kauga Jafar
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 230
- 123
Kipi kitabu chasema ukweliKwann Mungu haoni??.
Dameski =Damascus=Syria.
Sasa Ukijipa Muda wa kusoma Biblia mambo haya wala hayatakua yakushangaza nikwann yanatokea ...
Mungu mwenyewe amesema haya![]()
![]()
Kipi kitabu chasema ukweliKwann Mungu haoni??.
Dameski =Damascus=Syria.
Sasa Ukijipa Muda wa kusoma Biblia mambo haya wala hayatakua yakushangaza nikwann yanatokea ...
Mungu mwenyewe amesema haya![]()
![]()
Shetani awe kati, maan mambo yote ni tamaa ya mwanadamu ili shawishiwa na SHETANI halafu Mungu mumlazimishe aingie kwa lazima.Swali langu ni je Mungu amependa hayo yatokee?kama hakupenda kwa nini hakiyazuia kabla hayajatokea?
Hapo ndio bwana mkubwa mpinga kristo alipoweka mizizi yake.Na ni kwann waarabu tu kwann,
Hakika inahuzunisha sanaNimesoma huu uzi na comments zake hakika machozi yamenitoka. Niseme tu Mungu nakuomba uwasaidie hawa watoto wanaoteseka bila hatia. Wewe ni Mkuu sana, hakuna linaloshindikana kwako
unaelewa maana ya KitabKipi kitabu chasema ukweliView attachment 712171

suratul baqara 136Naomba kifungu au mstari wa hii hoja yako kwenye bible mkuu!! Nikasome zaidi...Kwann Mungu haoni??.
Dameski =Damascus=Syria.
Sasa Ukijipa Muda wa kusoma Biblia mambo haya wala hayatakua yakushangaza nikwann yanatokea ...
Mungu mwenyewe amesema haya![]()
![]()
hiyo ndo biblia buana haijaacha kituKwann Mungu haoni??.
Dameski =Damascus=Syria.
Sasa Ukijipa Muda wa kusoma Biblia mambo haya wala hayatakua yakushangaza nikwann yanatokea ...
Mungu mwenyewe amesema haya![]()
![]()
Huu msemo kwenye hii mada ni wakipuuziMungu nasema acha magugu na mimeo vikue pamoja ila siku ya mavuno......
Mkuukati ya maswali ambayo huwa sijiulizi mojawapo ni hili
njia za Mungu hazichunguzikiMkuu
kwanini huwa hujiulizi...?
Vipi wajinga wanaweza kuurithi ufalme wa Mungu...?njia za Mungu hazichunguziki
Kuna mambo yanatokea km laana,Swali langu ni je Mungu amependa hayo yatokee?kama hakupenda kwa nini hakiyazuia kabla hayajatokea?
Mimi nilikuwa naomba tu.Waislam wa Tanzania mnakua na matatizo sana...yani mwarabu akipata shida mnajifanya mna huruma sana yani roho inawauma sana....
Wakati dada zenu wakienda Arabuni kua mabeki 3 wanateswa na kutupwa magorofani ...hamuongei
Waaarabu hawawapendi nyie ngozi nyeusi acheni shobo.
Halafu kama ungemua roho inauma kweli kama binadamu nadhani ungeanzia Sudan Kusini hapo kwa Wabantu wenzio wanateseka zaidi ya Syria au kisa sio kizazi cha Mtume S.A.W?..
Tuekane sawa nini maana ya laana?Kuna mambo yanatokea km laana,
Kuna mambo yanatokea km mapigo kwa jambo Fulani,
Kuna mambo yanatokea km dhuruma na kuna mambo yanatokea sababu ya asili,
Wapo watu Leo hii wanavuna baraka za matendo ya babu zao,na wapo watu Leo hii wanavuna mapigo kwa matendo ya babu zao,
Ndo maana hata hii tekateka,mwaga mwaga damu za watu wasio hatia hapa Tze usishangae wakavuna mapigo wajukuu zetu kwa kosa la mtu mmoja dhalimu
na watuoneshe alipotajwa HitlerNa ile Hiroshima na Nagasaki zinapatikana kwenye kifungu kipi cha biblia?!