mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,169
- 8,939
Yaani hawa ITV walitaka tuingie vitani,nashindwa kuwaelewa wao pia wamechangia kuchochea watu kufanya fujo kama vile walivyofanya huko Sandali na Mtoni Temeke,sio usiri ITV wameegemea upande wa UKAWA,sida ni vitalu vya gesi lakini Mungu ni mkubwa huonyesha unafiki wa watu mchana kweupeeItv badala ya kuonesha watu wakishangilia ushindi wao wanaonesha ugomvi ....ndio mpangi halifu wa strategists wa ukawa ambao walitaka kuona vurugu zinatokea ili mdhungu aje kuwasaidia...shame!!