chakutu
Member
- Feb 23, 2018
- 75
- 64
Asante kwa nenoKwann Mungu haoni??.
Dameski =Damascus=Syria.
Sasa Ukijipa Muda wa kusoma Biblia mambo haya wala hayatakua yakushangaza nikwann yanatokea ...
Mungu mwenyewe amesema haya![]()
![]()
Asante kwa nenoKwann Mungu haoni??.
Dameski =Damascus=Syria.
Sasa Ukijipa Muda wa kusoma Biblia mambo haya wala hayatakua yakushangaza nikwann yanatokea ...
Mungu mwenyewe amesema haya![]()
![]()
Hebu nioneshe ulichonifundisha zaidi ya kunionesha kuwa humjui unaemuabudu 😀 Mungu alipompa mtihani Ibrahimu alikuwa hamjui kipindi icho?kwa nini usianze kunawa kisha unye![]()
![]()
![]()
nimesha kufundisha sanaa iliyo bakia ni kukujibu kisilamu silamu![]()
nikujibu mara ngapi kwamba Mwenyezi hakuna asicho kijuaHebu nioneshe ulichonifundisha zaidi ya kunionesha kuwa humjui unaemuabudu 😀 Mungu alipompa mtihani Ibrahimu alikuwa hamjui kipindi icho?
Huwezi kufananisha Najis na Binaadamu, hata mifano hujui kutoa masikini... Naona unaongea kikiristo, ukishaishiwa hoja unaanza kupuyanga.
Kwanini Yesu hajakupeleka peponi moja kwa moja na amekuleta duniani? Kwa mfano wako inabidi Mungu amekuleta hapa ufanye uchafu wako kisha ndio akupeleke peponi 😀 😀 😀 😀 😀
kabla sijaendelea jee unakubaliana na mimi?Hata ww wa shetani huishiwi piaahahahaha watu wa "mungu" huwa hamuishiwi majibu.
Unataka kwenda wapi? Mwenyenzi anajua kila kitu.nikujibu mara ngapi kwamba Mwenyezi hakuna asicho kijua![]()
kabla sijaendelea jee unakubaliana na mimi?
Unataka kwenda wapi? Mwenyenzi anajua kila kitu.
kama Mungu anakujua anakujaribu ili iwe nini?
unacho shindwa kuelewa ni nyakati![]()
ndipo nilikueleza hata huyo unaye muamini amekujuza
wee unaleta mambo ya Ibrahimu zama hizi za Yesu![]()
na nikakupa changamòto ueleze wana jamvi humu hiyo ayat imeshuka wapi, sababu ya kushuka, na mtume kaifundisha vipi!? angalia ayat hii
huoni kuna mlingano hapo?![]()
Nilipotoa mfano wa kuwa Mungu anawajaribu watu wa Syria, Ukaniletea aya kwenye Biblia inasema Mungu hajaribu mtu, na pia ukasema kwani Mungu hakujui ata akujaribu.
Nikajua najadiliana na mtu asiekuwa na elimu, kutoka kwenye bibilia hio hio nikakuletea aya ya kukuonesha kuwa Mungu alimjaribu Ibrahim, ukawa huna pakushika, kila tawi unaloshika linakatika. Ukadai eti nyakati zilikuwa tofauti na watu walikuwa wanafanya ibada tofauti, ili kusapoti argument yako ukaja na aya kwenye Quran.
Kitu simple kabisa nkakufahamisha kuwa Sifa ya Mungu sio Ibada, ni SIFA na wala sio SHeria.
Sasa mi huwa naishangaa imani yako, mpaka najiuliza, inabidi Mungu alikuwa hamjui Ibrahim mpaka akamjaribu? 😀 😀 😀
Mungu ni yule yule ambaye aliwawezesha wanadamu waishi miaka 900 leo umeng'ang'ania uishi miaka 900 wakti si zama zake
njoo madrasat nuur bahari jannat kwa shehe Kidevu upate ilimu ghaibu...ni-pm kwa maelekezo 
😀 😀 😀 Najiuliza, umejibu kitu gani katika nlichokuuliza? 😀 😀 😀wee hujui kwamba hujui![]()
Mungu ni yule yule ambaye aliwawezesha wanadamu waishi miaka 900 leo umeng'ang'ania uishi miaka 900 wakti si zama zake
njoo madrasat nuur bahari jannat kwa shehe Kidevu upate ilimu ghaibu...ni-pm kwa maelekezo
![]()
Acha magugu na Ngano viote pamojaMungu nasema acha magugu na mimeo vikue pamoja ila siku ya mavuno......
umeuliza kisilamu silamüusisi tunao yafuasa na kuyaishi mafundisho ya Kristo tumejaa ndani yake hivyo
View attachment 705880 ni wale makafir walio nje ya Kristo wasubiri hukumu ya jehannam
View attachment 705879 finnar jehannam halidina fiha abadan hutoki humo tutubwi
au kauli ya allah unaona maskhara eeh?? allah hana maskhara na mtoto wa mtu...yaani hata hamjui la dhara na la maskhara
![]()
![]()
Hakuna machafuko Damascus! Ni Raqqa na AllepoKwann Mungu haoni??.
Dameski =Damascus=Syria.
Sasa Ukijipa Muda wa kusoma Biblia mambo haya wala hayatakua yakushangaza nikwann yanatokea ...
Mungu mwenyewe amesema haya![]()
![]()
Na ile Hiroshima na Nagasaki zinapatikana kwenye kifungu kipi cha biblia?!Kwann Mungu haoni??.
Dameski =Damascus=Syria.
Sasa Ukijipa Muda wa kusoma Biblia mambo haya wala hayatakua yakushangaza nikwann yanatokea ...
Mungu mwenyewe amesema haya![]()
![]()
hizo story za Sodoma na Gomora ni hadithi za uongo. Mungu hayupoUmepotea sana, tena rudi haraka utubu kabla haujaangamia. Kwani Mungu hakuweko wakati sodoma na gomala wanaangamia kwa moto? Kwani watoto hawakuweko siku ile? Au mmewaona watoto wa Syria tu!! Mungu hakuweko wakati dunia inaangamia kwa maji wakati wa Nuhu, watoto hawakuweko? Mungu hakuweko wakati Mfalme Herode ameamua wauliwe watoto wote wa kiume kuanzia miaka miwili kushuka chini? Hamkusikia kilio kile kikuu ambacho hakitakuja kutokea duniani tena, hawakuwa watoto wale? Msimuingize Mungu kwenye mambo yenu ya dunia hii, Mungu sio wa duniani ni wa mbinguni tu. Tamaa zenu za kuimiliki dunia na fahari zake ndio zinawatia upofu? Ni heri hao watoto wasiozidi miaka mitano na wafe, maana ufalme wa mbinguni ni wao. Watakuja kutawala na kristo ile miaka 1000 ambayo kutakuwa hakuna kifo, Ila watu wataoa na kuolewa. Jiteteni nyie mliojivika uoga wa kutokuongea ukweli ili muendelea kuifurahia dunia. Biblia inasema bado kitambo kidogo tu, kabla dunia haijatwaliwa. Msijiongopee baada ya kifo ni hukumu, hakuna kesi kule. Mungu kama itakupendeza na mapenzi yako yatimizwe, uwaondoe wote wanaosababisha mateso kwa watu wako. Amina.
HahahahahahhUmepotea ww