Kinachoendelea Syria, Mungu haoni?

Kinachoendelea Syria, Mungu haoni?

Wewe unaandika maandiko mbona sioni uchafu zero brain
Kama kweli nina zero brain, hilo nalo linazidi kuthibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo asingeumba ulimwengu unaoweza kuwa na kiumbe wake ana zero brain.
 
Sina sababu ya kupitia najisi...
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote angekuwepo, ulimwengu aliouumba usingekuwa na najisi na wala mtu yeyote asingeona chochote najisi.

Wewe kuona kitu ni najisi ni ushahidi kwamba Mungu huyo hayupo.
 
Umepotea sana, tena rudi haraka utubu kabla haujaangamia. Kwani Mungu hakuweko wakati sodoma na gomala wanaangamia kwa moto? Kwani watoto hawakuweko siku ile? Au mmewaona watoto wa Syria tu!! Mungu hakuweko wakati dunia inaangamia kwa maji wakati wa Nuhu, watoto hawakuweko? Mungu hakuweko wakati Mfalme Herode ameamua wauliwe watoto wote wa kiume kuanzia miaka miwili kushuka chini? Hamkusikia kilio kile kikuu ambacho hakitakuja kutokea duniani tena, hawakuwa watoto wale? Msimuingize Mungu kwenye mambo yenu ya dunia hii, Mungu sio wa duniani ni wa mbinguni tu. Tamaa zenu za kuimiliki dunia na fahari zake ndio zinawatia upofu? Ni heri hao watoto wasiozidi miaka mitano na wafe, maana ufalme wa mbinguni ni wao. Watakuja kutawala na kristo ile miaka 1000 ambayo kutakuwa hakuna kifo, Ila watu wataoa na kuolewa. Jiteteni nyie mliojivika uoga wa kutokuongea ukweli ili muendelea kuifurahia dunia. Biblia inasema bado kitambo kidogo tu, kabla dunia haijatwaliwa. Msijiongopee baada ya kifo ni hukumu, hakuna kesi kule. Mungu kama itakupendeza na mapenzi yako yatimizwe, uwaondoe wote wanaosababisha mateso kwa watu wako. Amina.
Baada ya hio miaka elfu moja ni kitafuata???
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote angekuwepo, ulimwengu aliouumba usingekuwa na najisi na wala mtu yeyote asingeona chochote najisi.

Wewe kuona kitu ni najisi ni ushahidi kwamba Mungu huyo hayupo.
IMEMPENDEZA Mwenyewe anae jua Mema na mabaya ktk Uumbaji wake! wewe unahoji ni Mwenyewe??¿ mbona wewe unavaa kata k, sababu imekupendeza! Sina Haki ya kuhoji sababu Mimi sio wewe!¡
 
real bullshit how could Assad gas is own peoples mean times he has won the mostly ferociously war in' Eastern Ghouta?

The beating the war drums & blaming Assad, Russia Iran & Hezbollah's without any evidence. Did you all remember Iraq war? These are the same people that said Saddam Hussein had weapons of mass destructions. & then more than 250,000 people have died but there were no Weapons of mass destructions in Iraq. & the first Iraq War was also sold to the public based on the pack of lies in 1990
Both Bush(father and son) are dumb...criminals
 
Unakufuru bro
Kama kuna Mungu na kukufuru, kusema mtu anayetumia akili zake (ambazo kama Mungu yupo na kamuumba, amepewa na Mungu) kuweza kumjua kwa ukweli, bila woga wala kufuata mkumbo huyo Mungu, ni kukufuru, ndiyo kutakuwa kukufuru.

Ushanielewa?

Wewe unayesema mimi nakufuru ndiye utakuwa unakufuru.

Kwamba, tuseme Mungu yupo.

Tuseme yeye kaniumba mimi, na kanipa akili.

Halafu mimi na akili nilizopewa na huyo Mungu, sijaelewa uwepo wake.

Natumia akili alizonipa, nimuelewe mwenyewe, bila kufuata mkumbo wala woga.

Wewe ukisema mimi nakufuru, ndiye utakuwa unakufuru.

Kwa sababu, utakuwa unasema kwamba, kiumbe aliyeumbwa na Mungu hana akili za kuweza kuhoji uwepo wa Mungu bila woga wala kufuata mkumbo mpaka akaelewa Mungu yupo, na akitaka kufanya hivyo atakuwa anakufuru.

Utakuwa umemtukana huyo Mungu kwamba hawezi kuumba kiumbe kilicho na akili kubwa ya kuhoji vitu.

Utakuwa umemtukana huyo Mungu kwamba anaumba watu wanaofuata fuata mambo bila kuhoji kama mashine tu. Watu wasio na uthubutu kutakakuelewa vitu bila woga.

Wewe ndiye utakuwa unakufuru, si mimi.
 
Nimejiuliza hili swali asubuhi ya leo
Tunaambiwa na vitabu vya dini kwamba Mungu ni muweza wa yote,yeye hujua kitu kabla hata hakijatokea
Kauli hii inamaanisha kila kinachotokea huwa kina "approval" ya Mungu

Je Mungu ame "approve" machafuko ya Syria?
Kama haku "approve" kwa nini yametokea?
Mungu haoni kama kuna watoto wanateseka pale,mpaka aombwe?kwa nini anayaacha yaendelee?

Labda wanaosambaza kampeni ya Pray for syria mnaweza jibu maswali haya

efca20899c0db0889095f0a75be81344.jpg


d2e99bb857fb05f6b4162deede380592.jpg


View attachment 714688 View attachment 714687 View attachment 714686
Let them cry their own cry and u cry ur own cry. U have Alshaabab.

By the way as far as I understand katika ulimwengu wa rohoni vita maana yake ni laana.Ukiona mahali kuna vita basi ujue Mungu ameachia laana yake mahali hapo
 
Back
Top Bottom