Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Brenda, my mshenga alisema natumia mipasho ya Khadija Kopa kufikisha ujumbe.
Kupanic ni kubaya sana, ya juzi haikuwa na shida, ya leo imekuwa nongwa...

Eli be wise basi, alichosema si sahihi wala sio kupanik, labda wewe ndio umepanik maana umeikazania hiyo sana, ya juzi iliandikwa kikike na mwanamke, ya leo imeandikwa na nani? Thot mlikuwa mnalalamika maana hampendi kumbe haina shida, basi sawa tuendelee hivihivi.
 
Sawa sista, kuwasemea sio lazima mtu awe na qualifications za kuwasemea, either kujifunza culture yao ukiwa nao au kwa njia ya kusoama.
Hivi comments zangu zinaonyesha najiona najua kila kitu...lol

Si tu unajua kila kitu bali unajua kila uchi, maana eli now kila mada inayoongelea wanawake lazima uongelee ladha za nyuchi zao sasa sijui huwa unaoteshwa! Ila mwisho wa siku wazinzi ni wanawake tu!! Daaah its okey lkn.
 
Wapo wengi sana wa kihivyo wanajidai kuokoka wakati wameshaumia......Nikusoma namba tu
 
Si tu unajua kila kitu bali unajua kila uchi, maana eli now kila mada inayoongelea wanawake lazima uongelee ladha za nyuchi zao sasa sijui huwa unaoteshwa! Ila mwisho wa siku wazinzi ni wanawake tu!! Daaah its okey lkn.

Naona umekuja kivingine! Mada gani, mbona siku hizi MMU siingii sana, hizo mada nilizojadili nyuchi na kusema najua ladha zake ziko wapi..
 
Hili jiwe lazima limpate mtu haliwezi haliwezi kudondoka chini bila kumpa mtu humu humu wapo......Wanyoooshe baba
 
,

Kumbe brenda ni dokta, kweli huyu dokta anaijua saikolojia yangu...teeeh!! hawa ndio madokta wetu...
am not arrogant bwana, sina maneno ya dharau wala kejeli...huu ni mjadala tu, we argue in a hard way...

Eli hivi hunaga kumbukumbu sijui, basi tu sina muda ningekuletea quote zako filthy zooote, huwa nazisoma nabaki like "whts wrong with this darling ex of mine"?
 
Nafurahi at last tunakubaliana. Ni general overview anyways.

Halafu paw anakusalimia. Unakuja lini kututembelea? Wajomba zako wamekuwa wakubwa kweli, maashaallah!
 
Ni macho tu, yako yaweza ona scrap, yangu yakaona kifaa cha ukweli...!
Hivyo, umegusa ndipo haswaa...
So ex darling if thats the case hakuna scraper!! Maana kama kwa macho ya mwingine ni bora ila kwako hafai, sasa kelele zoooote za nini?
 
Eli hivi hunaga kumbukumbu sijui, basi tu sina muda ningekuletea quote zako filthy zooote, huwa nazisoma nabaki like "whts wrong with this darling ex of mine"?
Do me a favor basi, fanya collection ya filthy comments nione how arrogant i am..
 
Naona umekuja kivingine! Mada gani, mbona siku hizi MMU siingii sana, hizo mada nilizojadili nyuchi na kusema najua ladha zake ziko wapi..

Hahahaaaaa! Basi utakuwa mzimu wako ule, mada hii,ile uloikazania,ile nyingine ililetwa picha ya binti mrembo pia ukatupia swaga zako, nk nk nk nk........
 
Do me a favor basi, fanya collection ya filthy comments nione how arrogant i am..

We usijisahaulishe bwana, pitia tu comments zako mie sina huo muda, ila ndio hivyo!!
 
So ex darling if thats the case hakuna scraper!! Maana kama kwa macho ya mwingine ni bora ila kwako hafai, sasa kelele zoooote za nini?
Ungefanya hiyo collection asee, ujuwe hata neno "scrap" huwa silitumii katika vocabulary zangu...
Hoja yangu wala haijajengwa kwenye scrap...nisome upya rafiki...
 
Ungefanya hiyo collection asee, ujuwe hata neno "scrap" huwa silitumii katika vocabulary zangu...
Hoja yangu wala haijajengwa kwenye scrap...nisome upya rafiki...

Hivi uliposema nimekuja kivingine ulimaanisha nini?

Hahahaaaaa! Yaani yale unayotumiaga darling ex ni bora hata hiyo scraper, we pitia comments zako usinchoshe mie, maana kama ulicoment kwa kufurahisha hadhira "yako"(you know wht i mean) basi ulifanikiwa kwahilo.
 
Toa stress zako mwaya, tushaambiwa mapopoma yote kuanzia wewe kwenye hii thread are just loosers in life.....
Tehehehehehe,kwikwikikwikwi....... ah... Nimecheka sana hili jiwe limewapiga vibaya mno hadi mna propose kwamba mimi ni looser ktk maisha, aisee thread ndani ya siku 3 tu ina reply zaidi ya 900 Naona mashangingi yote mmealikana ili kujibu mashambulizi lakini wapi, moto bado unashika kasi, hii kitu nimeikosea ingetakiwa badala ya kuiweka humu Ningeitungia kitabu yaani ningepiga pesa ndefu sana. ila na nyie mmezidi sana dharau, Nina binamu yangu alikuwa hasikii sasa hivi kawa skrepa eti anatamani kuolewa, Nani amuoe? mimi huwa namwangalia tu, mkome tena mkomae kabisa Nyambafu nyie.
 
#loser
 
mkuu jiwe ulotupa limewapata pabaya wamebaki kubwabwaja na kufarijiana ila kiukweli limewaathiri mpaka kisaikolojia.
 
duh! hii mada bado inaendelea??? Ngoja nipite tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…