Kinachoendelea Syria, Mungu haoni?

Kinachoendelea Syria, Mungu haoni?

a428500720666cfff6f3427904e72d4a.jpg
Ilimu ya Roho huna gavana na hivyo vikatuni ulivyo post ni uthibitisho
 
Hapo Ndio Mungu wako umempa akili ya kujua chakula cha nyoka ??

"Mwanzo 3:14 inaelezea kuwa nyoka amelaaniwa na Mungu, na atakula mafumbi daima.

Je ni kweli nyoka chakula chake ni mavumbi??

Basi hata alicho kiumba hajui kinakula nini?

maxresdefault.jpg
Amini kama ulivyo agizwa na mungu wako quran 4:136 mimi naamini nyoka anakula mavumbi.. vingine alavyo ni nyongeza, lakini mavumbi lazima ashushie...kama huamini kivyako dogo
 
Hapo Ndio Mungu wako umempa akili ya kujua chakula cha nyoka ??

"Mwanzo 3:14 inaelezea kuwa nyoka amelaaniwa na Mungu, na atakula mafumbi daima.

Je ni kweli nyoka chakula chake ni mavumbi??

Basi hata alicho kiumba hajui kinakula nini?

maxresdefault.jpg
wewe ndie hujui.. umesha wahi kumfuga nyoka
 
Mimi nilikuwa naomba tu.

Uwe Muslim au mkristo au usiye na dini upate kusoma kitabu cha Sina-ex Muslim ambaye Sasa anaishi uhamishoni Canada japo kazaliwa Iran.

Understanding Mohammed by sina.

Ningependa watu wakisome sana kitabu hicho kaelezea Mambo juu ya Muslims na katoa mapendekezo yake...utapata kuwahafamu vyema Muslims na Mambo lukuki kuhusu wao.

soma kuhusu huyu jamaa yako Sina

GONGA HAPO CHINI

The stupidity of Ali Sina.
 
Wewe ndiye ungetakiwa umusome,

Sasa unanambia ni gonge hapo chini wakati tayari nishatoa maelezo juu kwa watu wanaopenda wasome kitabu chake cha "Understanding Mohammed"

Nimemfahamu sina miaki mingi tu.

Yeye si umesema kaandika hicho kitabu ?? Mimi nilitaka umwelewe huyo Ali sina na hicho alichokiandika
 
Ilimu ya Roho huna gavana na hivyo vikatuni ulivyo post ni uthibitisho

Wewe mwenye elimu ya kiroho uliyoipata kwenye injili yako ya konyagi zawadi yako hii

religion-infidelity-cheats-cheater-unfaithful-wild_stories-kscn6218_low.jpg
 
Nadhani kwa mihemuko ya dini,hapa Nadhani fikra zako zinakwambia nipo upande wa pili.

Mimi sina upande (free thinker).

Ali(ex-Muslim)muirani yule ambaye anaishi canada alijaribu kueleza upande wapili wa mtume na jamii nzima ya Islamic na alitishiwa kuuwawa maranyingi tu,Kuna kipindi walitaka kuweka open debate na Muhindi Dr.zakir naona ilishindikana sina aliutikisa ulimwengu wa kiislamu.

Unamfahamu Mum'morocco Brother Rachid..? anakusalimia.
 
Upande wowote utaokuwepo , mimi naangalia hicho ulichokiandika

Kila mtu ataubeba mzigo wake

Does Dr.Zakir Naik Really Fool the audience?
 
Ningekushauri uwe unachanganya maoni yako na uchambuzi wako juu ya unachokisoma katika link hizo unazoweka kisha unayaandika hapa kwa manufaa na faida ya watu wanaosoma hapa.

Hivi Dr.zakir alisharuhusiwa na sarikali ya india baada ya kupigwa marufuku kwa mahubiri yake (kwamba anachochea chuki za kidini) au bado yupo kwa kifungo..?

Nipo na Ibn Warraq hapa ananisisitiza nikusalimie.

Pokea salamu za kheri kwa ibn warraq.
 
