Mbona mlikuwa hsmuongelei TBC na chanel 10 kipindi hivi vyombo vinapiga kampeni ccm? Magamba nyie 🙁
Nashukuru kwa uzi wako, natumai bwana mayala siku chache zijazo utakuja na uzi mfano wa huu, kucriticize TBC na uongo wao wa kichama
Wewe si iendelee kusikiliza ukweli na uhakika kutoka TBC au ianzishe ya kwako kwakuwa unajiona ni nguli kuliko nguli wa BBC.
Haikosoi TBC hata mara moja anaikosoa BBC.
Heeeee! eti BBC!!! Yaani watu hawaoni fyongo, uzushi na upotoshaji wa TBC ya Ayoub wanaona ya London
''Ondoa kibanzi kwenye jicho lako ndipo uondoe boriti .....''
JokaKuu
Sio BBC Pekee!.Uwezo wako ni wakukosoa TBC tu... Huko pengine sio level yako... Kwanza mabeberu ni wakina nani?