya nini hayo yote...
Kumfedhehesha mtu usiyemjua sio kazi rahisi, unless unamjua au una hints kumhusu...
 
Hao Ndugu wanastress balaa msiletee masihara kabsa, apo ndo kumi nambili jion io usiku unakarbia anasali 24/7 afu unaleta post kma hio lazima akuchambe

Kabla haujaquote kitu ni vyema ukaelewa, yaani nilichokuwa nikimaanisha na ulichoongelea ni mbingu na ardhi ndugu yangu, sio mbaya lkn, pole.
 
Back
Top Bottom