habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
Lkn sasa hivi nasikia amekuwa jiwe kutoka binadamHahahahaa aisee, huyo yeye hapangiwi wala hajaribiwi lakini ni binadamu kama mimi na wewe
Lkn sasa hivi nasikia amekuwa jiwe kutoka binadamHahahahaa aisee, huyo yeye hapangiwi wala hajaribiwi lakini ni binadamu kama mimi na wewe
hii verse imefafanua hiyo zaburi 11:5 [emoji117]Nisamehe kwa kuingilia ila nahisi hujui nn maana ya jaribu kutoka kwa Mungu
Anza na zaburi 11:5
Jaribu kwa mtu ni kwa ajili ya kuimarisha imani yake.
Michezo ya kiroho imekuzidi??umeuliza kisilamu silamüu [emoji4] sisi tunao yafuasa na kuyaishi mafundisho ya Kristo tumejaa ndani yake hivyo [emoji117] View attachment 705880 ni wale makafir walio nje ya Kristo wasubiri hukumu ya jehannam [emoji117] View attachment 705879 finnar jehannam halidina fiha abadan hutoki humo tutubwi [emoji4] au kauli ya allah unaona maskhara eeh?? allah hana maskhara na mtoto wa mtu...yaani hata hamjui la dhara na la maskhara [emoji351] [emoji12]
umetoka lini chuo cha kutia adabu [emoji46] [emoji38] sikupi pole lakini [emoji4] funguka michezo ya kiroho ndio nini[emoji46] [emoji15]Michezo ya kiroho imekuzidi??
Laana ni madhara yampatayo MKENGEMFU,Tuekane sawa nini maana ya laana?
Anaefanya hivyo ndio huyu Mungu mwenye huruma na upendo?
umetoka lini chuo cha kutia adabu [emoji46] [emoji38] sikupi pole lakini [emoji4] funguka michezo ya kiroho ndio nini[emoji46] [emoji15]
haya mukulu [emoji120] ila wahenga wamesema masihala masihala mbuzi kazaa na mwanae [emoji4]Muulize huyo aliyekufundisha
kwenye c$p yako nimesoma juu tu hapo jibu hili hapa [emoji117]James 1:13-15: "Let no one say when he is tempted, 'I am being tempted by God"; for God cannot be tempted by evil, and He Himself does not tempt anyone. But each one is tempted when he is carried away and enticed by his own lust. Then when lust has conceived, it gives birth to sin; and when sin is accomplished, it brings forth death."
Compare with Genesis 22:1
Gen 22:1 And it came to pass after these things, that God did tempt Abraham, and said unto him, Abraham: and he said, Behold, [here] I [am].
I think you have seen it for yourselves, we clearly see God tempting Abraham in Genesis 22:1, yes James 1:13-15 claim that God tempts nobody! Well I must say I am confused, does God tempt or does God not tempt? To tempt or not to tempt that is the question! Moving on
That is all nice, but let us read the verses of Satan tempting Jesus. Let us read from Matthew 4 verse 8 to 10: 8 Again, the devil taketh him up into an exceeding high mountain, and sheweth him all the kingdoms of the world, and the glory of them; 9 And saith unto him, All these things will I give thee, if thou wilt fall down and worship me. 10 Then saith Jesus unto him, Get thee hence, Satan: for it is written, Thou shalt worship the Lord thy God, and him only shalt thou serve
Now very interesting points to read from those verses, for one, Satan tried to tempt Jesus to worship him! Satan tells Jesus he will give him everything, if Jesus bows down and worships him, Jesus of course denies him, and is not tempted and tells Satan it is written that thou shalt worship the lord thy God.
Main points to look over, which I find outrageous and a blasphemy:
1- Satan tries to tempt Jesus by giving him the kingdoms of the world, meaning giving him power and authority.
2- Satan tells Jesus to worship him if he wants to get the kingdoms of heaven.
Now with those 2 points we have, we must say, if Jesus indeed was God, how could Satan even try to command Jesus to worship him!
How could Satan even have tried to offer Jesus the kingdoms of the earth!
Everything belongs to God, the whole earth belongs to God, and so does every other planet. The whole universe belongs to God! How could Satan even try such an act if Jesus was God?
The reason why Satan tried to tempt Jesus to worship him is because Jesus is not God.
Because Satan would never ever make such a command, and secondly Satan would never make an offer of giving Jesus all the kingdoms of the world, because he would already know all things belong to God!
Those main 2 points prove without a shadow of a doubt that Jesus is not God, but it shows he is no more than a prophet, because Satan would try to tempt great prophets in that way, to try and promise them the world, if they worship him instead of God.
