Kinachoendelea Syria, Mungu haoni?

Kinachoendelea Syria, Mungu haoni?

Mungu ni Yule Yule jana leo hata mwisho wa dahari

acha kufuru chilubi Mungu akupe mtihani hakujui? ni sawa unajua mwanao mwizi halafu unamuwekea laki mezani ili aibe umfunge jela

Sasa mbona kamjaribu Ibrahimu? Kwenye bibilia hio imesema.... Sasa kama mungu ni yule yule, kwanini ulikuja kupinga sifa yake?

Naam, unaweza kumuekea mwanao laki umpime kama ataiiba, na akiiba je, atakubali kuwa ameiba, je ataomba msamaha?

Mungu wetu hakupi mitihani kwa lengo la kukutia motoni, anakupa mtihani ujifunze na uchukue maamuzi mwenyewe.

Ukiongea suala la kwamba kwani mungu hakujui ata akupe mtihani?

Mi naomba unijibu, Je Mungu wako unaemuamini anajua kila kitu mpaka kilichokuwa hakijatokea?
 
ndio umejibu nini nimekuuliza Mungu ili amjaribu mtu hamjui? View attachment 704963

Labda tumuulize kwa english


Let us first start of with the verses Shamoun posted. James 1:13-15 which states:



"Let no one say when he is tempted, 'I am being tempted by God"; for God cannot be tempted by evil, and He Himself does not tempt anyone. But each one is tempted when he is carried away and enticed by his own lust. Then when lust has conceived, it gives birth to sin; and when sin is accomplished, it brings forth death."


I find that verse interesting because the verse makes a claim that God cannot be tempted by evil, nor does he tempt anyone.



For God cannot be tempted by evil, and He Himself does not tempt anyone



One would be asking what is so interesting about that point, what is special about God claiming he does not tempt anyone. Well here is the interesting part, let us read Genesis 22 verse 1 which states:


Gen 22:1 And it came to pass after these things, that God did tempt Abraham, and said unto him, Abraham: and he said, Behold, [here] I [am].


Now let us look at both verses again, James 1 13:15, and Genesis 22:1 and put them together:


James 1:13-15: "Let no one say when he is tempted, 'I am being tempted by God"; for God cannot be tempted by evil, and He Himself does not tempt anyone. But each one is tempted when he is carried away and enticed by his own lust. Then when lust has conceived, it gives birth to sin; and when sin is accomplished, it brings forth death."


Compare with Genesis 22:1


Gen 22:1 And it came to pass after these things, that God did tempt Abraham, and said unto him, Abraham: and he said, Behold, [here] I [am].


I think you have seen it for yourselves, we clearly see God tempting Abraham in Genesis 22:1, yes James 1:13-15 claim that God tempts nobody! Well I must say I am confused, does God tempt or does God not tempt? To tempt or not to tempt that is the question!
 
wee unachekesha kwani abdul qathem alipo kufahamisha kwamba kila umma tumewajaalia kawaida yao ya ibada na sheria zao quran 22:67 kaongopa au wewe huja muelewa? Ibrahim uliye mnukuu ni kaumu gani?


Unazungumzia biblia au Quran ??? Hizo aya za Genesis na James ziko ndani ya Quran ???
 
Sasa mbona kamjaribu Ibrahimu?

Mungu mwenyewe anakujibu
my-project-287-001.jpg
wewe hufundishiki na aliye kufundisha ilimu ghaibu ni pofuu hivi hata nilipo kuwekea hii
the-law-i-verse-1209736227115261-8-thumbnail-3.jpg
hukung'amua eeh

Kwenye bibilia hio imesema.... Sasa kama mungu ni yule yule, kwanini ulikuja kupinga sifa yake?

Mungu hana sifa ya kutojua kwani wewe mc wa Mungu kwenye mfumo wake?

Naam, unaweza kumuekea mwanao laki umpime kama ataiiba, na akiiba je, atakubali kuwa ameiba, je ataomba msamaha?

kwa hiyo Mungu hajui kama utaomba msamaha au utakausha

Mungu wetu hakupi mitihani kwa lengo la kukutia motoni, anakupa mtihani ujifunze na uchukue maamuzi mwenyewe.

mungu wako yote ya kuwa utajifunza na utaamua hajui ilaha mpaka aku-test

Ukiongea suala la kwamba kwani mungu hakujui ata akupe mtihani?

Mi naomba unijibu, Je Mungu wako unaemuamini anajua kila kitu mpaka kilichokuwa hakijatokea?