Ilimu ya Roho huna gavana na hivyo vikatuni ulivyo post ni uthibitisho

Wakristo haswa wa Roman Catholic church na Orthodox church hufanya maandamano na Ibada maalumu kila mwaka tarehe 15 Agosti [Assumption of the Virgin] (Latin assumere, “to take up”) soma ‘article of faith by Pope Pius XII in 1950’ Wakristo humsifu na kumuomba Mariamu huku wakiamini kwamba Mariamu baada ya kifo chake alipazwa mbinguni na kuungana na roho yake tarehe 15 Agosti, ibada hii ilihasisiwa mnamo karne ya 6 BC.

Pia huamini kwamba Mariamu ni mama wa Mungu tena ni Malkia wa Mbinguni bila Mariamu kutoa msaada maombi ya Mkristo hayawezi kupokelewa na Mungu? Je, fundisho hilo ni mpango wa Mungu au ni mapokeo ya wanadamu katika kumshirikisha Mungu na viumbe vyake?

Tangu wakati wa Yesu hajaondoka Duniani wanafunzi wa Yesu walikuwa wanamheshimu Mariamu kama Mama yao sababu Yesu alikuwa amewachagua kuwa rafiki zake soma YOHANA 15:14: "Ninyi mmekuwa rafiki zangu mkitenda niwaamruyo… Maneno hayo waliyashika na kuyaelewa vizuri waliendelea kumheshimu Mariamu Mama wa rafiki yao na walishirikiana naye katika Ibada mbalimbali za kumuomba Mungu wakitumia jina la Yesu kama walivyoelekezwa na rafiki yao, utaratibu huo uliendelea kwa zaidi ya miaka mia moja.

Mnamo mwaka 107 AD. Alikuwa ni Askofu Inyasyo wa Antiokia mtu huyo kanisa linamheshimu kwamba ni nabii mwenye uwezo mkubwa wa kufundisha, huyo ndiye aliyewahimiza Waefeso wazidishe heshima kwa Mariamu, fundisho hilo halikuwa na upinzani mkubwa, watu walilipokea kwa bidii hadi mwaka 165 AD. Ambapo Askofu Justin Martyr mzaliwa Flavia Neapolis 100-165 BC (sasa ni Nabulus, West Bank), mtu huyu alikuwa ni mwenye sifa katika juhudi kushawishi na kuhamasisha aliweza kuwavuta watu wengi zaidi kuongeza heshima kwa Mariamu. Askofu huyu ndiye aliyependekeza Uungu wa Yesu.

Kadri miaka ilivyoendelea ndivyo fundisho lilizidi kuhimizwa, Askofu Origen 185-254 AD. Pia ujulikana kama Origenes. (bone in Alexandria, Egypt. According to standard church histories, he was a student of Clement of Alexandria). Naye anasifiwa na Kanisa kwa juhudi zake katika kuhimiza upendo, huyu alichanganya ukristo na dini ya kigiriki na heshima kwa Mariamu na heshima nyingi zilizidi kumiminwa kwa Mariamu na kwa yesu na yeye ndiye aliyependekeza kwa yesu kuitwa Logos yaani neno.
Askofu mwingine aliye fuata mawazo haya ni Ambrose mzaliwa Trier (Germany) na kusoma Rome Italia 240-397 AD. Askofu huyu mnamo mwaka 370 alichaguliwa kuwa governor wa Aemilia na Liguria makao makuu yake yalikuwa mjini Milan. Na baadaye alichaguliwa kuwa bishop of Milan in 374. ijapokuwa wakristo walikuwa na imani naye lakini cha ajabu mpaka anachaguliwa kuwa Askofu hakuwa amebatizwa. Ambrose alikuwa amevutiwa sana na maandiko ya Origen na Mt Basil. Askofu huyu akishirikia na mkuu wanchi walifanya juhudi kubwa sana kupinga imani ya Mungu mmoja. Imani ambayo wakristo wa mashariki ya kati walikuwa nayo (Arianism). Vile vile waliwanyima hata kusali makanisani wale wote walio kuwa wanaamini Mungu mmoja. Huyu naye Aliongeza sifa nyingine kwamba Mariamu ni mama wa fadhila zote lazima mtu apitishie maombi kwa Mariamu ndipo atapata jibu toka kwa Mungu. Ikatungwa sala maalumu ya kumuomba Mariamu inayosema: "Tunakukimbilia Wewe Mlinzi Wetu Mama Mtakatifu wa Mungu".

