Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Na tbccm wanavaa sare za wapi?
Ukiitaja tbc nasikia kichefu chefu
Na tbccm wanavaa sare za wapi?
Kwakweli tbc ni janga heri itv wametugomboa hongera sana itv na mungu awajalie
Karibu vyombo vyote vya habari vinaisaport ccm. Lakini huyu mleta mada haoni hilo anakimbilia kuikosoa itv.
Karibu vyombo vyote vya habari vinaisaport ccm. Lakini huyu mleta mada haoni hilo anakimbilia kuikosoa itv.
ITV ni kituo cha UKAWA. Spencer LAMECK, huyu dogo, anatangaza issues kama mpira wa miguu. Sioni kama ana mwisho mzuri wa taaluma ya uandishi wa habari.
Pasco nadhani hukueleweka kabisa hasa namna heading yako ilivyokuja. Combat inanoga ikiwa ya kaki, so nadhani mstaafu wa news inabidi tukukumbushe kidogo!Ni mtumishi gani aliye vaa uniform za cdm?
Huyo dogo kwa sasa hata sipotezi muda wa kumtazama maanake unaona kabisa sijui njaa,kutokujielewa au ndo anadhani yuko Mkwakwani Stadium anatangaza mechi ya Ndanda na Sofa paka FC.Unapopewa kazi ya kupulizia perfume kinyesi kuna kunukia kinyesi,perfume au vyote sasa huyu kwa umri wake huu ushabiki aina hii siyo mzuri kwa career yake labda kama ITV ingejipambanua kuwa ni ya chama Fulani kama ilivyo kwa Startv.ITV ni kituo cha UKAWA. Spencer LAMECK, huyu dogo, anatangaza issues kama mpira wa miguu. Sioni kama ana mwisho mzuri wa taaluma ya uandishi wa habari.
PascoNi kweli, masikini mimi!, sasa nitafanyaje?. Nihurumieni!.
Pasco
Itv kaskazini star Tvz kanda ya ziwa nikugawana tu kuondoa ftitina
akale malimao hajalazimishwa kuiangaliaUna akili mgando sana kwa ajili ya kupumbazwa na ccm
akale malimao hajalazimishwa kuiangalia
Sioni tofauti yako Pasco na Mwanakijiji!
Wote nyie ni watu wakuangalia na kutafuta FURSA zenu wenyewe BINAFSI!
Huku kikinuka mnatafuta mazingira ya kuhamie kule....! Now unahisi CCM inashinda, unapitia dirishani kuomba poo!
Tanzani iliobora, lazima watu wenye mioyo kama yenu mpotee kwanza!
Kama azam wako vizuri si uangalie hiyo!!! Najua una akili timamu, zitumie basi