Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

nadhani unahaki ya kuifuta ITV katika king'amuzi chako kwani si pekee inayoonyesha matukio yote ya matokeo ya uchaguzi au ndo unaitemegea kwa kuwa hujalipia.Kipindi cha kampeni TBC na STAR TV tulifuta wengine hatutaki kujisumbua n presha eti wanafanya upendeleo
 
Mkuu Pasco njoo utupe uzoefu wako kwenye Tasnia ya Habari ingawa so far kwangu ITV ni the best no more no less
 
Last edited by a moderator:
Embu tutizame Tshert aliyovaa Mtangazaji huyu ambae alikuwa akireport kupitia ITV tangu asubui ya leo na jana? hii ni haki kweli hii si nguo ya chama fulani?
manake anatupa majibu kuwa moja kwa moja yeye ni chadema.
Mkuu wala usishangae,watu wanafiki kuna sehemu ujisahau kwa hiyo kwa watu weledi kama wewe ni rahisi kuwabamba - reporter kavaa T-Shirt ya chama cha upinzani anacho kipigia debe kwa kutangaza mambo -ve tu, masaa yote kuilahumu NEC Binafsi naona kituo hiki kinachochea labsha kimaksudi,sio bahati mbaya wana ajenda zao za siri ndio maana wanakazania kuilahumu NEC na kutangaza ghasia ili vijana wengine nchini wa replicate wanayo yaona/sikia kwenye media za IPP ili mwisho wa siku Taifa zima lilipuke kwa ghasia,watu wahumie/wafe mtumie mwanya huo kupiga still/video picha za kuwasilisha ICC kama ushahidi wa kufungulia mashtaka Serikali iliyopo madarakani maanake mnajua fika CHAGADEMA hakina uwezo wa kukishinda chama tawala ndio maana wanajaribu ku-resort kwenye cowboy tacticts kutekeleza lengo lao, hamjali kuhatarisha maisha ya wananchi wasio na hatia.

Nimalizie kwa kusema kwamba mbinu zenu tumekwisha zishtukia,binafsi nawa shauri mjirekebishe - the soonest the better.
 
Mengi mwenyewe alijitangaza kuwa yeye ni Team Lowassa na Ukawa supporter. Sasa hao vibaraka wake waandishi uchwara ulitarajia nini? Kichekesho ni pale wanapojiita Superbrand. Tusi baya sana. Huyu bosi wao mhavile eti kasoma. Au ni zile degree zetu za C.... P
 
Nasikitishwa sana na Mwenendo wa ITV.

ITV imekuwa ikireport Mambo ya Uchaguzi kwa kipindi chote cha Uchaguzi, Lakini cha Kuumiza nakushangaza kituo hiki kutokuzifuata Taratibu, Sheria na Kanuni za Vyombo vya Habari (Media Ethics) hii imekuwa Tatizo kubwa sana kwa TV na Radio hizi za IPP.

Ukitizama Report zinazoendelea kupitia IPP hakuna Balance Story hata Moja, Utaona Migogoro, Vurugu, Migomo, Matusi nk....
Habari hizo ndio zimekuwa habari kuliko habari zakuwashibisha watanzania ukweli na kuwajuza uhalisia!

Mfano tangu jana mpaka sasa nafatilia TV zote Nchini Sijaona ITV wamerusha Habari hata Moja ya Kata, Jimbo na Rais habari zote Nikule UKAWA waliposhinda na Sehemu za Migogoro. Aibu sana kwa The Super Brand.

HsXd8zM.jpg

Habari moja tu ya Report ya Tume aliyosoma Mwenyekiti wa Tume ndio ilizungumza CCM kushinda na Vyama vingine baada ya hapo Presenters wakarudi kujadili Migogoro na Shida zaidi.

Emu Tizameni Azam Tv muone Mfano wa Reporting.

Unapotoa Report uwe na Data na ufundishe watu sio uwaweke watu na kaswali yasiyo na Majibu.

Watu wa TCRA mko wapi kutizama nakushughulikia maswala haya ya Vyombo vya habari vikivyi na Mahaba na Vyama na kupotosha Watanzania?

Nchi itajengwa kwa Jamii yenye Maadili mema, na Maadili mema hutokana na kila akisikiacho na kukiona Mtanzania, kama leo hii vyombo vya habari kazi yao migogoro na kutokubalance habari jua hili ni tatizo!

ITV naomba Mjirekebishe!

Mzifuate Media Ethics ili Mfanye kazi ya Habari sio Mapenzi na Mahaba yenu.

kwa kazi ilofanywa na itv kuanzia jana had sasa wanastahili pongezi zao ....hizo ethics kwa sasa tuwape tbc
Pasco pita kwa huku pls

