Kinadada acheni kumsumbua Mungu

kuoa/ kuolewa sio lazima ila inaongeza heshima
 
Teh teh..Kuna wagonjwa wanamlilia Mungu deile na hawaponi kumbe kuna hawa viumbe ndo wanamkip Aliyejuu bize kwa maombi yao ya kisumbufu..Angrrrrr
Duh! Haki ya Mungu humu ni balaa!
 
Usiniambie mleta mada nae hajaolewa kwa wakati, na wakati wa kuolewa ni upi? Hebu tuelimishe
Kabla ya wakat wa kupanik haujafika....commonly ni below 30.
Ruka ruka, chuchumaa, lala chali, inuka, vyovyote utakavyofanya huo ndio ukwel.
 
Yani hata usijali mpendwa, me sio mtu mwepesi kuwa offended. "NDOA NI MUHIMU ILA SI LAZIMA". Kwa mfano nisipoolewa je ( God forbid ooooooh) Mungu atanihukumu tofauti kwa sababu maisha yangu sikupitia sherehe 3 "kuzaliwa, ndoa, kufa"?

Hizo sehemu za utawala ni kutokana na na standards zetu tulizojiwekea. tunaamini kwamba familia bora ndo hujenga taifa bora. Na mind you sio kwamba ndoa tu ndo inakufanya uwe na uongozi mzuri, mwenye bora ndoa je haiaffect uongozi wake? Sidhani kama kutokuoa/kuolewa kutakufanya uwe na uongozi mbaya, sina uhakika
 
Uzuri ni kwamba sio wote mizigo dadashem....sijui wanaolewa wote wanaolewa na mizigo? Au wasiolewa inatokana kukosa bahati ya wanaume wasio mizigo?

Umeelewa lakini swali langu?
 
Ahaa waacheni wamkimbilie Mungu tuu, yeye ni master anashughulika na wagonjwa plus hao 'wasumbufu' kwa pamoja bila tatizo....

Sasa wasipo msumbua Mungu watamsumbua nani?
Teh teh..Hawa wasumbufufu watafute namna tu kwa kweli..Wanaongeza foleni tu
 
Hivi hua nawatafakari wanaume na kauli zenu hata siwaelewi,wanawake wanajizalisha mwenyewe?ama wanachakazwa na wanawake wenzao?Mungu awasaidie nyinyi wanaume maana hamjui mlisemalo na msipokua makini mtaoana mwenyewe kwa mwenyewe mpaka mkome ikiwezeka mzalishane na watoto mjue unatuchosha na maneno yenu ya shombo umzalisha dada wa watu huko na kumtelekeza huko then mnakuja hapa kubwabwaja kua kachakazwa,kachoka acheni dharau.
 

Hivi hiyo "too selective" ni kwa mujibu wa nani? Kwani hawapo walioolewa na masikini na wasiosoma? Kila mtu huchagua wa kuishi nae, hata nanyi mwachagua haswaaaaa, sasa why mtu ajibebee tu mtu ambae kiuhalisia hata ujilazimishe hisia kwake haziji?
 
[emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji182] that's my man and half. Afya ni kitu ninachomuomba Mungu kupita maelezo. Ndoa ni ya muhimu but ndoa sio kila kitu.
Teh teh...Douta ww ndoa kwako sio tatizo...Ni vile tu bado hujataka..Wanaume kibao wanagonga hodi nawatimua..
 
Kabla ya wakat wa kupanik haujafika....commonly ni below 30.
Ruka ruka, chuchumaa, lala chali, inuka, vyovyote utakavyofanya huo ndio ukwel.

Oooh! According to who??
Vipi wewe ushaolewa?
 
Usiniletee paniki zako hapa mkosaji....
Are screpa linaloongelewa na thread ama?
Nitakuletea dazani ya test tubes.
 

Mbona washaanza kuoana wenyewe kitambooo, na wengine wameolewa na wanawake, tujiandaeni tu kuwaoa maana tuendako hali sio hali.
 
Hahah sasa hapo uliposema kwa mfano usipoolewa halafu mbele ukaweka God forbid inaonyesha dhahiri hupendi kukaa bila kuolewa ,hivi unaijua nafasi ya mwanamke kwa Mwanaume kwenye ndoa ??? Unafahamu busara za kina Easther ndio ziliwaokoa wa Israel ??? Ndio maana Mungu alimpa Adam msaidizi wa kufanana naye ,kwanini Mungu hakumpa Adam msaidizi mwanaume mwenzake ??? Misingi yote bora inatoka kwenye ngazi ya familia amini usiamini ,unajiskiaje unapo mwona simba dume akiwa kwenye territory yake na wanae na mkewe na watoto na Simba dume mwingine hawezi kuingia kwenye hiyo territory, busara kidogo kama za wanyama zinatushinda wanadamu na ku justify vitu visivyo mpendeza Mungu kuwa ni sawa tu ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…