Kuanzia hapa, na ukichanganya na mkutano mkuu ulofanyika Nicaea 325 AD, (Nicaea Council of 325 A.D) Kanisa likaanza kupingana na maelezo ya Yesu ya kuabudu M’Mungu mmoja. Kanisa likawafundisha Wakristo wamuombe Mungu kwa jina la Mariamu, upotezaji haukuishia hapo, viongozi walizidisha upendo wao zaidi kwa Mariamu ilipofika mwaka 350 AD. Kanisa likamtangaza rasmi Mariamu ni (Theotokos) yaani Mama wa Mungu jambo lililotokea baada ya Yesu kupandishwa cheo na Mababa wa Kanisa kwenye (Kredo ya Nicea) mwaka 325 AD. Mkutano unajulikana kama mtaguso wa Nicea.

Viongozi waliendelea na juhudi za kumtukuza Mariamu kwa bidii zaidi na ilipofika 381 A.D. Askofu Epfamia wa Jimbo la Cryprus aliwashangaza hata Maaskofu wenzake kwenye Mtaguso wa Konstantinopol alipotamka bila wasiwasi kwamba yeye anaamini kwamba Mariamu hakufa bali alipalizwa akiwa hai mbinguni na Kanisa linamheshimu sana kwa vile alivyokuwa mzungumzaji mwenye mvuto wa pekee kwa hiyo aliweza kuitetea hoja vizuri na kuungwa mkono na viongozi wenzake likawa fundisho kamili hadi sasa Wakristo wanaamini hivyo kwamba Mariamu alipalizwa hai. Msisitizo wa mapokeo yote niliyoyasema ulitolewa kwenye Mtaguso wa Efeso mwaka 431 A.D. (Theostokos) yaani Mama wa Mungu imani ilizidi kupanda, viongozi nao waliyavalia njuga na fundisho yao, hali hiyo ilipopata nguvu zaidi wakati mfalme Moris wa Konstantinopol 582-603 A.D. ambaye alikuwa mshauri wa Papa na Kanisa la Ugiriki alipochagua siku ya tarehe 15 Agosti kila mwaka iwe ndiyo siku ya kusherehekea kupalizwa Mariamu mbinguni ambayo inaadhimishwa hadi sasa na Wakristo. Mradi kila kiongozi alijitahidi kuonyesha upendo na heshima zake kwa Mariamu.

Askofu Germanus wa Antiokia 634-733 A.D. naye alichangia na kumuongezea cheo Mariamu kwamba mtu hawezi kuokoka bila kumwamini Mariamu, hadi sasa Wakristo wanaamini hivyo. Padri Yohana Damascene wa Damascus Syria (Father of the Church, and Doctor of the Church) mtu anayeheshimiwa sana kwa kutunga nyimbo nzuri sana za kumsifu Mariamu ambazo hutumiwa katika liturjia hadi sasa zinaongoza.

Naye Papa Sergio 687 - 701 A.D. aliamua kupanga vizuri kalenda ya sikukuu ya Kanisa kuhusu kupalizwa Mariamu mama wa Mungu, alifuata tarehe iliyokuwa imepangwa na Mfalme Moris 582-603 A.D. Alichofanya Papa ni kuweka katika taratibu nzuri zaidi hadi karne ya 11-13 Wakristo wengi sana Duniani walikuwa wamemkubali Mariamu kwamba ni Mama wa Mungu pia ni Malkia wa mbinguni. Maandamano ma mihadhara mikubwa ilikuwa inaongezeka kila mwaka, msisimko na kuhamasika kuliongezeka sana.

