Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,221
- 128,982
Preamble:Japo ITV imefanya kazi nzuri katika kuuhabarisha umma uchaguzi huu, lakini kitendo cha Mtumishi wa ITV kuvaa sare ya Chadema, hakiwezi kuachwa hivi hivi bila kukemewa!.
Nakiri kuandika uzi huu kwa inpiration kutoka kwa mwana jf huyu
[h=3]Kuelekea Octoba 2015: Je, Sasa ni Wakati wa Media Zetu Kufanya Endosement?[/h][h=3]Kampeni UKAWA: Mnyonge Mnyongeni!, TBC, Inastahili Pongezi!.[/h][h=3]Kwa "Breaking News", Hongera ITV/Radio One!, Hongera [/h][h=3]Kitendo cha ITV kumpa Airtime Warioba ni Uchochezi au...[/h][h=3]Kufuatia Kazi Nzuri Iliyotuka Inayofanywa na ITV, [/h][h=3]Mnaonaje Mzee Mengi Akabidhiwe Kuiendesha TBC? [/h][h=3]ITV na "Morbid Curiosity", Very Unprofessional!.[/h][h=3]Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa!.[/h][h=3]Mzee Reinfred Masako, Mungu atakulipa kwa kazi nzuri [/h]Media inaruhusiwa kuchagua upande, yaani taking sides, kwa kufanya kitu
kinachoitwa "media endorsement" au ya vyama, au ya wagombea, ila media
hiyo inapaswa ku declare openly, mfano gazeti la Uhuru, Jambo Leo na
baadhi ya magazeti yameside na CCM. Gazeti la Tanzania Daima lina side
na Chadema. Kituo cha TV cha Star TV, na Redio ya RFA, vimeamua
kuvurumisha matangazo ya CCM every 15 minutes!.Kwa
vile ITV haija declare any media endorsement kwa mgombea yoyote au
chama chochote, hivyo it is wrong kwa muajiriwa wa ITV kuvaa sare ya chama chochote!.
Pia nilizungumzia maripota waliokuwa wakiandamana na wagombea urais wa CCM na Chadema, walikuwa wakiripoti as if wameajiriwa na hao wagombea, hivyo reportage yao ni biased with full
sensationalism ili kumbeba mgombea wao!.
Waandishi wa habari japo sii wote walioajiriwa na vyombo vya habari vya umma, lakini nature
ya waandishi wa habari inawafanya kuingia kwenye kundi la za fani za "the noble professions" ambazo ni kazi za wito, au kazi za kanisa, kama udaktari na ualimu, uanasheria, uaskari, etc!, hivyo wanapaswa kuwa ni watumishi wa watu, public servants, hivyo hawapaswi kuonyesha mahaba yao kwa upande wowote!.
Kazi ya msingi ya mwandishi yoyote wa habari is to tell nothing but the truth with objectivitiy, impartiality and balance. Ukiisha vaa sare ya chama fulani, huwezi kuwa objective, impartial na ku balance the story bali utaegemea side ya hiyo sare yako!.
NB. Naomba nimalizie kwa kutoa a little bit benefit of doubt, kuwa hakuna mahali popote, Chadema kimesajili fulani za rangi hizo kuwa ni sare yake, kama ambavyo kuvaa nguo ya kijani na manjano ambayo ni rangi za CCM, CCM haina copy right yoyote, hivyo pia inawezekana kabisa mtu ukajinunulia fulana yako ukiwa totally innocent ukajivalia fulana yako bila kujua ni sare ya chama fulani, hivyo kutokuwa na motive yoyote behind, then ukigundua kuwa kumbe inafanana na sare ya chama fulani, next time hutaivaa fulana yako kazini!.
NB.Pasco wa jf ni mwandishi mkongwe wa habari, ameripoti chaguzi za 1995, 2000, 2005 na 2010 akiwa newsroom!. Hivi sasa ni mstaafu, anakaa na kuangalia tuu jinsi vijana wanavyoripoti!, hivyo ITV, please don't feel offended, anayewakosoa ndie anayewatakia mema, just keep it up the good job you are doing!.
Pasco

Nasikitishwa sana na Mwenendo wa ITV.
ITV imekuwa ikireport Mambo ya Uchaguzi kwa kipindi chote cha Uchaguzi,
Lakini cha Kuumiza nakushangaza kituo hiki kutokuzifuata Taratibu,
Sheria na Kanuni za Vyombo vya Habari (Media Ethics) hii imekuwa Tatizo
kubwa sana kwa TV na Radio hizi za IPP.
Ukitizama Report zinazoendelea kupitia IPP hakuna Balance Story hata Moja, Utaona Migogoro, Vurugu, Migomo, Matusi nk....
Habari hizo ndio zimekuwa habari kuliko habari zakuwashibisha watanzania ukweli na kuwajuza uhalisia!
Mfano tangu jana mpaka sasa nafatilia TV zote Nchini Sijaona ITV
wamerusha Habari hata Moja ya Kata, Jimbo na Rais habari zote Nikule
UKAWA waliposhinda na Sehemu za Migogoro. Aibu sana kwa The Super Brand.
Habari moja tu ya Report ya Tume aliyosoma Mwenyekiti wa Tume ndio
ilizungumza CCM kushinda na Vyama vingine baada ya hapo Presenters
wakarudi kujadili Migogoro na Shida zaidi.
Emu Tizameni Azam Tv muone Mfano wa Reporting.
Unapotoa Report uwe na Data na ufundishe watu sio uwaweke watu na kaswali yasiyo na Majibu.
Watu wa TCRA mko wapi kutizama nakushughulikia maswala haya ya Vyombo
vya habari vikivyi na Mahaba na Vyama na kupotosha Watanzania?
Nchi itajengwa kwa Jamii yenye Maadili mema, na Maadili mema hutokana na
kila akisikiacho na kukiona Mtanzania, kama leo hii vyombo vya habari
kazi yao migogoro na kutokubalance habari jua hili ni tatizo!
ITV naomba Mjirekebishe!
Mzifuate Media Ethics ili Mfanye kazi ya Habari sio Mapenzi na Mahaba yenu.
kwa kazi ilofanywa na itv kuanzia jana had sasa
wanastahili pongezi zao ....hizo ethics kwa sasa tuwape tbc Pasco pita kwa huku pls
Majibu ya maswali hayo, yapo kwenye mada zangu hizi zifuatazo.Mkuu Pasco njoo utupe uzoefu wako kwenye Tasnia ya Habari ingawa so far kwangu ITV ni the best no more no less