Ukiona mwanaume anawasema vibaya wadada ujue kuna jambo ivo unatoa stress zako hapa ongea kaka utoe sumu moyoniWaambieni wazazi wengi humu ndiyo wanajiita eti ma bi'dada koma na mkomae nyie vinyamkera..!
Hakuna mwanamke anaye jitambua mpiga mdomo humu km akiingia ni kuja kuwacheka vimbweka vya jf na kutimua hakuna msichana humu jf zaid ya makoma manga/tired mothers utashangaa binti 23yrs old but kachoka kinyama! Sijui uzinzi alianza na miaka 2 ebu jieshimu nyie wamama!
Tabia yenu ya kushindana na wanaume imewaponza na mtaponzeka tena na tena yaani ni sawa ma mpapai kushinda na mwembe kuzaa matunda; mwembe unaishi 200yrs mpapai five yrs na hapo umetunzwa ila mwembe wenyewe porini unatusua madodo tu...! Aisome hii @lara1.
@IBRA ni wewe umeandika hiki?wanaume huwa hatu fake vitu kama nyie na kama hatuwezi kujisifu kipuuzi. Umekaa nyuma ya keybord unaandika unachojisikia lakini ukweli upo moyoni Mwako. Mmekuwa kama Vituko mtaani.. Mpo kama makatuni.
Mungu Anatuvumilia kwa Mengi lakini kwa upande Wenu Nyie ni Zaidi. Ukiona shoga ako ana bwana mzuri na mwenye nazo nawe utapiga goti na kumuomba Mungu akupe kama Huyo.
Umetoa mimba zaidi Ya nne kwa makusudi mpaka kizazi kimelegea mimba zinatungwa nje utaenda kupiga goti.
Ukiona mwenzako anamiligi kagari na hujui amekapata kwa njia gani, nawe utakwenda kupiga goti Mungu akupe..
Wakati mwingine hata mtu akivaa wigi na kupendeza nawe unakimbilia kumuomba Mungu Akujalie ulipate.. Sasa huo si ndio Ujinga?
Wengi mnabebwa na Powder na Mawigi.. Ukitembea kama Unarudi Nyuma... Mgongo na kalio havijulikani Vilipo... Harafu eti Mungu nisaidie!!
Jikubalini Mlivyo.. Ukiona ushakula Ujana na Sasa uzee umekupigia Hodi kubali matokeo Tu @Lala 1 hakuna atakayekucheka lakini kama uliwalingia mtaani basi ni zamu yako kujuta.
Hapa tena ni wewe uliandika, sijazoea kukuta kitu kama hiki kimeandikwa na wewe.90% ya wanawake waliopo humu ndani ni mikweche. Wamekongoloka Zaidi ya Madada Poa wa Uwanja wa Fisi.
Hapa Jukwaani Shobo kibao,
kutana nao uso kwa uso unaweza kudhani umekutana na Mzimu.
Mifupa imewatoka kama Wagonjwa Wa HIV.. Na Mshukuru uwepo wa Powder Otherwise Mngekuwa kama Betina.....
Unakuta msichana titi limekuwa ndala mpaka linafikia kitovuni Harafu eti anajiita Mzuri... Jitazame upya kisha uje hapa.. Usitegemee kutenda Dhambi huku unajua kwa kutegemea kutubu baadae Huko ni Kujidanganya. Jf ina Vibibi vizee Haina wasichana wa kuishtua mioyo ya Marijali kama Sisi. Kila la Heri... Na wote mngeambiwa muweke picha zenu humu nadhani wengine mngejitoa na jd yenyewe.
usiishi kwa mazoea, usikariri maishaHapa tena ni wewe uliandika, sijazoea kukuta kitu kama hiki kimeandikwa na wewe.
How Much?Njoo upime kama used au sio IF YOU CAN AFFORD!
Hivi hili jambo lililoongelewa halina ukweli hata kidogo?man atakua amezusha tu eti?kama linaukweli basi litakua nilawanawake wengi sana humu,kama si la kweli basi kakosa uthibitisho tu ila lipo kwakiasi kikubwa.Sio wao wanawake tu, hata nyie mnahitaji huruma ya Mungu
So wote tusogeze maombi yetu mbele ya Mungu,maisha ya ujana is not a joke...hakuna mtakatifu humu wa kumnyooshea kidole mwengine....in such a perspective ntakubaliana kabisa na mleta uzi
ukienda kwa mwakasege jioni jioni ile anawaita wanaotaka ndoa, wanatoka wote kuanzia miaka 18 hadi 45, nashangaagaukiwakuta huko kanisani wanavyojiangusha sasa ha ha ha ha mimi hua nacheka sana.
Tupate masong ya kuanzia siku
1.Mungu amenihurumia, Tendo hili kubwa sana
Sikustahili jambo hili, nimelipata bure tu
Sasa najua haya yote, sasa najua haya yote
Nasifu rehema zake, Nasifu rehema zake.............
Song no.2 huu wimbo ni wa Roman Catholic
Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu, (nani angesimama)×2
Nani angesimama mbele zako
N:B @atoto na @brenda18 tafadhali muimbe tu kimoyomoyo, I go no trust sauti zenu za mikwaruzo namba 9 na nusu mmmh. Msubiri tu wimbo wenu spesheli
Itakuwa alikunywa chibuku,this is too low for him au ndivyo alivyo labda huwa anajivisha gamba leo kaamua kufunguka....
Mornin darlinHahahaaaaa!! Na usisahau twende na kwa mwakasege tukaanguke mama, si unajua kuna wale wanaenda kushangaa tu, tukawashangaze vilivyo!
Good morning dear.