Tarehe 1/11/1950 Papa Pius wa XIII alitunga (Munificentissimus Deus (Most Bountiful God) Bulla Municentess yaani kupalizwa mbinguni tamko rasmi la Kanisa. Tarehe 8/2/1954 Papa Pius wa XIII alitangaza rasmi (Bulla inetabilis Deus) yaani Mariamu mkingiwa dhambi za asili. Pia hilo ni tamko la Kanisa hadi sasa Wakristo wanamsimamo huo na tarehe 21 Novemba 1964 Kanisa lilitangaza kwamba Mariamu ni Mama wa Mungu na Mama wa Kanisa pia hivyo ndivyo Kanisa linavyowapoteza watu wa Mungu badala ya kumwabudu Mungu mmoja, wao wameongeza mapokeo ambayo hata Yesu aliwaonya wanafunzi wake; soma Mark7:6-7:

Akawaambia Isaya alitabiri vema juu yenu enyi wanafiki kama ilivyoandikwa watu hawa huniheshimu kwa midomo yao ila mioyo yao iko mbali nami nao waniabudu bure wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu".
 
Ningekushauri uwe unachanganya maoni yako na uchambuzi wako juu ya unachokisoma katika link hizo unazoweka kisha unayaandika hapa kwa manufaa na faida ya watu wanaosoma hapa.

Hivi Dr.zakir alisharuhusiwa na sarikali ya india baada ya kupigwa marufuku kwa mahubiri yake (kwamba anachochea chuki) au bado yupo kwa kifungo..?

Nipo na Ibn Warraq hapa ananisisitiza nikusalimie.

Pokea salamu za kheri kwa ibn warraq.

Kumbe hata husomi hicho ninachokuandikia .

Hayo yakuwa amekuwa banned ni mambo ya kawaida kwa wanaosema ukweli . Mitume na watu wanaosema kweli na kupigania haki za wanyonge wanakuwa ni tishio kwa watawala.

Hata hapa kwetu wengine juzi tu wamepigwa risasi , wengine wako magerezani kwa kubambikiziwa makesi.
 
Wewe mwenye elimu ya kiroho uliyoipata kwenye injili yako ya konyagi zawadi yako hii

religion-infidelity-cheats-cheater-unfaithful-wild_stories-kscn6218_low.jpg
ilimu ya Roho huna gavana
17-surah-al-israa-the-night-journey-86-728.jpg
huyo anae kufahamisha sio mgen ilaha mungu wako ona unavyo post vitu ambavyo huna ujuzi navyo
 
Wakristo haswa wa Roman Catholic church na Orthodox church hufanya maandamano na Ibada maalumu kila mwaka tarehe 15 Agosti [Assumption of the Virgin] (Latin assumere, “to take up”) soma ‘article of faith by Pope Pius XII in 1950’ Wakristo humsifu na kumuomba Mariamu huku wakiamini kwamba Mariamu baada ya kifo chake alipazwa mbinguni na kuungana na roho yake tarehe 15 Agosti, ibada hii ilihasisiwa mnamo karne ya 6 BC.

Pia huamini kwamba Mariamu ni mama wa Mungu tena ni Malkia wa Mbinguni bila Mariamu kutoa msaada maombi ya Mkristo hayawezi kupokelewa na Mungu? Je, fundisho hilo ni mpango wa Mungu au ni mapokeo ya wanadamu katika kumshirikisha Mungu na viumbe vyake?

Tangu wakati wa Yesu hajaondoka Duniani wanafunzi wa Yesu walikuwa wanamheshimu Mariamu kama Mama yao sababu Yesu alikuwa amewachagua kuwa rafiki zake soma YOHANA 15:14: "Ninyi mmekuwa rafiki zangu mkitenda niwaamruyo… Maneno hayo waliyashika na kuyaelewa vizuri waliendelea kumheshimu Mariamu Mama wa rafiki yao na walishirikiana naye katika Ibada mbalimbali za kumuomba Mungu wakitumia jina la Yesu kama walivyoelekezwa na rafiki yao, utaratibu huo uliendelea kwa zaidi ya miaka mia moja.