Ndio hakuna Asicho kijua
1-John_3-20.jpg
 

Attachments

  • Quran_3-54.png
    Quran_3-54.png
    4 KB · Views: 42
Kwahyo kumbe Mungu na shetani ni marafiki wanakaa na kujadili mambo flan flan? Na mbona wanatuambia shetani kafungwa miaka 1000 na Yesu huo mda wa kupiga story na Mungu anaupata wapi?

Kwanini vile wanakutana na shetani Mungu asifanye miujiza yake kumchinjilia mbali ama Mungu anafurahia uwepo wake na anapenda vile wanadamu tunavyoteseka? Maana mamlaka na kila kitu kipo kwa Mungu

Anasema aliujua ulimwengu ata kabla ya kuumbwa kwahiyo yote ni makusudi yake maana uwezo wa kuzuia yeye ulikuepo...na sahivi yupo ku enjoy matunda yake
Kisha roho akamchukua Yesu mpaka kileleni ili akajaribiwe.
Hapa unadhan Nani alikuwa anamjaribu Yesu?
 
Nnachoamini, Mungu akitaka kukuinua maradufu anaweza akakupitisha katika njia ambazo kwa macho ya kibinadamu ni ngumu na za kutisha. Mipango yake hatuiwezi kwa mioyo yetu hii. Machoz na vilio vya watu wa Syria wa sasa inawezekana ni ukombozi, furaha na maisha mapya na yenye amani kwa wasyria wa kizazi kijacho
 
Mungu hayupo.

Kama yupo haingilii maisha ya kila siku ya watu. Kwamba baada ya kuumba kanuni za kuongoza Ulimwengu, alijitenga na kuacha Dunia ijiendeshe yenyewe.

Haya mambo mengine ni kupeana moyo tu.
Umepotea sana, tena rudi haraka utubu kabla haujaangamia. Kwani Mungu hakuweko wakati sodoma na gomala wanaangamia kwa moto? Kwani watoto hawakuweko siku ile? Au mmewaona watoto wa Syria tu!! Mungu hakuweko wakati dunia inaangamia kwa maji wakati wa Nuhu, watoto hawakuweko? Mungu hakuweko wakati Mfalme Herode ameamua wauliwe watoto wote wa kiume kuanzia miaka miwili kushuka chini? Hamkusikia kilio kile kikuu ambacho hakitakuja kutokea duniani tena, hawakuwa watoto wale? Msimuingize Mungu kwenye mambo yenu ya dunia hii, Mungu sio wa duniani ni wa mbinguni tu. Tamaa zenu za kuimiliki dunia na fahari zake ndio zinawatia upofu? Ni heri hao watoto wasiozidi miaka mitano na wafe, maana ufalme wa mbinguni ni wao. Watakuja kutawala na kristo ile miaka 1000 ambayo kutakuwa hakuna kifo, Ila watu wataoa na kuolewa. Jiteteni nyie mliojivika uoga wa kutokuongea ukweli ili muendelea kuifurahia dunia. Biblia inasema bado kitambo kidogo tu, kabla dunia haijatwaliwa. Msijiongopee baada ya kifo ni hukumu, hakuna kesi kule. Mungu kama itakupendeza na mapenzi yako yatimizwe, uwaondoe wote wanaosababisha mateso kwa watu wako. Amina.
 
Nani kasema washambuliaji wanafata maagizo ya Mungu ??.

Unajua maana ya ufunuo ??. Sasa ufunuo ni maono yamambo yatakayokua yanatokea either nimazur au mabaya.

Kasome kitabu cha Isaya ..utajua kwann syria ,iran,misri ,tunisia,libya, n.k kwann zimekua ivi zilivyo ?.

Mimi sio theologian ila naamin wakati mwingine mambo haya yanatokea sawa sawa na maandiko kwasababu Mungu anataka watu wamjue.. Ukiingia ndani sanaaaaaaaaaaa utagundua mambo haya yanatokea ili kuhakikisha UKRISTO unaingia ktk nchi za Kiarabu.

Ukifatilia sanaaaaaa utagundua Mzozo wa mashariki ya kati SIO kitu bali ni mzozo wa DINI TU.
Ninasadiki maneno yako. Kwa maana imeandikwa mwisho hautakuja mpaka wote waisikie Injiri!!
 
Kwahyo kumbe Mungu na shetani ni marafiki wanakaa na kujadili mambo flan flan? Na mbona wanatuambia shetani kafungwa miaka 1000 na Yesu huo mda wa kupiga story na Mungu anaupata wapi?

