Mbona anashinda hukohukoMmmh bwashee
Mhhhh bwashee,hata almasi,dhahabu,gesi vipo hapa nyumbani lakini walaji wapo ulaya na Amerika,lazima tupeleke huko,sie tuna rasilimali tu,madini,mafuta,gesi,mbuga,lakini hatuwezi kuzifanya fedha hapa nyumbani ni mpaka twende tukauze kwa wenye akili ulaya na US
Haaaa nimeamini wewe ni punguani rudia ulichokiandika kisha jitathminiRubbish kabisa, kama angedhibiti mfumuko wa bei na kusikiliza shida za wananchi nani angemlaumu? mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindulia Royal tour Marekani how?
Chadema ukizikamata akili za Freeman Mbowe basi umeshamaliza kazi.Wanaoishi na propaganda za Magufuli ni wapumbavu wachache wasiojielewa, yani mazezeta fulani hivi, watu wenye akili timamu tupo na mama na tunamuelewa.
....halafu nani alimfukuza Waziri anayeshughulika biashara hiyo, na kwa nini?Jiwe alipandisha bei ya sukari kutoka 1500 hadi 3500 over night...
Na hakukuwa hata na vita ya kunguru
Dingi akoHaaaa nimeamini wewe ni punguani rudia ulichokiandika kisha jitathmini
Naona posho za wiki iliyopita zimetoka sasa, hongereniChadema ukizikamata akili za Freeman Mbowe basi umeshamaliza kazi.
Alichofeli Magufuli ni kukamata akili za vibua na sehewa akina Waitara, Silinde, Katambi na covid 19 huku akishindwa kumnasa papa.
Awamu ya 6 imemvua Papa mwenyewe na bahari itatulia kwa miaka kenda ijayo!
Yupo hoi kabisaMama mwenyewe alisema viatu vya JPM ni vikubwa sana kwake...
Yaani wewe ndio takataka mnuko uwozo kabisa. Amzindulie nani hapa Tanzania?? Yaani hata kujua tu kwamba nchi inawachaji Visa fee $100 Wamarekani umeshindwa?? Ndio watalii pekee wanaolipia $100 Visa zao ndani ya dunia hii.Rubbish kabisa, kama angedhibiti mfumuko wa bei na kusikiliza shida za wananchi nani angemlaumu? mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindulia Royal tour Marekani how?
Kwa vile dada angu wewe ni mjamzito nakusamehe bureYaani wewe ndio takataka mnuko uwozo kabisa. Amzindulie nani hapa Tanzania?? Yaani hata kujua tu kwamba nchi inawachaji Visa fee $100 Wamarekani umeshindwa?? Ndio watalii pekee wanaolipia $100 Visa zao ndani ya dunia hii.
Pumbavu kabisa nyinyi watu. Asikilize shida za wananchi mara ngapi?? Sio wananchi waliopiga kelele wafungwa wa kisiasa wakiwemo masheikh waachiwe?? Mbowe?? Mdude?? Wafuasi wengine wa upinzani???
Rubbish kabisa
Rais Samia hakutaka kuhangaika na dagaa wa hapo Ufipa au pale ACT wazalendo bali amekamata Papa wote.Naona posho za wiki iliyopita zimetoka sasa, hongereni
Nyerere alishasema hamna watu rahisi kudanganyika kama wasomi,Ni ngum kumdanganya mtu ambaye hajaenda shule sababu propaganda zozote utakazompa atataka mpaka aone.Magufuli amefanya vitu vinavyoonekana,kuwashawishi watu hakufanya kitu ni ngum sana especial wananchi wa hali ya chini.Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee
Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k
Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.
Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.
Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwingi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.
Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakin bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.
Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.
Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.
Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia
Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau ?
Tunaongozwa diamond platnumsKwani hii nchi tunaongozwa na nani?
A. Mtu mmoja anayeitwa Rais?
B. Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ambacho mwenyekiti wake ni Rais
C. Baraza la Mawaziri ambalo mwenyekito wake ni Rais
D. Baraza la Usalama wa Taifa ambalo mwenyekiti wake ni Rais?
Tunaongozwa na nani?