Mnamo mwaka 107 AD. Alikuwa ni Askofu Inyasyo wa Antiokia mtu huyo kanisa linamheshimu kwamba ni nabii mwenye uwezo mkubwa wa kufundisha, huyo ndiye aliyewahimiza Waefeso wazidishe heshima kwa Mariamu, fundisho hilo halikuwa na upinzani mkubwa, watu walilipokea kwa bidii hadi mwaka 165 AD. Ambapo Askofu Justin Martyr mzaliwa Flavia Neapolis 100-165 BC (sasa ni Nabulus, West Bank), mtu huyu alikuwa ni mwenye sifa katika juhudi kushawishi na kuhamasisha aliweza kuwavuta watu wengi zaidi kuongeza heshima kwa Mariamu. Askofu huyu ndiye aliyependekeza Uungu wa Yesu.

Kadri miaka ilivyoendelea ndivyo fundisho lilizidi kuhimizwa, Askofu Origen 185-254 AD. Pia ujulikana kama Origenes. (bone in Alexandria, Egypt. According to standard church histories, he was a student of Clement of Alexandria). Naye anasifiwa na Kanisa kwa juhudi zake katika kuhimiza upendo, huyu alichanganya ukristo na dini ya kigiriki na heshima kwa Mariamu na heshima nyingi zilizidi kumiminwa kwa Mariamu na kwa yesu na yeye ndiye aliyependekeza kwa yesu kuitwa Logos yaani neno.
Askofu mwingine aliye fuata mawazo haya ni Ambrose mzaliwa Trier (Germany) na kusoma Rome Italia 240-397 AD. Askofu huyu mnamo mwaka 370 alichaguliwa kuwa governor wa Aemilia na Liguria makao makuu yake yalikuwa mjini Milan. Na baadaye alichaguliwa kuwa bishop of Milan in 374. ijapokuwa wakristo walikuwa na imani naye lakini cha ajabu mpaka anachaguliwa kuwa Askofu hakuwa amebatizwa. Ambrose alikuwa amevutiwa sana na maandiko ya Origen na Mt Basil. Askofu huyu akishirikia na mkuu wanchi walifanya juhudi kubwa sana kupinga imani ya Mungu mmoja. Imani ambayo wakristo wa mashariki ya kati walikuwa nayo (Arianism). Vile vile waliwanyima hata kusali makanisani wale wote walio kuwa wanaamini Mungu mmoja. Huyu naye Aliongeza sifa nyingine kwamba Mariamu ni mama wa fadhila zote lazima mtu apitishie maombi kwa Mariamu ndipo atapata jibu toka kwa Mungu. Ikatungwa sala maalumu ya kumuomba Mariamu inayosema: "Tunakukimbilia Wewe Mlinzi Wetu Mama Mtakatifu wa Mungu".

Kuanzia hapa, na ukichanganya na mkutano mkuu ulofanyika Nicaea 325 AD, (Nicaea Council of 325 A.D) Kanisa likaanza kupingana na maelezo ya Yesu ya kuabudu M’Mungu mmoja. Kanisa likawafundisha Wakristo wamuombe Mungu kwa jina la Mariamu, upotezaji haukuishia hapo, viongozi walizidisha upendo wao zaidi kwa Mariamu ilipofika mwaka 350 AD. Kanisa likamtangaza rasmi Mariamu ni (Theotokos) yaani Mama wa Mungu jambo lililotokea baada ya Yesu kupandishwa cheo na Mababa wa Kanisa kwenye (Kredo ya Nicea) mwaka 325 AD. Mkutano unajulikana kama mtaguso wa Nicea.

