hypothalamus
Senior Member
- Feb 19, 2018
- 126
- 153
- Thread starter
- #121
Kwa nini amjaribu mtu kama anajua fate yake?Unataka kwenda wapi? Mwenyenzi anajua kila kitu.
Nilipotoa mfano wa kuwa Mungu anawajaribu watu wa Syria, Ukaniletea aya kwenye Biblia inasema Mungu hajaribu mtu, na pia ukasema kwani Mungu hakujui ata akujaribu.
Nikajua najadiliana na mtu asiekuwa na elimu, kutoka kwenye bibilia hio hio nikakuletea aya ya kukuonesha kuwa Mungu alimjaribu Ibrahim, ukawa huna pakushika, kila tawi unaloshika linakatika. Ukadai eti nyakati zilikuwa tofauti na watu walikuwa wanafanya ibada tofauti, ili kusapoti argument yako ukaja na aya kwenye Quran.
Kitu simple kabisa nkakufahamisha kuwa Sifa ya Mungu sio Ibada, ni SIFA na wala sio SHeria.
Sasa mi huwa naishangaa imani yako, mpaka najiuliza, inabidi Mungu alikuwa hamjui Ibrahim mpaka akamjaribu? 😀 😀 😀
Mungu anajua kabisa baada ya miaka mitano nitakuwa mtu mwema
kwa nini anijaribu?
Unataka kusema Mungu alikuwa hajui fate ya Ibrahim kwamba atayashinda majaribu?
Kwa nini Mungu apime imani ya Ibrahim yeye hana uhakika?