binti anachagua garasha anazalishwa au anaolewa ndoa yenye mateso na kuchomoka hapo ni ngumu, keshakua 'used' ila mwanaume akiona mchumba kimeo au wife kimeo anajiondoa anaanza tena na maisha yake hayawi affected kama ya mabintiMmmh! Wanaume wanawezaje kureverse? Maana mie kuna ninaowafahamu wanatia huruma basi tu siku zinasonga!
Tuje ili mtuchambe....Mbona wamepotea tena, waje bwana wakiwepo ndio kananoga, jioni inakuwa muruaaaaa!
binti anachagua garasha anazalishwa au anaolewa ndoa yenye mateso na kuchomoka hapo ni ngumu, keshakua 'used' ila mwanaume akiona mchumba kimeo au wife kimeo anajiondoa anaanza tena na maisha yake hayawi affected kama ya mabinti
Tuje ili mtuchambe....
Kwa upigaji huu wa story...! Hapana...Hatuwachambi bwana shemeji tunapiga story tu
Kwa upigaji huu wa story...! Hapana...
Mungu sio kidonge cha @ciprofloxacin bana tunabarikiwa wote bila upendeleo wake kwa waume, kama anabisha aseme yeye na madhambi yake kuna siku Mungu aliwahi kumnyima oxygen?Hahahaaaa! Wanaume wanajionaga Miungu watu sanaa, wao hawanaga dhambi alafu wana akiliiii, hizo akili zao mbona bado wamechalala tuu, na kuolewa wameolewa, wao si wanaume bwana na wana akili basi wachukue hao wasio na akili wawafanye wenye akili, kama wameweza kutambua kuwa Mungu anasumbuka basi they can do miracles too.
Hahahaa inzi wametoweka ajabu sana,kinyesi wamekinya wakakishangilia kimewakaukia wamekikimbia,ilikua zengwe tu....Mbona wamepotea tena, waje bwana wakiwepo ndio kananoga, jioni inakuwa muruaaaaa!
Mmmmmh.....Hahahaaaaaa!! Bwana shemeji msikimbie bwana hatutamsumbua tenaa Mungu, hebu mfikishie sala zangu.
Hivi bwana shemeji naona nyie mko kwenye kabinet hadi anawaambiaga amechoka niombeeko hata kausecretary huko ili nami niwe nashuhudia anavyosumbuka.
Hahahaa, utapata constipation kesho mapapai yanakuhusu....movie yenyewe tumebaki majambazi tu masteringi haooo wameudedi..tehHahaha huo ukwaju utakusumbua kwenda toi ujue, me Nakula tu skonsi nisije nikabanwa haja nikamiss episode bure
Mungu sio kidonge cha @ciprofloxacin bana tunabarikiwa wote bila upendeleo wake kwa waume, kama anabisha aseme yeye na madhambi yake kuna siku Mungu aliwahi kumnyima oxygen?
Hehhehe itabidi tumuite tu judge Lubuva atangaze matokeo mapema tukalaleHahahaa, utapata constipation kesho mapapai yanakuhusu....movie yenyewe tumebaki majambazi tu masteringi haooo wameudedi..teh
Eti ushauri nyolooo
Hiyo avatar yako mbona yafanana na mwingine au ndo mwendo wa ID kibaoHa ha ha haaa hachambwi mtu hapa......
Hahahaaaa! Wanaume wanajionaga Miungu watu sanaa, wao hawanaga dhambi alafu wana akiliiii, hizo akili zao mbona bado wamechalala tuu, na kuolewa wameolewa, wao si wanaume bwana na wana akili basi wachukue hao wasio na akili wawafanye wenye akili, kama wameweza kutambua kuwa Mungu anasumbuka basi they can do miracles too.
mwanamke aliyeolewa akaachika anakumbana na stigma sana kwenye jamii iliyomzunguka, kama sio mwanamke ngangari anakua sana pyschological crushed.Nooo that was before, hivi huoni rate ya ndoa kuvunjika imeongezeka? Kwasababu wakishagundua ni garasa anachomoka anatafuta another life without garasa, hayo mambo waliyaweza bibi zetu as hawakuwa na pa/cha kushika.
Na wapo wanaoolewa na watoto wa4 na wanaishi vizuri tu, na kuna wanaume waliokosea nao wapo wanagugumia tu.
Hahahaa inzi wametoweka ajabu sana,kinyesi wamekinya wakakishangilia kimewakaukia wamekikimbia,ilikua zengwe tu....
Mmmmmh.....
Wenyewe tupo tunamsumbua mungu afunguee maaana mshaanza kutuita mizigo...
Heheheh eti umri usonge tu ugali khaaWaje tu tupige story sasa maana hakuna namna, kuwakataa tunawakataa tu na ikibidi tunawaoa kabisa, sijibebei tu garasa kisa @sumbai atanisema shemeji yake eti umri umesonga, acha usonge tuuu hadi na ugali ila garasa ni BIG NO.