Kinachoua bomu linapolipuka ni nini?

Kinachoua bomu linapolipuka ni nini?

topic moja ya ukweli sana credit kwa snipa na wengine mliochangia mmeelezea vizuri wakuu licha kuwepo na wehu kadhaa wanaojadili dini kwenye thread conscious kama hii.
 
Last edited by a moderator:
Umenena vema sana.Ni hatari sana kulijadili hili swala katika nyakati hizi ambazo kuna vitisho vya mashambulizi ya kigaidi.Kufundisha watu aina za mabomu,yanavyotengenezwa na jinsi yanavyodhuru ni hatari sana kwani hata hujui aliyeuliza ni nani na ana lengo gani.Nashauri hizi taarifa alizotoa snipa zingefutwa.
mh sidhani kama kueleza jambo kama hili ni tishio kwa mimi naona tena huu ndio wakati muafaka kujua mambo haya kwa sababu dunia si sehemu salama tena.
na kama lengo lingekuwa baya unafikiri hapa palikuwa sehemu sahihi kuomba taarifa hizo? nakuhakikishia wanaofanya mambo haya hawatafuti taarifa kienyeji kiasi hiki wanafundishwa na watalaamu tena kwa vitendo. yani niwe na mission halafu nakuja kuomba taarifa mtandaoni? basi sitakuwa makini katika utekelezaji wangu wa hiyo mission.

tusiwe waoga hata kujua na kujielimisha wenzetu wanatushinda kwa vitu vidogo kama hivi. knowledge is power never forget that.
 
al shabab wameahirisha kuja tanzania.so ishi kwa amani tuu mrembo!!!
msiwe waoga waoga na wa kuchukulia mambo kimazoea jamani ukiachilia mbali matukio ya kigaidi yanayoendelea nani aliwahi kujiuliza swali kama hili au tumekuwa tunayachukulia mambo kimazoea wewe ulijua bomu linamuua mtu namna gani pamoja na kuangalia sinema toka uzaliwe na taarifa za habari kila kona ya dunia?
mimi nimeamua kuacha mazoea na kutaka kujua sasa waje wasije elimu ni jambo la heri. kwangu mimi nasikia furaha na kujiamini zaidi ninapokuwa na uelewa juu ya mambo mbalimbali yanayonizunguka au yanayoendelea duniani.
and am not just a beautiful woman iam THE IRON LADY, strong and intelligent
 
kilianzia bomu kikaja risasi kikawa kama kinaingia kwenye siasa ghafla kipo kwenye dini sio muda kitaingia matakoni mwenu kujifanya mnajua....shenzy sana!
sasa huyo shenzi nani hapa?
mbona mnataka kuharibu mada matusi na udini unatoka wapi? sasa nawe kama haitoshi umeamua kuleta matusi. tuacheni tunaotaka kuelimishana tuendelee.
 
mkuu snipa labda kwa kutusaidia ungetutajia au kutuonesha kwa picha bomu lipi effect yake ipi na utajikinga vp.
kwa sababu si wote tunayajua kwa majina ukiyataja yanaweza yasiwe msaada sana kama itawezekana kipicha jina lake na effect yake na mtu anaweza kujiokoa vp.
nadhani mtakumbuka kuna siku shekilango waliitwa wajeda kuja kutoa mabomu watu walipita pasipo kujua ni wachache walioweza kuona na kusema heee hili si bomu. sasa wale wanaoleta woga wao watuachie mada sie tunaotaka kujifunza.
tiririka kiongozi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu naona kama hii elimu inapitiliza sana sasa, labda ingefaa tu kuelimisha madhara ya bomu na namna linavyoua, ila namna ya kutengeneza na material yanayotumika na gharama zake ungeacha mkuu, ushauri tu...
kwa nini kiongozi? hivi mtu akitaka kufanya hivyo atashindwa na utandawazi huu. sidhani kama kinachoelezwa hapa kitakuwa ndio kichocheo. hii ni sehemu ya kuelezana mambo kwa uhuru. nijaribu kufikiri kwa sauti.
 
Umenena vema sana.Ni hatari sana kulijadili hili swala katika nyakati hizi ambazo kuna vitisho vya mashambulizi ya kigaidi.Kufundisha watu aina za mabomu,yanavyotengenezwa na jinsi yanavyodhuru ni hatari sana kwani hata hujui aliyeuliza ni nani na ana lengo gani.Nashauri hizi taarifa alizotoa snipa zingefutwa.

Ndio..Ndio Mkuu
 
Mie sina shida na U-ISLAAM. Nusu ya familia yangu ni Waislaam. Yaani nimchukue Mama Mdogo au Shangazi au Baba mdogo kwa sababu ni Muislaam, hell no. Niwachukie Binamu zangu kwa sababu ni Waislaam, hell no.
Kwangu mimi, dini zote ni WIZI tu na SIASA. Wadini wote bila kujali dini zao,they can just go to Somalia/Hell.

Mwenye chuki na MAREHEMU pamoja na dini ya Ukristo ni wewe. Ila bila aibu ulikimbilia kwa Makafiri na nchi yao ya Canada hadi walipokutoa baru chupi mkononi. Ukaja Tanzania na mahasira yako ya kukimbia mara mbili yaani kumkimbia Marehemu Nyerere na kukimbia Mashoga/Wakristo wa Canada baada ya kukushtukia kuwa wewe ni Mkimbizi Feki.

Ndiyo maana hata Muislaam mwenzio Mkandara, mtu mwenye kuheshimika sana hapa JF alikuwa akikupinga.

AJUZA, mwezi wa 11 unakaribia.

Wale NINJA hawana makosa kama vile Mashoga hawana makosa, kwani wanatumia Makalio yako? Sasa hizi story za zilipigwe Bomu ili Wakristo wawe mashoga, kwani wamekukosea nini? Kwani likipigwa itakuwa Wanaume tu? Ushoga hata Wanawake. Na ndiyo maana nikakujibu hivyo, ila ulivyojibiwa wewe kwa maneno yako mwenyewe, imekuuma. Kungwi utajibeba.

Hiyo chuki yako kwa Waislam ni bure tu.

Ni kujidanganya tu. Ukweli unajulikana. Unless uwe ni mwehu.

"wale Ninja" wamekukosea nini? au inakunyima raha unapokosa kuwaona miili yao?

Civilization ya mwanaadam ilianza kwa kujuwa kujistiri na si kwa kutembea uchi. Sasa fikiri, dada zako na mama zako wanaotembea nusu uchi na "wale NINJA" ni nani yupo "civilized"?
 
Elimu ya namna ya kutengeneza bomu ipo wazi Online.
Kama unajua lugha ya Kiingereza unaweza kugoogle mwenyewe.

Wakati huu wa hatari, ni vema watu wakijua mambo kama haya.

Umenena vema sana.Ni hatari sana kulijadili hili swala katika nyakati hizi ambazo kuna vitisho vya mashambulizi ya kigaidi.Kufundisha watu aina za mabomu,yanavyotengenezwa na jinsi yanavyodhuru ni hatari sana kwani hata hujui aliyeuliza ni nani na ana lengo gani.Nashauri hizi taarifa alizotoa snipa zingefutwa.
 
Back
Top Bottom