Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

google media ethics usome hilo ni somo kubwa sana kwa waliosoma mass communication au journalist watakuwa wanajua nini nazungumza hapa, ila waweza google nakuzipata sheria, kanuni na taratibu hizo
 
kwa kazi ilofanywa na itv kuanzia jana had sasa wanastahili pongezi zao ....hizo ethics kwa sasa tuwape tbc
Pasco pita kwa huku pls
 
Last edited by a moderator:
Huu ni ukweli mtupu. Reporting ya akina Sam Mahela inaboa sana. Wajifunze kutoka Azam News -very profesdional (sawa sawa na ccn, BBC n.k
Angalia tbc pia kuna professionals kibao kwann uangalie kitu kinachokukera
 
Kwenda kule kama ni mambo halisi wasionyeshe? Safi sana itv safi Sam mahela professionalism practised well this is wat outside pia do unataka asionyeshe wakati amesaidia tmk w alikua wanagoma kutangaza matokeo mbona afta wao kufika wametangaza
 
Wenzako wamekesha wakihangaika kutujuza yanayojiri nchi nzima wewe umekaa kwenye kochi unalialia.
 
Uko sawa kabisa mkuu, ITV, imenikwaza sana kwa style yake kwakweli, no ethics atall
 
Kama hujui guidance ya habari. Ni kwamba Mbwa akimnga'ata Mtu sio habari, ila mtu akimng'ata mbwa ni habari. Sasa we huoni kama ni habari kutotangaza matokeo wakati tayari wameshamaliza kuhesabu na hakuna wanachokifanya? Wewe unataka waende kuvipiga picha vituo ambavyo matokeo yameshatangazwa alafu waseme "kituo hiki kimeshatangaza matokeo"??? Ha ha ha
 
kaombe kazi uwafundishe ethics za uandishi wa habari
ITV nambari moja.
we utakua gamba
 
Bado kidogo mtaanza kulalamika kuwa mmeibiwa kura!

CCM mwaka huu haichomoki!
 
Kwa jinsi ilivyo, naona TCRA watafuata maelekezoyako ili Tanzania tusijue kabisa kinacho endelea. Hizo ethics ni kuwanyima watu habari muwaoneshe cartoons?? Kama Tdcccm ndio wanafuata ethics basi tuuze tv zetu tununue fridge tuweke huko juice za ukwaju.
Baada ya kukufikiria kwa muda mrefu, nimekosa kundi la kukuweka ila ITV itaendelea kuwa Supper Brand EA nzima.
 
Back
Top Bottom