Ukianzisha ligi na hao....lazima unyooshe mikono juu....
Naona sijui huyu carboniflux kakimbia...duh
Mi naburudika tu..Wala siko serious..Nilishangaa nawe povu limekutoka ukajifanya kumsaidia Mungu kazi!!
Hapana aisee haiwezi hata kidogo, kwa lipi labda!! Hakuna kitu kama hicho, mimba iko imara kama chuma cha reli, teh teh teeeh!
Ha ha haDuuuuh!! Ndio maana huwa tunaitwa "malaika"
Teh,unanichora eeh....Marahaba my sista, mzima? naangalia hapa mpambano unavyoenda, nacheka tu hapa kila nikisoma posts zako na za @brenda18
wapi @housegirl timu ikamilike?
Hahahaaaa! We tumia tu huo ujanja wa kizamani uje utahamaki umejila TIGO la maisha mwenyeweee. Ooooooh!
Mi naburudika tu..Wala siko serious..
Kama bebito yuko salama basi sawa
Heehheh niache bana na degree yangu ya uuguzi wa bila kusomea. muone na "class" yake ya Uduvi. Au wewe ni uzao wa Abel hahhaHuo ujanja nampa @Heaven Sent mie huo uduwanzi sitaki kabisa, shida peleka hukooooo(ngoja sasa waje ) teh teh teeeh!
Heehheh niache bana na degree yangu ya uuguzi wa bila kusomea. muone na "class" yake ya Uduvi. Au wewe ni uzao wa Abel hahha
Teh teh nauguza uzao wa Kaini bana, wakipona tu wanakuwa uzao wa Abel. Leo hahahahHahahaaaaa!! We kuwa tu muuguzi mama wauguzeeeeee, ukimaliza njoo takutengenezea juice ushushe pressure.
Hio kamari sasa eiher utakula zote au utaliwa zoteee. HAVE YOU EVER SEEN THE LEOPARD CHANGE ITS SPOTS? I didnt think so too.Teh teh nauguza uzao wa Kaini bana, wakipona tu wanakuwa uzao wa Abel. Leo hahahah
Hahahaa haki ya nanii haka kauzi katamu sana,walahi nacheka tu hapa.....juisi ya ukwaju inanihuuTupate short break kutoka kwa wadhamini wetu teh teh teh
Me ngoja tu nijitolee kuuguza bana, akipona hata mmoja ntakuwa nimeokoa kizazi kimoja na uzao wake. Ni furaha kuu Kaini mmoja akigeuka kuwa AbelHio kamari sasa eiher utakula zote au utaliwa zoteee. HAVE YOU EVER SEEN THE LEOPARD CHANGE ITS SPOTS? I didnt think so too.
Teh teh nauguza uzao wa Kaini bana, wakipona tu wanakuwa uzao wa Abel. Leo hahahah
Kubwa lao umerudi tena ? Unatoa za usoo tuuu....! Umesababisha tumekimbia..!Hio kamari sasa eiher utakula zote au utaliwa zoteee. HAVE YOU EVER SEEN THE LEOPARD CHANGE ITS SPOTS? I didnt think so too.
Hahaha huo ukwaju utakusumbua kwenda toi ujue, me Nakula tu skonsi nisije nikabanwa haja nikamiss episode bureHahahaa haki ya nanii haka kauzi katamu sana,walahi nacheka tu hapa.....juisi ya ukwaju inanihuu
Hahahaa haki ya nanii haka kauzi katamu sana,walahi nacheka tu hapa.....juisi ya ukwaju inanihuu
Teh naugua salama nurse mimiHahahaaaaa! Unasubiri pantoni airport eti mama? Haya uuguzi mwema nawe ugua pole.
Wewe ambae ni macho chini mbona usimpe yeye mawazo mazuri akakaa kwenye mstari?kwa nini wewe uliye na upeo zaidi usiwe kiongozi wake?wewe unayekula huo mzigo bila malengo ndo una akili ila yeye anaeliwa ndo hana akili?hapo ni mizigo miwili imekutana,acha kujitetea penye hamnaUnakua na mwanamke unaona kabisa hana akili ya maisha, yeye ni macho juu juu na kujiita dada wa mjini, kichwani ni empty head anakutegemea kwa kila kitu hana hata akili ya kukupa mawazo ya kutusua maishani, mtu kama huyo unapeleka wapi??? Unaona ni bora uendelee kujilia mzigo miaka nenda rudi ukiwa unapanga files zako kichwani
kumbe hamtaki kuelezwa ukweli, mtu akiwaeleza ukweli anakuwa kaini haya endeleeni kufanya upuuzi wenu uzao wa Abel utawasapoti.
Wewe ambae ni macho chini mbona usimpe yeye mawazo mazuri akakaa kwenye mstari?kwa nini wewe uliye na upeo zaidi usiwe kiongozi wake?wewe unayekula huo mzigo bila malengo ndo una akili ila yeye anaeliwa ndo hana akili?hapo ni mizigo miwili imekutana,acha kujitetea penye hamna