Kinachoua bomu linapolipuka ni nini?

Kinachoua bomu linapolipuka ni nini?

Umenena vema sana.Ni hatari sana kulijadili hili swala katika nyakati hizi ambazo kuna vitisho vya mashambulizi ya kigaidi.Kufundisha watu aina za mabomu,yanavyotengenezwa na jinsi yanavyodhuru ni hatari sana kwani hata hujui aliyeuliza ni nani na ana lengo gani.Nashauri hizi taarifa alizotoa snipa zingefutwa.

Inawezekna wewe na huyo unayemuunga mkono hamjui kusoma hau huwa hamuelewi...inaonyesha hamjaelewa kinaongelewa nini...
 
Yote kwa yote, tena ni mke wa mtu kama wewe. Na hajawahi kupungua utamu.
[h=1]1 Wakorintho 5
1 Nanyi mwajivuna, wala hamkusikitika, ili kwamba aondolewe miongoni mwenu huyo aliyetenda jambo hilo.
[/h][h=1]1 Wakorintho 6
8 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
[/h]Unajuwa maana ya kuurithi "Ufalme wa Mungu"?

Halafu unajisifu?

Amma kwa hakika mapunguani ni kedekede.
 
Inawezekna wewe na huyo unayemuunga mkono hamjui kusoma hau huwa hamuelewi...inaonyesha hamjaelewa kinaongelewa nini...

Mbona una kiherehere kama mtu anayeumwa tumbo la kuhara kijana.
Hebu soma vizuri taarifa alizotoa Snipa na uzielewe utajua ni kwa nini tumesema hivyo.
 
Inategemea na bomu lenyewe lilivyoundwa, kuna mabomu aina nyingi sana. Mengine hayauwi kabisa yana namana nyingine za matumizi huitwa "non lethal bombs".

Usishangae, Wamerekani walishataka (proposed) kutengeza bomb la ushoga, naam ushoga aka nsǝuƃǝ, likipigwa wanaume wanatamaniana wenyewe kwa wenyewe na wanashindwa kujizuwia. Sijui kama hawajalitengeza.

Chanzo: The U.S. Military's Proposed "Gay" Bomb
Upele umepata mkunaji
 
kilianzia bomu kikaja risasi kikawa kama kinaingia kwenye siasa ghafla kipo kwenye dini sio muda kitaingia matakoni mwenu kujifanya mnajua....shenzy sana!
 
Hii topic si nzuri sana kwa hizi nyakati. Mtatafutwa kwa kujifunza mbinu za kigaidi bure. wacha nikimbie...

Haya ndio mambo kujua kwa kipindi hiki ili watu waelewemadhara ya siraha mbambali na zinavyoweza angamiza . Kwani wa TZ tumezoea mabomuya machozi kwa sana. Ya kuua si sana. Sasa na hii hali tete ya al shabaab nibora tukafundishana. Usikimbie kaa ueleweshwe!
 
snipa je haya ndg zetu wanayo meza au kuvaa vp?
 
Last edited by a moderator:
Hii thread ni nzuri na mkuu snipa naona kaitendea haki kweli kwa ufafanuzi wake.Big up mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Dah this topic reminds me of late high school, in high school was obsessed na Chemistry, physics and Bombs (not in a bad way, as in understanding the science behind them). I did a lot of research na niligundua vi2 vingi sana. Some naogopa kuviweka hata hapa cuz i might b held responsible kufunza watu bomb making, ila what i found out kwanza kabisa which shocked me nd kinda interesting pia is ukichukua glyceline ya nywele na potassium permanganate (dawa ya vidonda, inauzwa 500 hiv i think duka la dawa) vikichanganywa vina ignite into a spactacular flame. Also i did find out bomb ingredients zinapatikana kiholela na kirahisi sana na ndo maana wahanga hawaishi kila cku. Take nitroglyceline mfano(dynamite)! Ni Glycelin ya nywele na nitric acid inayopatkana kirahisi in school labs na other thing whch i dnt wanna mention hapa(ila easily found) tayar m2 has e bomb. Au take gunpowder ambayo mtu anaweza make na mbolea za shamba pamoja na mkojo wake(just like how they made t in the old days). I was really amazed. Ila back 2 topic namna dy kill u, mostly ni sharp metal 2, yaani bomb linakaa kati (ambalo likilipuka litakupasua maskio 2 na kukuunguza kidogo) alafu linafunikwa na mabati,bolts na vyuma vikali. Hapa likilipuka vyuma ndo vinakuua, alot of bombs ndo zinaua hiv. Ofcuz kuna other kinds ka yale ya kinyukilia, au bombs za kupenya kwenye vizuizi (armor piercing bombs), gas bombs, dirty bombs na kadha wa kadha which are other different story, sema haya yako more sophisticated tho.
 
kilianzia bomu kikaja risasi kikawa kama kinaingia kwenye siasa ghafla kipo kwenye dini sio muda kitaingia matakoni mwenu kujifanya mnajua....shenzy sana!

lol. I dunno wats with it na dini! Yaani kila ki2 lazima dini ingie
 
snipa je haya ndg zetu wanayo meza au kuvaa vp ?

