Physical realm,ni ya wanadamu,Mungu yupo spiritual realm,hawezi kutenda kitu kwenye physical bila sisi kutaka,au kuamua kumshirikisha,
Tukitaka mazuri yatokee hapa duniani,kwenye ulimwengu unaoonekana,physical realm,lazima tumshirikishe Mungu,bila hivyo hatatenda kitu,
"Without GOD we can not,Without us GOD will not"
Yanayotendeka Syria,Somalia,Yemen,Yana mchango wa binadamu,Tukitegemea miujiza kutoka juu,ije isitishe hayo majanga,tutasubiri sana,those miracles will not come,
Kama kikundi tu kama ISIS,kisicho na serikali kimeutetemesha ulimwengu kwa miaka kadhaa,je nchi za ki Arab zikiungana,zikaunda jeshi,zikakusanya rasilimali,wananchi wote Syria,Yemen,Somalia,wangeepuka majanga yote yanayowapata mpaka sasa hv