Viongozi waliendelea na juhudi za kumtukuza Mariamu kwa bidii zaidi na ilipofika 381 A.D. Askofu Epfamia wa Jimbo la Cryprus aliwashangaza hata Maaskofu wenzake kwenye Mtaguso wa Konstantinopol alipotamka bila wasiwasi kwamba yeye anaamini kwamba Mariamu hakufa bali alipalizwa akiwa hai mbinguni na Kanisa linamheshimu sana kwa vile alivyokuwa mzungumzaji mwenye mvuto wa pekee kwa hiyo aliweza kuitetea hoja vizuri na kuungwa mkono na viongozi wenzake likawa fundisho kamili hadi sasa Wakristo wanaamini hivyo kwamba Mariamu alipalizwa hai. Msisitizo wa mapokeo yote niliyoyasema ulitolewa kwenye Mtaguso wa Efeso mwaka 431 A.D. (Theostokos) yaani Mama wa Mungu imani ilizidi kupanda, viongozi nao waliyavalia njuga na fundisho yao, hali hiyo ilipopata nguvu zaidi wakati mfalme Moris wa Konstantinopol 582-603 A.D. ambaye alikuwa mshauri wa Papa na Kanisa la Ugiriki alipochagua siku ya tarehe 15 Agosti kila mwaka iwe ndiyo siku ya kusherehekea kupalizwa Mariamu mbinguni ambayo inaadhimishwa hadi sasa na Wakristo. Mradi kila kiongozi alijitahidi kuonyesha upendo na heshima zake kwa Mariamu.

Askofu Germanus wa Antiokia 634-733 A.D. naye alichangia na kumuongezea cheo Mariamu kwamba mtu hawezi kuokoka bila kumwamini Mariamu, hadi sasa Wakristo wanaamini hivyo. Padri Yohana Damascene wa Damascus Syria (Father of the Church, and Doctor of the Church) mtu anayeheshimiwa sana kwa kutunga nyimbo nzuri sana za kumsifu Mariamu ambazo hutumiwa katika liturjia hadi sasa zinaongoza.

Naye Papa Sergio 687 - 701 A.D. aliamua kupanga vizuri kalenda ya sikukuu ya Kanisa kuhusu kupalizwa Mariamu mama wa Mungu, alifuata tarehe iliyokuwa imepangwa na Mfalme Moris 582-603 A.D. Alichofanya Papa ni kuweka katika taratibu nzuri zaidi hadi karne ya 11-13 Wakristo wengi sana Duniani walikuwa wamemkubali Mariamu kwamba ni Mama wa Mungu pia ni Malkia wa mbinguni. Maandamano ma mihadhara mikubwa ilikuwa inaongezeka kila mwaka, msisimko na kuhamasika kuliongezeka sana.

Tarehe 1/11/1950 Papa Pius wa XIII alitunga (Munificentissimus Deus (Most Bountiful God) Bulla Municentess yaani kupalizwa mbinguni tamko rasmi la Kanisa. Tarehe 8/2/1954 Papa Pius wa XIII alitangaza rasmi (Bulla inetabilis Deus) yaani Mariamu mkingiwa dhambi za asili. Pia hilo ni tamko la Kanisa hadi sasa Wakristo wanamsimamo huo na tarehe 21 Novemba 1964 Kanisa lilitangaza kwamba Mariamu ni Mama wa Mungu na Mama wa Kanisa pia hivyo ndivyo Kanisa linavyowapoteza watu wa Mungu badala ya kumwabudu Mungu mmoja, wao wameongeza mapokeo ambayo hata Yesu aliwaonya wanafunzi wake; soma Mark7:6-7:

Akawaambia Isaya alitabiri vema juu yenu enyi wanafiki kama ilivyoandikwa watu hawa huniheshimu kwa midomo yao ila mioyo yao iko mbali nami nao waniabudu bure wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu".
mshauri huyo ulikookota hiyo kadi ya kliniki ajiunge na JF ili apate daawa, kwa maradhi yanayo msibu jee alipokuwa anaandika hiyo pumba agizo hili fundisho
Matthew16_19.jpg
la Yesu hakuliona na wewe uwe unasoma Biblia Takatifu na kutafakari kisha ndipo uka c$p sio kuwa mvivu na tegemezi wa fikra za wengine
 
Kumbe hata husomi hicho ninachokuandikia .