Wanayomeza au kuvaa nayo pia yamegawanyika !

Delay action !
Yaani ni yanayoripuka ndani ya sekunde kadhaa, au ambayo ni non delay action yanayoripuka tu mtu akibonyeza switch/kulishtua kwa namna yeyote ile.

Do_demolition_projects_use_explosives_330x330.jpg

huo ni mfano wa bomu linalotumia time count down.

Ndugu zetu huwa wanatumia aina zote hizi za mabomu yaani ambayo hayana time elapse na yenye time elapse count down, ambayo mara nyingi wanayatengeza kienyeji, ata wewe unaweza tengeneza kwani unaweza kununua explosive materials kwa bei ya kawaida tu inategemeana na hizo material ni za Pressure gas, au chemical ya aina yeyote ile kulingana na time of reaction na uwezo wenyewe waku expand, kwamfano chemical mara nyingi wanauza kwa kilo, "Kg" unaeza uziwa dola 110/kg kulingana na aina yenyewe, ila kutengeneza yaani kuliunda utahudumia mwenyewe.

Hizi ni explosive material ambazo ukiskia mtu kakutwa na vifaa vya miripuko, hua kama hivi baadhi

Dynamite_Explosives_by_a1future.jpg

Na inategemeana, kama litakua ni la count down itabidi mtu ahitaji digital stop watch/local kama ya kwenye picha hii, betri lakuendesha system nzima... Na Explosive substance yenyewe, Ndugu zetu hawa wanatengeza mabomu locally sana.

Na pia yapo ambayo ni modern tena yanakuwa controlled kwakutumia signals, yaani mtu anaweza lipua bomu akiwa mbali na bomu lenyewe kwakutumia external switch ambayo kama itakua ni simu, saa n.k... Haya yanatumika sana kwenye mission za kijeshi, ila hawa ndugu zetu hawajali maisha yao, so wanatumia tu yakienyeji.

Kwenye kuweka tumboni, nazani wanatumia njia ya upasuaji, sio kumeza tu mdomoni.
 
Last edited by a moderator:
Umenena vema sana.Ni hatari sana kulijadili hili swala katika nyakati hizi ambazo kuna vitisho vya mashambulizi ya kigaidi.Kufundisha watu aina za mabomu,yanavyotengenezwa na jinsi yanavyodhuru ni hatari sana kwani hata hujui aliyeuliza ni nani na ana lengo gani.Nashauri hizi taarifa alizotoa snipa zingefutwa.

sioni kama kuna tatizo maana kinacho jadiliwa ni nanmna gani unaweza kujiokoa na milipuko ya bom. Ili somo ilitakiwa kila mtu ajifunze na ikiwezekana hata kuyatambua mabom na mazara yake ili linapotokea la kutokea watu wawe wanajua wapi pa kuanzia
 
Wanayomeza au kuvaa nayo pia yamegawanyika !

Delay action !
Yaani ni yanayoripuka ndani ya sekunde kadhaa, au ambayo ni non delay action yanayoripuka tu mtu akibonyeza switch/kulishtua kwa namna yeyote ile.

Do_demolition_projects_use_explosives_330x330.jpg

huo ni mfano wa bomu linalotumia time count down.

Ndugu zetu huwa wanatumia aina zote hizi za mabomu yaani ambayo hayana time elapse na yenye time elapse count down, ambayo mara nyingi wanayatengeza kienyeji, ata wewe unaweza tengeneza kwani unaweza kununua explosive materials kwa bei ya kawaida tu inategemeana na hizo material ni za Pressure gas, au chemical ya aina yeyote ile kulingana na time of reaction na uwezo wenyewe waku expand, kwamfano chemical mara nyingi wanauza kwa kilo, "Kg" unaeza uziwa dola 110/kg kulingana na aina yenyewe, ila kutengeneza yaani kuliunda utahudumia mwenyewe.

