Ndio hapo sasa kila mtu anamizigo yake kuipeleka huko teh teh....Oooh kumbe mnajishaua hapa kutufukuza kumbe mnataka tupunguze jam? Tunabanana tu hadi atusikie wote, unless atuambie mwenyewe maana ndie alituambie twende kwake sisi tanaoelemewa na akina nyie!
Tunasoma kwenye maandiko kwamba wakati Mungu anataka kumuumba binadamu (mume) alitamka maneno, "Na tumuumbe mtu kwa mfano wetu..." Hapo Adam akaumbwa.
Tatizo lilianza pale ambapo mwanamke aliyeumbwa kutoka kwenye ubavu wa mwanaume alipohadaika na maneno ya nyoka na kula tunda liliokatazwa; bila hivyo sote tungekuwa tuainjoy maisha kwenye bustani ya Eden kwa raha zetu.
Sasa ukiona mambo mengine ambayo wanaume wanawafanyia wanawake ni kama vile wanafanya malipizi kwa kile mwanamke alichofanya.
All in All Mungu ni wetu sote.
Kheee....Heheheh eti umri usonge tu ugali khaa
Nipo sijakimbia, ila kidogo wewe una akili, comment yako hapo juu nimeipenda sana, ni kweli lazima uchague mwanaume mwenye vision ila wenye huwa wanakuja bado mnawakataa tu, mkiwa ktk kuvunja ungo, huwa mnakuwa wajinga sana nyie.Anakunywa maji kwanza maana hali yake sio nzuri kwakweli, inabidi awe chini ya uangalizi wa daktari, lasivyo.....
mwanamke aliyeolewa akaachika anakumbana na stigma sana kwenye jamii iliyomzunguka, kama sio mwanamke ngangari anakua sana pyschological crushed.
na wengi wa wanawake sio strong ile stigma inawaathiri kisaikolojia
Mtakula hivyo hivyo mbichiKheee....
Huo ugali unaiva lini?
Na waliambia wasitengane, Adamu na kiranga chake sijui alichepukia wapi hapo ndipo shida ilipoanzia, maana kama wangekuwa wote isingekuwa rahisi kurubunika.
sikuweziMmmh!! Hata wanaume wanaathirika sn tu sema bora sisi huwa tunaheal kweli, ila nyie inawasumbuaga sanaaa unaona mtu anajirusha maclub na wapi huku anazidi tu kujikondea, sie tunasumbuka for a while alafu tunasimama tunasonga mbele, ndio maana hata walevi wa kupindukia na watumia madawa %kubwa ni wanaume.
Tunakoelekea mbona hata jamii zitanyooka tu na kugundua kuwa sio big deal kihivyo!
Ila tumrudieni Mungu jamani, na sio mkiona tunamlilia basi mnatusimanga kuturudisha nyuma, na haturudi ng'ooooo mwambieni shetani mision impossible.
Heheheh eti umri usonge tu ugali khaa
Kweli hamna namna....twala tuu siku zikifikaMtakula hivyo hivyo mbichi
Mie umri ulishasonga ugali zamani tu hadi tumeshaula, ila Nipo tu kwa kweli. Ntakawia tu, ila nikipata nipate kitu "outstanding" In my kaka @mito voiceKwakweli doughter hataa usije ukajikurupua huko na garasa lako kisa umri unasonga ugali acha usonge tu kwakweli.
Ndio hapo sasa kila mtu anamizigo yake kuipeleka huko teh teh....
Ngoja nilipeleke furushi langu huko, but msubiri tujibiwe sie tukipata pesa tuje tuwaoee sasa....
Hapo Bwana aliyejuu atakuwa amesolve two problems..
Kazi tunafanya kwa wakati wake.Sasa pesa utazipata kwa kushinda kuchambana na wanawake jf na kwenye mitandao ya kijamii?? hayo maombi hata kwenye paa hayafiki(nami najimungu sasa) piga kazi huku ukimtumainia, haki tena hata thread ya hivi hamtofungua tena maana huo muda utakuwa haupo.
Nipo sijakimbia, ila kidogo wewe una akili, comment yako hapo juu nimeipenda sana, ni kweli lazima uchague mwanaume mwenye vision ila wenye huwa wanakuja bado mnawakataa tu, mkiwa ktk kuvunja ungo, huwa mnakuwa wajinga sana nyie.
Umechanganyikiwa hadi unatukana wanawake wenzako. kwa hiyo na wewe k yako ina marinda? halafu dizaini hiyo uliwaona wangapi wameoana hadi kuzeeshana? unadhani ndoa ni sawa na chai asubuhi? wewe ni hovyo kabisa.Nyoooooo! Mbona Dida anaenda kuolewa chungu cha 4 na kuna vibikra kanisani havina hata chungu kimoja? Kuolewa bahati na umpate mjinga mwenzio umfunge funge akili na kumzidi maarifa anasign karatasi lile ndo ndoa hivooo. Unafikiri ndoa basi kitu kikubwaaaaa? Hahahaaaaaa!
Wapo kibaooooo, nimechoka tu kutaja.
Kkwani hakuna wanaume wenye watoto kabla ya ndoa na wao wanatarajia kuoa wanawake ambao hawana watoto .....
Hata wao wanakesha kuomba Mungu wawasaidie kupata mke ambae atalea watoto wake bila ubaguzi.....
Ukute Adam alienda kujisaidia tu na nyoka akaitumia ile nafasi jamani, sasa wewe ulitaka muda wote Adam amchunge Eva?
sikuwezi