Mkuu Pasco njoo utupe uzoefu wako kwenye Tasnia ya Habari ingawa so far kwangu ITV ni the best no more no less
Majibu ya maswali hayo, yapo kwenye mada zangu hizi zifuatazo
[h=3]Kuelekea Octoba 2015: Je, Sasa ni Wakati wa Media Zetu Kufanya endorsement [/h][h=3]Kampeni UKAWA: Mnyonge Mnyongeni!, TBC, Inastahili Pongezi!.[/h][h=3]Live News Interactive!-TBC-1 Yastahili Pongezi!. [/h][h=3]Mnaonaje Mzee Mengi Akabidhiwe Kuiendesha TBC? [/h][h=3]Kufuatia Kazi Nzuri Iliyotuka Inayofanywa na ITV, [/h]
  1. Kuna media aina mbili!, public media na private media.
  2. Public Media hairuhusiwi kuegemea upande wowote wakati wa uchaguzi.
  3. Private Media inaruhusiwa kuchagua upande, yaani taking sides, kwa kufanya kitu kinachoitwa "media endorsement" au ya vyama, au ya wagombea, ila media hiyo inapaswa ku declare openly, mfano gazeti la Uhuru, Jambo Leo na baadhi ya magazeti yameside na CCM. Gazeti la Tanzania Daima lina side na Chadema. Kituo cha TV cha Star TV, na Redio ya RFA, vimeamua kuvurumisha matangazo ya CCM every 15 minutes!.
  4. Kwa vile ITV haija declare any media endorsement kwa mgombea yoyote au chama chochote, hivyo it is wrong kwa muajiriwa wa ITV kuvaa sare ya Chadema!.
  5. Pia nilizungumzia maripota waliokuwa wakiandamana na wagombea urais wa CCM na Chadema, walikuwa wakiripoti as if wameajiriwa na hao wagombea, hivyo reportage ni full sensationalism!.
  6. Waandishi wa habari japo sii wote walioajiriwa na vyombo vya habari vya umma, lakini nature ya waandishi wa habari inawafanya kuingia kwenye kundi la za fani za
"the noble professions" ambazo ni kazi za wito, au kazi za kanisa, kama udaktari na ualimu,
uanasheria, uaskari, etc!, hivyo wanapaswa kuwa ni watumishi wa watu, public servants,
hivyo hawapaswi kuonyesha mahaba yao kwa upande wowote!.
Pasco

Brother ucwe mtu wa aina hiyo ushindani wa hivyo ni wakitoto ITV sio TBC kumbuka ka unaushabiki wa vyama angalia azam yako
 
Nilidhani mtoa post ataeleza kuwa kinachoripotiwa na ITV ni uongo mtup u. Kama wanachoripoti ni uhalisia na ushahidi wanauonesha una haki ya kukaa kimya vinginevyo tutalazimika kuamini kuwa unatapatapa.

Kama imekukera sana angalia TBCCM na STAR TVCCM nadhani huko ndiko unaweza kupata faraja.
 
Nasikitishwa sana na Mwenendo wa ITV.

ITV imekuwa ikireport Mambo ya Uchaguzi kwa kipindi chote cha Uchaguzi, Lakini cha Kuumiza nakushangaza kituo hiki kutokuzifuata Taratibu, Sheria na Kanuni za Vyombo vya Habari (Media Ethics) hii imekuwa Tatizo kubwa sana kwa TV na Radio hizi za IPP.

Ukitizama Report zinazoendelea kupitia IPP hakuna Balance Story hata Moja, Utaona Migogoro, Vurugu, Migomo, Matusi nk....
Habari hizo ndio zimekuwa habari kuliko habari zakuwashibisha watanzania ukweli na kuwajuza uhalisia!

Mfano tangu jana mpaka sasa nafatilia TV zote Nchini Sijaona ITV wamerusha Habari hata Moja ya Kata, Jimbo na Rais habari zote Nikule UKAWA waliposhinda na Sehemu za Migogoro. Aibu sana kwa The Super Brand.

HsXd8zM.jpg

Habari moja tu ya Report ya Tume aliyosoma Mwenyekiti wa Tume ndio ilizungumza CCM kushinda na Vyama vingine baada ya hapo Presenters wakarudi kujadili Migogoro na Shida zaidi.

Emu Tizameni Azam Tv muone Mfano wa Reporting.

Unapotoa Report uwe na Data na ufundishe watu sio uwaweke watu na kaswali yasiyo na Majibu.

Watu wa TCRA mko wapi kutizama nakushughulikia maswala haya ya Vyombo vya habari vikivyi na Mahaba na Vyama na kupotosha Watanzania?

Nchi itajengwa kwa Jamii yenye Maadili mema, na Maadili mema hutokana na kila akisikiacho na kukiona Mtanzania, kama leo hii vyombo vya habari kazi yao migogoro na kutokubalance habari jua hili ni tatizo!

ITV naomba Mjirekebishe!

Mzifuate Media Ethics ili Mfanye kazi ya Habari sio Mapenzi na Mahaba yenu.

Tumia akili usitoe povu! Think legal!
 
U-CCM unakusumbua wewe mpaka sasa maelezo yako hayana ukweli hata kidogo.
 
mdau haya maandishi ungeyaandika kipindi cha kampeni maana TBC na STAR TV zote mpaka taarifa za habari hawakumuonyesha mamvi au sheria haiwahusu wao? tutende haki bana ZNZ matokeo yashajulikana but mpaka sasa hayajatangazwa unajua kwa nn? ndo hapo ITV wanapoingia kuchimbua kwa nn n they deserve to be SUPER BRAND

umenena
 
Mie nawapongeza sana ITV tumeweza kuona matangazo bila chenga wala issue ,so kila mtu na Mtizamo wake .

Keep it up ITV
 
Mbona sam maela anamtangaza mshindi wa ccm jimbo la kigamboni muda huu acheni uzushi ITV ndo chanel ys Taifa
 
Back
Top Bottom