That is the ultimate success for Satan, to make a great prophet such as Jesus to leave God and to worship him.
Also the fact that Satan offers Jesus all the kingdoms is further proof that he is not God because a mere man, a prophet, would always be tempted greatly if he could have all the kingdoms of this planet.
What use would it be to offer God all the kingdoms of the earth when he owns them all anyway! It makes no sense.
ondoa pumba hii [emoji15] usicho kiona wewe ndio hakipo [emoji46] [emoji12]Mungu haoni. Kwa sababu hayupo.
kwenye c$p yako nimesoma juu tu hapo jibu hili hapa [emoji117] View attachment 715518 kwa nini kwenye genesis aongee vile na huku vile [emoji117] View attachment 715523 [emoji117] View attachment 715524 [emoji117] View attachment 715525 umeelewa [emoji46] [emoji4]
ondoa pumba hii [emoji15] usicho kiona wewe ndio hakipo [emoji46] [emoji12]
sasMwanzo, sura ya 3:9, imeandikwa hivi:
“Kisha wakasikia (Adamu na mkewe) sauti ya Bwana Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga: Adam na mkewe wakajificha kati ya miti ya bustani, Bwana Mungu asiwaone. Bwana Mungu akamwita Adam, akamwambia hupo wapi?
"Mwanzo 3:14 inaelezea kuwa nyoka amelaaniwa na Mungu, na atakula mafumbi daima. Je ni kweli nyoka chakula chake ni mavumbi, basi hata alicho kiumba hajui kinakula nini?
Je Mwenyezi Mungu husikitika na kuwa na majonzi kwa kitendo alichofanya?
Mwanzo 6 :6-7, imeandikwa hivi:
“Bwana akaghairi kwa kuwa amefanya mwanadamu duniani, akahuzunika moyo. Bwana akasema, Nitamfuatilia mbali mwanadamu niliyemwumba usoni pa nchi.”
Mwenyezi Mungu husema uwongo hali nyoka husema kweli?
Mwanzo 3:3-6
Lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema , msiyale wala msiyaguse, msije mkafa. Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa, kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na baya.”
sas
unanikoromea mimi mgen ndie niliye kuagiza uamini hivi vitabu vya kabla ya furqan [emoji46] [emoji12] [emoji117] View attachment 715757 mimi binafsi na allah Tumeelewa maudhui ya [emoji117] View attachment 715760 ila wewe unashinda kunusa nusa na kulalalamika upuuzi[emoji4] ukiambiwa huamini ilimu islam ilaha ni View attachment 715765 unabishia [emoji15] hizo ndio dalili za safari ya [emoji117] View attachment 715769 [emoji15] mimi ni Muumin na wa Masihi mpaka sakafu ya Moyo wangu [emoji117] View attachment 715782 [emoji123] [emoji106]
View attachment 715898 kama sio [emoji117] ref hii ayat [emoji117] View attachment 715899 kisha ummtii allah aliye kufundisha kwamba rejea yako ni [emoji117] quran, hadith, miratul rasulUkiimaliza injili yako ya konyagi , njoo kwenye hoja
Mwanzo, sura ya 3:9, imeandikwa hivi:
“Kisha wakasikia (Adamu na mkewe) sauti ya Bwana Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga: Adam na mkewe wakajificha kati ya miti ya bustani, Bwana Mungu asiwaone. Bwana Mungu akamwita Adam, akamwambia hupo wapi?
"Mwanzo 3:14 inaelezea kuwa nyoka amelaaniwa na Mungu, na atakula mafumbi daima. Je ni kweli nyoka chakula chake ni mavumbi, basi hata alicho kiumba hajui kinakula nini?
Je Mwenyezi Mungu husikitika na kuwa na majonzi kwa kitendo alichofanya?
Mwanzo 6 :6-7, imeandikwa hivi:
“Bwana akaghairi kwa kuwa amefanya mwanadamu duniani, akahuzunika moyo. Bwana akasema, Nitamfuatilia mbali mwanadamu niliyemwumba usoni pa nchi.”
Mwenyezi Mungu husema uwongo hali nyoka husema kweli?
Mwanzo 3:3-6
Lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema , msiyale wala msiyaguse, msije mkafa. Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa, kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na baya.”
View attachment 715898 kama sio [emoji117] ref hii ayat [emoji117] View attachment 715899 kisha ummtii allah aliye kufundisha kwamba rejea yako ni [emoji117] quran, hadith, miratul rasul
Ref, ndio rejea , hivi hiyo injili yako ya konyagi haijakutoka tu kichwani ??
Ukiimaliza injili yako ya konyagi , njoo kwenye hoja