Vitu gani wanavyopenda kusikia mkuu?Hutakiwi kumkera mtu, akikereka kwa ulichosema hio ni juu yake ndio maana wenzio wamekuona jinsi ulivyobadilika na kuanza kuongea vitu watu wanapenda kusikia. Anyway kila mtu na maoni yake.
Potezea tu mkuu.Vitu gani wanavyopenda kusikia mkuu?
mwanaume kuoa ni uamzi na mwanamke kuolewa ni bahati kumbuka hilo
nipo mkuu nimechukiwa ghafla baada ya kuusema ukweli @peterchokanipo mkuu @ibra87 habari yako
basi Inshaa Allah kheri mkuu muda ukifika"Kuna kitu utakijua muda ukifika .....!
Nime nukuu mkuuu! navuta subira
Mkuu naomba ufute vijina vyetu kwenye comment yako, tustick tu kwenye uzi. Thanks in advancemkuu soma comments zako page ya kwanza na ya pili,
Tulireact kutokana na post ilivyoletwa...Mwanamke/mwanaume anajichakaza mwenyewe kwasababu hapa tunazungumzia mtu aliefikia/kupita age ya consent,anafanya kitu kwa utashi wake. Ndio maana kuna wanawake wanapiga watu vibuti na kuna wengine hawajui kusema NO.
I wish reaction yenu mwanzo wa post ingekuwa kama hizi post za mwisho, ila reaction ilikuwa tofauti na ndio maana hii thread ikageuka mipasho. Wengine ndio maana unaona tunaanza kuchangia sasa hivi baada ya joto kushuka vinginevyo pale mwanzo tusingeelewana.
Hicho ndicho nlichohisi.Haina shida lakini nlishangaa.Surely ni hii topic ndo imefanya uandike hivi , kwa huu msamaha uloomba sina budi kukusamehe kakangu.@mkabasia dada yangu naomba unisamehe kwa nilichokiandika, najua nimekuvunja moyo na kuiondoa Imani Yako kwangu... Najua unaweza kuniona kama mtu wa Ajabu sana lakini hakukuwa na Jinsi dada angu kwani hii Ilikuwa vita ambayo haikuchagua silaha. Nisamehe Dada Nisamehe Mpendwa Wangu @mkabasia naomba imani yako kwangu irudi palepale
Nyie watu ni wepesi kusahau ajabu....Unakumbuka thread ya mambo kumi yanayokera niliandika 'nina tatizo na teaching methods na tutors wenyewe yaani wewe, @toto na @housegirl mmoja wenu akasema wanafunzi mnatofautiana wengine lazima wafundishwe kwa method hizo[mipasho] na leo mnakunywa dawa yenu.Tulireact kutokana na post ilivyoletwa...
Ukitaka mtu akuelewe,especially mwanamke cheza na jinsi unavyomuelewesha.....
Mkileta vita message haiwezi kuwa delivered...
Kuna watu huko mwanzoni kabisa walitoa ujumbe kwa ustaarabu na wakaeleweka,how you convey your message matters alot...
Kama mnatoa ushauri kwa mipasho basi mtajibiwa hivyo hivyo....
Mnapokuwa bado warembo na chuchu zimesimama kama kifuu cha nazi mnakuwa na dharau sana
Mkishakuwa skrepa chuchu zimekuwa kama ndala .
Matunzo babu..... Usione vyaelea....Mnapokuwa bado warembo.
Usijikoshe. Wote uliowatokea wakakukataa au walikumwaga baadae walifanya maamuzi... Mpaka mwanaume kaoa means alikutana na mtu waliokubaliana. Mnatakaga kuonyesha wanawake ni wanyonge sana hamna lolote. Inferiority complex inawasumbuamwanaume kuoa ni uamzi na mwanamke kuolewa ni bahati kumbuka hilo
Hivi mnafikiriaga hao wadada 30s 40s hawatokewagi au? Kwanini mwanamke akiwa single at that age anaonekanA "hajachaguliwa". Kwanini hamuoni kuwa wenyewe ndo wamezidi kuchambua chambua.....hao wanaokulilia wamefwatwa na watu kibao wote hawataki.Hahaha nimecheka sana, thread imekaa ndipo haswa.
Bhita ni bhita mura. Alafu vidada vyenyewe siku hizi ni viongo balaa. Vingi hata havijui vinataka nini...! Ngoja vichezee ujana, sisi kaka zao tutawasaidia kulia mda ukifika.
Hivi mnafikiriaga hao wadada 30s 40s hawatokewagi au? Kwanini mwanamke akiwa single at that age anaonekanA "hajachaguliwa". Kwanini hamuoni kuwa wenyewe ndo wamezidi kuchambua chambua.....hao wanaokulilia wamefwatwa na watu kibao wote hawataki.
Jamani eeh wanaume wanaotakwa bongo hii wapo wachache sana. Wapo ambao wako tayari kuishi na yeyote aonekane kaolewa. Wapo ambao hawako tayari kusettle for less.
Deal with it.
hao wadada wangekubali kuolewa na mpiga debe au mkulima au mzibua vyoo wasingeenda huko........teh teh, housegirl.
Wanaume wanaotakwa bongo hii ni wachache sana.
Ajabu dada zetu wanapanga foleni kwa sangoma kwa hao hao..
Mie wala sina shida na 30+, actually I like mature(age wise) ladies.
ndio nini hiki umeandikakma ww huwez kumlea mtt wa mwenzio ni ww tu n roho mbaya yko wenzio wna lea n kuwq n mtt bila mume sio umalaya mengi ynaweza kukuta ukafiwa n mume au mke mambo meng ynaweza kutokea.ww umeongea ivyo kimpango wko n mtazamo wko lkin sio mtazamo wa wengine.
Ndo nishakunya sasa na kuharisha umomo. Wanaume wenyewe mnaochonga vikopo tu vya chooni. NA NAFUNGUA MWAKA NA HUU UZI RASMI.