mkali in style
Member
- May 20, 2015
- 7
- 0
Dada inaonekana hii thread imekugusa sana naona umepoteza hadi uwezo wa kufikiriWakati nakuwa niliambiwa mwanangu tusi malaya ni kawaida kwa kila mwanamke kutukanwa....
Mtoto wa kiume alivyolelewa na mama yake ndivyo atakavyowaheshimu wanawake wanaomzunguka,sikatai inawezekana wadada waliochangia humu michango yao haijakupendeza ila jambo moja ulikuwa hulijui mama yako pia ni malaya ndio maana huoni uzito kumuita mwanamke mwingine malaya, hatujashtuka lakini kawaida.....
Basi sawa....Kuna aina ambazo hazijashuka kama zako. Kuna ambazo zimeshuka akijitingingisha anatengeneza simple harmonic motion.
Manyonyo makubwa hulala, whether yamenyonyesha au hapana.
I'm a health care taker nimeona mengi
mkuu wameshatoa milio hadi unawaonea hurumahili jiwe la gizani mimi nasubiria mtu atoe mlio tu
Nani asiyeelewa jamii hii.Wakati nakuwa niliambiwa mwanangu tusi malaya ni kawaida kwa kila mwanamke kutukanwa....
Mtoto wa kiume alivyolelewa na mama yake ndivyo atakavyowaheshimu wanawake wanaomzunguka,sikatai inawezekana wadada waliochangia humu michango yao haijakupendeza ila jambo moja ulikuwa hulijui mama yako pia ni malaya ndio maana huoni uzito kumuita mwanamke mwingine malaya, hatujashtuka lakini kawaida.....
Honey,couldn't argue more.....Nani asiyeelewa jamii hii.
Wanaume wengi wanakuzwa kuita wanawake malaya. Mwanaume akijihisi kashushwa ndo tusi Lao hilo.
Hajui akiita hilo Jina mbele ya mamake itakuwaje. Umemsikia huyu huku eti mama yangu aliolewa na ndoa Hahaa. Kibao wanaolewa kabla ya kuzaa walishaonja kuliko hata huyo unayemwita skrepa.
Halafu umeona wanavyojitetea hapa . Walitegemea watukane maumbile ya mwanamke ili kujipa confidence. Wamesahau na wao wana ya kwao mengi. Wengi wanao comment hapa ni vivulana tu. Hata real life ziwa hajawi ona. Ndo wanawapa insecurities wadada na matusi yao.
Wadada muangaliage na akili za wanaume mnaochukua.
Waendelee na matusi yao kujipa ego. I'm done here.
Mwenye uzi njoo hapa ......mambo yashaanzaThe good thing ni kuwa mawazo ya Mungu sio kama ya wanadamu, hivyo endelea kujifurahisha hapa jamvini na kujivisha kofia ya kumuonea Mungu huruma
Hee mbona unakumbuka shuka na wakati kumeshakucha?ulikua wapi?Mwenye uzi njoo hapa ......mambo yashaanza
Mkuu asee ndo nafika yaani...Hee mbona unakumbuka shuka na wakati kumeshakucha?ulikua wapi?
Pole sanaMkuu asee ndo nafika yaani...
Mkuu na ww hapa kuna mengi yanakuhusu so take a lesson, samahani lakiniPole sana
Ama kweli waarabu wa pemba tunajuana kwa vilemba maana huwezi jua kama yananihusu ikiwa wewe hayakuhusu, samahani lakiniMkuu na ww hapa kuna mengi yanakuhusu so take a lesson, samahani lakini
Umeona eeehAma kweli waarabu wa pemba tunajuana kwa vilemba maana huwezi jua kama yananihusu ikiwa wewe hayakuhusu, samahani lakini
Mkuu mimi somo lako nimelielewa hebu ni pm tufanye mpango flani wa maanaNdo hapo sasaaaa! Kuna mabinti vibikraaa kabisaa wangapiii Dai angewataka angewaoa hata bureee. Lakini kakolea kwenye K used, K ya bibi, ina video ya pono, na imeliwa na mastar kibao na ina makunyanzi. Ila yeye ndo hasikii wala haoniii. Utamwambia nini?
Ndo ujue wanaume wenye hela zao hawa banwi banwi na u saint a.ss, na sentimental values zisizokuwa na ishuu. Anaangalia they click basi.
Mwingine Peter wa P square kamuoa Lola Omatayo bibi kampita miaka 8 ila ndo kafika hapo yeye.