Naomba urudie hii post yako posho zimekiwa zimechelewaRais Samia hakutaka kuhangaika na dagaa wa hapo Ufipa au pale ACT wazalendo bali amekamata Papa wote.
Mbowe, Zitto na Lisu wametulizwa kama wako ibadani.
Lini mtakubali kuwa mzee katwaliwa?Huwa tunawaambia hapa, the two best presidents of our country ni:
• Mwl Julius Kambarage Nyerere (Baba wa Taifa)
• Mwl John Pombe Magufuli (Baba wa Uchumi)
Ahsante mleta mada kwa kutusaidia.
Note:
The two top worst presidents our country has ever had ni:
5. Samia Suluhu Hassan
6. Jakaya Mrisho Kikwete
Samia bado ana nafasi ya kuwa a good, better or even one of the best presidents of our country... Muda bado upo upande wake.
andishi la kijinga. ungeishi enzi za nyerere ukapanga foleni kwenye duka la ushirika ukisubiri ununue sukari kwa mgao kisha ukakabidhiwa bakuli la bati la ALAF, lakini bado watu tulikuwa na furaha usingelinganisha na enzi za jpm ambapo ijapokuwa kila kitu kipo bado watu walikuwa na huzuni na woga wakihofia uhai wao.Habari za wakati huu ndugu watanzania
Kazi iendeleeiendelee
Baada ya nchi kumshinda Mwalimu mwaka 1985 aliamua kukaa pembeni na kumuachia kijiti Mwinyi ambae aliingia alikuta nchi imechakaa sana, uchumi upo hovyo, wananchi wanavaa nguo zenye viraka juu ya viraka, maduka ya ushirika yamekuwa shida bidhaa muhimu hazipatikani, nchi haina fedha za kigeni n.k
Lakini licha ya yote hayo wananchi walimpenda sana Mwalimu kutokana na propaganda zake na hotuba zake za kulaumu mabeberu na wazungu na matajiri (ref. Kitabu cha Mengi) na hivo kupanda mbegu kuwa shida zetu zimetokana na wazungu na matajiri.
Alipokuja Mwinyi akaanza kufungua nchi, kuruhusu watu kufanya biashara, kubinafsisha baadhi ya viwanda vilivyokuwa vinaenda kufa, akatoa uhuru wa siasa, akaanza kushirikiana na Marekani et al.
Wananchi wanyonge wote wakaanza kusema Mwinyi anatumika na mabeberu huku wengine wakisema ni dhaifu (hadi Nyerere aliandika hili) lakini deep down wote tunajua Mwinyi alikuwa sahihi na Nyerere alikuwa wrong na hii imepelekea hadi leo Mwingi hapewi heshima anayostahili na mtaa kwa sababu watu bado walikumbuka propaganda za Nyerere wakati wa utawala wake na hivyo kushindwa kumuelewa.
Upande wa SSH naye anaishi chini ya propaganda za Magufuli na licha ya mazuri yote anatofanya eg kufungua nchi, kutoa uhuru kwa raia, kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji lakin bado anaishi kwenye kivuli cha SSH.
Licha ya mapungufu yake SSH anajitahidi kufanya kazi nzuri ila ndo hivo jamii bado imemezwa na propaganda za Magufuli aliyefanya jamii ione bila yeye hakuna kitachofanyika.
Nahofia huko mbele kama akichoka SSH anaweza fuata nyayo za JPM ili tu naye akubalike kama mtangulizi wake kitu ambacho ni tatizo.
Thanks kwa kusoma na karibu kwa kuchangia
Nb. Nafikiria kuinunua JF mnaonaje wadau ?
Katiba mpya ingesaidia sana kupunguza mfumuko wa bei ya bidhaa mtaani kwani kusingekuwa na matumizi ya hovyo ya rasilimali za nchi kitu kinachopelekea serikali kuongeza kodi na hivyo bei kupanda!Aruhusu Katiba Mpya, kungekua na mfumo imara wa utawala wala asingepata mateso.
Ulitaka aende mbugani akawatangazie ngedere kwamba tumetengeneza filamu?Rubbish kabisa, kama angedhibiti mfumuko wa bei na kusikiliza shida za wananchi nani angemlaumu? mbuga zipo Tanzania wewe unaenda kuzindulia Royal tour Marekani how?