Kwanini vile wanakutana na shetani Mungu asifanye miujiza yake kumchinjilia mbali ama Mungu anafurahia uwepo wake na anapenda vile wanadamu tunavyoteseka? Maana mamlaka na kila kitu kipo kwa Mungu

Anasema aliujua ulimwengu ata kabla ya kuumbwa kwahiyo yote ni makusudi yake maana uwezo wa kuzuia yeye ulikuepo...na sahivi yupo ku enjoy matunda yake
Wewe unatafsiri biblia kwa kutumia akili zako, lazima utakengeuka. Usiifanye biblia kama kitabu cha Alfu lela ulala!! Shetani hajagungwa wala nini, yupo duniani anafanya mambo yake, ila hana uhuru kwakuwa Mungu yuko na watakatifu wake. Sasa ile siku ya parapanda ikilia, makabuli ya kafunuka wateule wakachukuliwa mawinguni, usiombe. Shetani ndipo atakapo pewa Uhuru sasa, ndipo mtakapoitafuta injiri hamtaiona, mtatafuta neno hamtaliona, mtamuita Yesu hatawaitika. Hapo ndipo itakuwa kilio na kusaga meno, kila mtu atajiokoa kwa damu yake yenyewe. Baada ya hicho kipindi kupita, ndipo shetani atafungwa miaka 1000 na watu wake huko kuzimu au jehanamu ya moto na kibiriti. Na Yesu atashuka duniani kutawala na watu wake miaka 1000, kutakuwa na kula na kunywa, kula na kuolewa na starehe izidiyo starehe zote, tena hakuna kufa na dhambi haitakuwepo. Jamani muda kitambo tu, ziacheni njia zenu mbaya, mgeukieni Mungu.
 
Kwanini Kakuleta Duniani na asikuingize peponi moja kwa moja? kuna haja gani ya kukuleta duniani Mungu Yesu?

umeuliza kisilamu silamüu sisi tunao yafuasa na kuyaishi mafundisho ya Kristo tumejaa ndani yake hivyo
4557322.jpg
ni wale makafir walio nje ya Kristo wasubiri hukumu ya jehannam
19-surah-maryam-mary-72-728.jpg
finnar jehannam halidina fiha abadan hutoki humo tutubwi au kauli ya allah unaona maskhara eeh?? allah hana maskhara na mtoto wa mtu...yaani hata hamjui la dhara na la maskhara
 
umeuliza kisilamu silamüu sisi tunao yafuasa na kuyaishi mafundisho ya Kristo tumejaa ndani yake hivyo View attachment 705880 ni wale makafir walio nje ya Kristo wasubiri hukumu ya jehannam View attachment 705879 finnar jehannam halidina fiha abadan hutoki humo tutubwi au kauli ya allah unaona maskhara eeh?? allah hana maskhara na mtoto wa mtu...yaani hata hamjui la dhara na la maskhara
Bado hujajibu suala nlilokuuliza lakini, naona unaleta aya ambazo haziendani na ulichoulizwa. Nimeandika kiswahili huelewi?

Nipe Sababu ya Yesu alokuleta duniani wakati alikuwa akuingize tu peponi. Kwani Yesu hakujui ulivo kama Mungu yesu alivokuwa hamjui Ibrahim alivyo mpaka akamjaribu?
 
Bado hujajibu suala nlilokuuliza lakini, naona unaleta aya ambazo haziendani na ulichoulizwa. Nimeandika kiswahili huelewi?

Nipe Sababu ya Yesu alokuleta duniani wakati alikuwa akuingize tu peponi. Kwani Yesu hakujui ulivo kama Mungu yesu alivokuwa hamjui Ibrahim alivyo mpaka akamjaribu?
unalilia pipi sasa kwani Yesu kanileta duniani anipe mitihani walahi chilubi hufundishiki wewe...
 
unalilia pipi sasa kwani Yesu kanileta duniani anipe mitihani walahi chilubi hufundishiki wewe...
Ohoooo... Mimi nimekuuliza, kwanini Yesu asikupeleke peponi tu moja kwa moja kakuleta duniani? kwanini amekuleta duniani wakati anakujua vyema ikiwa wewe mtu wa peponi si akupeleke tu
 
Mungu hayupo.

Kama yupo haingilii maisha ya kila siku ya watu. Kwamba baada ya kuumba kanuni za kuongoza Ulimwengu, alijitenga na kuacha Dunia ijiendeshe yenyewe.

Haya mambo mengine ni kupeana moyo tu.
Jiongeze ,Mungu kakupa amri kumi ndiyo katiba ya kuiongoza Dunia
 
Back
Top Bottom