Hizi ni explosive material ambazo ukiskia mtu kakutwa na vifaa vya miripuko, hua kama hivi baadhi

Dynamite_Explosives_by_a1future.jpg

Na inategemeana, kama litakua ni la count down itabidi mtu ahitaji digital stop watch/local kama ya kwenye picha hii, betri lakuendesha system nzima... Na Explosive substance yenyewe, Ndugu zetu hawa wanatengeza mabomu locally sana.

Na pia yapo ambayo ni modern tena yanakuwa controlled kwakutumia signals, yaani mtu anaweza lipua bomu akiwa mbali na bomu lenyewe kwakutumia external switch ambayo kama itakua ni simu, saa n.k... Haya yanatumika sana kwenye mission za kijeshi, ila hawa ndugu zetu hawajali maisha yao, so wanatumia tu yakienyeji.

Kwenye kuweka tumboni, nazani wanatumia njia ya upasuaji, sio kumeza tu mdomoni.

Ahsante sana kiongozi kwa Elimu nzr. Nadhani ww hujasoma shule zetu za kata. Huenda ni products za Nyerere, Cuba, USSR , na China. Mkuu uje uanzishe uzi maalum ya jinsi ya kijiokoa tu.

Mm huwa nashangaa Tz eti watu wanakatwa watu Tabora wanatengeneza local guns. Badala ya kuwa endeleza na kuwa na wataalam wetu eti wanawasweka Keko, Segerea, nk tuendelea na ukoloni mambo leo na kununua scraper za mmarekani.
 
Wanayomeza au kuvaa nayo pia yamegawanyika !

Delay action !
Yaani ni yanayoripuka ndani ya sekunde kadhaa, au ambayo ni non delay action yanayoripuka tu mtu akibonyeza switch/kulishtua kwa namna yeyote ile.

Do_demolition_projects_use_explosives_330x330.jpg

huo ni mfano wa bomu linalotumia time count down.

Ndugu zetu huwa wanatumia aina zote hizi za mabomu yaani ambayo hayana time elapse na yenye time elapse count down, ambayo mara nyingi wanayatengeza kienyeji, ata wewe unaweza tengeneza kwani unaweza kununua explosive materials kwa bei ya kawaida tu inategemeana na hizo material ni za Pressure gas, au chemical ya aina yeyote ile kulingana na time of reaction na uwezo wenyewe waku expand, kwamfano chemical mara nyingi wanauza kwa kilo, "Kg" unaeza uziwa dola 110/kg kulingana na aina yenyewe, ila kutengeneza yaani kuliunda utahudumia mwenyewe.

Hizi ni explosive material ambazo ukiskia mtu kakutwa na vifaa vya miripuko, hua kama hivi baadhi

Dynamite_Explosives_by_a1future.jpg

Na inategemeana, kama litakua ni la count down itabidi mtu ahitaji digital stop watch/local kama ya kwenye picha hii, betri lakuendesha system nzima... Na Explosive substance yenyewe, Ndugu zetu hawa wanatengeza mabomu locally sana.

Na pia yapo ambayo ni modern tena yanakuwa controlled kwakutumia signals, yaani mtu anaweza lipua bomu akiwa mbali na bomu lenyewe kwakutumia external switch ambayo kama itakua ni simu, saa n.k... Haya yanatumika sana kwenye mission za kijeshi, ila hawa ndugu zetu hawajali maisha yao, so wanatumia tu yakienyeji.

Kwenye kuweka tumboni, nazani wanatumia njia ya upasuaji, sio kumeza tu mdomoni.

Mkuu naona kama hii elimu inapitiliza sana sasa, labda ingefaa tu kuelimisha madhara ya bomu na namna linavyoua, ila namna ya kutengeneza na material yanayotumika na gharama zake ungeacha mkuu, ushauri tu...
 
Umenena vema sana.Ni hatari sana kulijadili hili swala katika nyakati hizi ambazo kuna vitisho vya mashambulizi ya kigaidi.Kufundisha watu aina za mabomu,yanavyotengenezwa na jinsi yanavyodhuru ni hatari sana kwani hata hujui aliyeuliza ni nani na ana lengo gani.Nashauri hizi taarifa alizotoa snipa zingefutwa.

Si kweli kabisa. Ukishajua aina za mabomu na madhara yake,hii itakupa ww namna nzuri ya kujihami/jiokoa ili usipatwe na madhara makubwa zaidi. Kwa hiyo snipa na mtoa mada wapo sahihi kabisa,na huu ni wakati muafaka wa sisi raia wa kawaida kujua abc za mabomu,kutokana na tishio la ugaidi toka kwa ali shabab.
 
Back
Top Bottom