Hii topic si nzuri sana kwa hizi nyakati. Mtatafutwa kwa kujifunza mbinu za kigaidi bure. wacha nikimbie...
al shabab wameahirisha kuja tanzania.so ishi kwa amani tuu mrembo!!!wadau naomba kuelimishwa bomu linapolipuka nini haswa kinachoua watu je ni moto ni moshi ni mstuko ni mrusho au ni nini maana sielewi. Nipeni elimu ili nijue na ikitokea nijue najikinga vp
Vinavyoua bomu linapolipuka ni vitu vingi kulingana na aina yenyewe ya bomu.
# Mawimbi "Waves"
- Mawimbi yanaweza kukurusha sehemu yoyote ile mbaya nakukusababishia kifo. Au pia yakakuletea madhara ktk maskio.
# Moto
- i don't want to explain.
# Sauiti - Sauti inaweza kukusababishia presha na kuincrease rate of heart beat, ambayo inaweza kukusababishia kifo.
# Fragments Particles (neno lakiswahili silijui hapa)
- Hivi vinaweza kua vipande vya chuma ambavyo vitakuletea madhara vikikukuta mwilini mwako.
# Chemicals
- Chemical za kwenye bomu nazo zinaweza fanya kazi sambamba na miale yakukupa madhara ktk ngozi/macho n.k au nyingine zinaweza consume oxygen ya kaeneo ulipo nakukufanya ushindwe kupumua vizuri.
# Miale "Rays"
- Baadhi ya miale inawezakutoboa ata ngozi nakukuletea madhara makubwa.
# Gesi - inaweza kukua kulingana na aina ya gesi yenyewe mana nyingine zinareact na Haemoglobin ili kuzuia oxygen supply kwenye damu nakukusababishia kifo.
Na mabomu siku hizi yamekua advanced sana sio kama zamani
-kuna "Barrel bomb"
Mabomu ambayo ni kazi Rahisi na Bei ndogo kutengeneza ndani wanaweka chemicals na baadhi ya particles kama vile vipande vya chuma, nati(scrub), lakini haya haya mabomu yamekuwa advanced tena sio kama zamani, na yanatumiwa na Waasi kwasabu ni very cheap, Google inaniambia kwenye kama 200USD - 300USD.
Madhara yake ni kama haya
![]()
-Kuna category ya mabomu yanayoitwa "Rocket Bombs" ambayo kuripuka ni mpaka yapewe initial velocity na kugonga sehemu fulani then yanaripuka, kwenye movie yanaonekana sana.
![]()
- Kuna Delay-Action Bombs.
Aina hii ya mabomu unaweza kuepuka kwa kukimbia kwasabu yanachukua sekunde kadhaa kuripuka, sizungumzii yale ya kwenye movie ambayo mtu anatega time count down, apana.
Aina hii ya mabomu kwamfano ukirushiwa kwenye nyumba yako, litachukua muda kidogo kama ni kupenetrate au ku initiate chemical reactions za ndani ambazo zinafanya Exothermic reaction (zinagive out heat) then linaripuka, nakutoka moto, gesi particles n.k.
![]()
Solution kubwa yakuepuka bomu nikukimbia.
Na mabomu yapo ya aina nyingi sana duniani.
snipa
asante sana kiongozi kwa somo zuri ila solution ya kukimbia ni kwa kila bomu au kwa aina ya bomu?Vinavyoua bomu linapolipuka ni vitu vingi kulingana na aina yenyewe ya bomu.

Vipi kuhusu kuwahi kulala chini kifudifudi kabla ya mlipuko wa bomu, kunaweza vipi kupunguza madhara ya mlipuko wa bomu?
Tumeona mara nyingi kwenye movie lakini sayansi yake sijui inakuwaje hasa.
asante sana kiongozi kwa somo zuri ila solution ya kukimbia ni kwa kila bomu au kwa aina ya bomu?
Snipq you killed it man but watch out people might fvck around and offer yu a job as an assassin :screwy:
hahaaa 😀 ain't gonna f ck with it, i've been taught to be a good man in this f cken earth....
Tu apply knowledge ya projectile mkuu !
![]()
assume hapo kwenye starting point ndipo lilipotua bomu "nazungumzia mabomu ambayo most of the time yanatoa fragment particles" ambazo ndo hizo zinazofuata parabola trajectory,
bomu likiisha ripuka particles zake hiziwezi kwenda horizontally side way lazma nyingi zifuate projectile siquense,
sasa kama wewe uli lala hapo katikati ya mstari wa horizontal range, particles zilizolipuka kukuta inakua ni ngumu kidogo, kwahiyo utakua umepunguza madhara.
N:B inategemeana na bomu, usishangae ardhi ya chini imekuja juu na ya juu imeenda chini nakukuzika wewe uliyelala.
snipa
Inategemea na bomu lenyewe lilivyoundwa, kuna mabomu aina nyingi sana. Mengine hayauwi kabisa yana namana nyingine za matumizi huitwa "non lethal bombs".
Usishangae, Wamerekani walishataka (proposed) kutengeza bomb la ushoga, naam ushoga aka nsǝuƃǝ, likipigwa wanaume wanatamaniana wenyewe kwa wenyewe na wanashindwa kujizuwia. Sijui kama hawajalitengeza.
Chanzo: The U.S. Military's Proposed "Gay" Bomb