Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Hyo mimba mnapata kwa tamaa zenu za kijinga jinga unamkimbia mtu mwnye malengo mazur na ww ila kisa hana kidgo bas ndo hafai
Hao wadada wanajizilisha bila mbegu za kiume? Lait Mungu angekua anawapa mimba na ninyi. Nina uhakika mngechakaa kuliko hao wadada. Na ashukuriwe Mungu cz hawaz kama uwazavyo. Hao hao unao waita scrper Mungu anawaangalia cz wamemrudia Mungu na Mungu atawarudishia miaka yao yote iliyo liwa na nzige. Wadada mlio okoka msiache kuomba. Omba saana cz Mungu si binadamu alimleta Yesu kristo kwa ajili ya wagonjwa na sio wazima. Na kwaajil ya wenye dhambi na sio wasafi. Bwana Yesu asifiwe.
 
wamekata tamaa wamegeuka mashimo ya taka.. Wanatupiwa kila aina ya uchafu...hawajitambui na hawajielewi.. wapo zaidi ya tunavyowaelewa.. wachache tu ndio wanaojitambua
 
Kiongozi, hawa Mourinho anawaita "specialists in failure", vijana wanajigongea tu ovyo then utasikia wakiongea kwa kizungu, "I can't keep a man", huku jamaa wanatafuna tu...
 
majamaa bado mpo tu mnatoa somo, haya bhana mi napita tu :aeroplane:
 
Hyo mimba mnapata kwa tamaa zenu za kijinga jinga unamkimbia mtu mwnye malengo mazur na ww ila kisa hana kidgo bas ndo hafai
Kiongozi, hawa Mourinho anawaita "specialists in failure", vijana wanajigongea tu ovyo then utasikia wakiongea kwa kizungu, "I can't keep a man", huku jamaa wanatafuna tu...
wamekata tamaa wamegeuka mashimo ya taka.. Wanatupiwa kila aina ya uchafu...hawajitambui na hawajielewi.. wapo zaidi ya tunavyowaelewa.. wachache tu ndio wanaojitambua
Duh nilijua thread imekwisha kumbe bado mnatoa 'somo' ???!!!! Ngoja waje....
 
Kiongozi, hawa Mourinho anawaita "specialists in failure", vijana wanajigongea tu ovyo then utasikia wakiongea kwa kizungu, "I can't keep a man", huku jamaa wanatafuna tu...
wanaongoza kwa kunitukana whatsAP tena matusi ya aibu.. hapo ndopo nikagundua kuwa kumbe limewauma sana hasa yule dk na mkeo wa zamani
 
Teh teh...mke wangu wa zamani? Ibra bwana. Sasa we ya huko whatsapp umeyajuaje kiongozi?
 
brenda yamemuuma kanifuata whatsAP kaja kutukana mpaka basi harafu cha ajabu anaandika eti muonee huyo huyo sumbai. nikajiuliza namuoneaje? sijapata pc
Nami nitumie mkuu. Ukisoma comments za watu pamoja na kutumia fake ID unatambua tabia zao.
 
Back
Top Bottom