Hayo yakuwa amekuwa banned ni mambo ya kawaida kwa wanaosema ukweli . Mitume na watu wanaosema kweli na kupigania haki za wanyonge wanakuwa ni tishio kwa watawala.

Hata hapa kwetu wengine juzi tu wamepigwa risasi , wengine wako magerezani kwa kubambikiziwa makesi.
kuna kweli yake na Kweli ya kweli
 
mshauri huyo ulikookota hiyo kadi ya kliniki ajiunge na JF ili apate daawa, kwa maradhi yanayo msibu jee alipokuwa anaandika hiyo pumba agizo hili fundisho View attachment 719019 la Yesu hakuliona na wewe uwe unasoma Biblia Takatifu na kutafakari kisha ndipo uka c$p sio kuwa mvivu na tegemezi wa fikra za wengine

Making a Saint out of Peter

It seems curious, to say the least, that a Galilean fisherman, a married Jew and the designated ‘apostle of the circumcision’, should become the iconographic, patronising and protecting hero-figure at the heart of Roman Catholicism. With Jesus, Mary and the Father already in the pantheon, why did the church need another celestial hero?

The answer is: politics.

The politics of power.

In the first three centuries of the Christian era, Rome was not an especially important centre for the Faith.

The great sees of the early Christian world were Alexandria, Ephesus and Antioch – each a centre of early proselytising and of a large Christian community.

Each claimed some justifying link to an apostle.

Paul had lived in Antioch, for example and John, it was said, had seen out his days in Ephesus.

Mark was associated with Alexandria. Rome, in contrast, had no direct apostolic connection.

Jerusalem, the original Christian ‘centre of the world’ and anticipated venue for Christ’s descent from the clouds, had been destroyed in 70 AD.

To the pious mind, the pagan ‘new town’ of Aelia, built upon its ruins, had lowly status and was subordinate to the see at Caesarea.

Again, Caesarea could claim an apostolic connection: here, ‘Philip the evangelist’ had supposedly lived.

In these eastern cities, the early church produced its first leaders, the Fathers who made the earliest attempts at defining doctrine and establishing the uniqueness of their faith.

These were the ‘apologists’ who engaged in debate with Greek philosophers and competed with the priests of Mithra and other mystery religions.

It was their stylii that wrote the earliest Christian scripture.

For centuries, schools of philosophy, mystics, prophets and magicians had speculated on reality.

Now that were joined by speculators in Christ, many themselves trained in rhetoric and classical philosophy.
 
mshauri huyo ulikookota hiyo kadi ya kliniki ajiunge na JF ili apate daawa, kwa maradhi yanayo msibu jee alipokuwa anaandika hiyo pumba agizo hili fundisho View attachment 719019 la Yesu hakuliona na wewe uwe unasoma Biblia Takatifu na kutafakari kisha ndipo uka c$p sio kuwa mvivu na tegemezi wa fikra za wengine

The calling of Peter

Was it in Galilee and after John was imprisoned?

"Now after John was put in prison, Jesus came into Galilee ...

As he walked by the Sea of Galilee, he saw Simon and Andrew his brother casting a net into the sea: for they were fishers. And Jesus said unto them, Come ye after me, and I will make you to become fishers of men."

– Mark 1.14-17.

Or was it across the Jordan and before John was imprisoned?

"This all happened at Bethany on the other side of the Jordan, where John was baptizing ...

When the two disciples heard him say this, they followed Jesus ... The first thing Andrew did was to find his brother Simon and tell him, "We have found the Messiah" (that is, the Christ). And he brought him to Jesus.

Jesus looked at him and said, "You are Simon son of John. You will be called Cephas, which, when translated, is Peter. The next day Jesus decided to leave for Galilee."

– John 1.28-43.

"After this, Jesus and his disciples went out into the Judean countryside ... This was before John was put in prison."

– John 3.22-24.
 
Back
Top Bottom