Kinachoendelea Syria, Mungu haoni?

Kinachoendelea Syria, Mungu haoni?

Nimejiuliza hili swali asubuhi ya leo
Tunaambiwa na vitabu vya dini kwamba Mungu ni muweza wa yote,yeye hujua kitu kabla hata hakijatokea
Kauli hii inamaanisha kila kinachotokea huwa kina "approval" ya Mungu

Je Mungu ame "approve" machafuko ya Syria?
Kama haku "approve" kwa nini yametokea?
Mungu haoni kama kuna watoto wanateseka pale,mpaka aombwe?kwa nini anayaacha yaendelee?

Labda wanaosambaza kampeni ya Pray for syria mnaweza jibu maswali haya

efca20899c0db0889095f0a75be81344.jpg

d2e99bb857fb05f6b4162deede380592.jpg
Kwenye tears of the son jamaa anasema God save Africa yule mwingine anajibu God has already forgotten about Africa... Labda ndicho kinachotokea Syria
 
Nafkiri haihitaji akili nyingi kujuwa kwamba mungu yupo nayeye ni muweza wa kila kitu..
Jibu hoja mkui

Kama yupo na nimuweza kwann kaacha Syria nk viumbe vyake wasio na hatia wateseke,wasulubike nk

Huyu kiumbe Mungu yupo kweli??
 
Mungu kayaruhusu yatokee ndio.

Ujue hata Mungu alimruhusu Shetani amjaribu ayubu ?au nahiyo huijui? Umesahau ayubu wanawe saba wakafa ,punda ,ng'ombe wake wakafa, utajir wake ukaisha ,ayubu akapigwa na majibu namadonda na ukurutu na mapele ya kuwasha .

Mungu sindo alimruhusu???. Sasa km aliyaruhusu kwa Ayubu sembuse Ilo ?.

Ndio kaacha litokee hilo kwasababu kuna jambo analohitaji liwe .......

Umesahau Mtime Paulo kbla yakua mtume alikua ni muuaji wa watu akijiita SAULI ?? Lkn mbn baadae Mungu akamchagua kua mtume ??.

Basi niivi Mungu anayaruhusu mambo au watu wawe km vile wanavyoonekana ila kwa lengo jingine.
Daah

Alimwacha shetan amjaribu ayubu na huku pia anajua fika majibu take kwamna ayubu atajaribu at hatajaribika.?

Yaan kwa kifupi maagizo
 
Kwanza niseme shetan hajafungwa miaka 1000...shetani yupo bado amepewa mamlaka ya kuharibu.

Pili niseme shetan na Mungu nitofauti kabisaaa mmoja ni muharibifu mwingine mjenzi.

ILA kuna wakati Mungu anaacha shetani atende apendavyo ili kuzipima imani na hili kufanya watu waelewe kitu ..ndomaana kuna wakati anasema *watu wangu waangamia kwa kukosa maarifa*.

Nikweli Mungu anaujus ulimwengu mwanzo namwisho LKN hana makusudi,,,, Isipokua kuna mambo mawili unayopaswa kuyajua

Utawala wa Mungu ni wa Kifalme ndomaana hamna cha waziri mkuu wala makamo wala nani ,,Mungu akisema kasema ...naanakuacha ufanye vile upendavyo.

Utawala wa shetani ni wa kidemokrasia ,ndio maana wao unahimiza haki sawaa ,haki yakufanya unachojisikia n.k

Sasa basi inatokea kwa hapa duniani utawala wa shetani unakua nanguvu sana kwasababu Ulimwengu umemezwa namambo mepesi laini namazuri ambayo wanadam wanayapenda.
ila kuna wakat mungu anaacha shetan atende atakayo ili kupima iman zetu

Dah

Serious??

Mungu anajua kesho mm nitatenda dhambi sasa kuna haja gan ya yeye kunipima??

Mungu anajua future yangu toka pindi ananiumba SASA KUNA HAJA GANI YA KUTUMA KIUMBE KINIJARIBU??

KUNA JAMAA ALIHOJI HUMU

HIV KM MUNGU ANAUWEZO WA KUFANYA LOLOTE NA CHOCHOTE JE MUngu anauwezo wa kuumba kitu ambacho hawezi kukicontrol?? Eg shetan

Umeazungumza kuna powez mbili mbomoaji na mjenz..HV jamaa unaelewa ulichoandika
 
Kwa unavotaka weye sijaona sababu ya Mungu wako yesu kukuleta duniani badala ya kukuingiza peponi moja kwa moja 😀 😀 😀
ndio umejibu nini nimekuuliza Mungu ili amjaribu mtu hamjui?
120316James1-13-14Nologo.jpg
 
Kwann Mungu haoni??.

Dameski =Damascus=Syria.

Sasa Ukijipa Muda wa kusoma Biblia mambo haya wala hayatakua yakushangaza nikwann yanatokea ...

Mungu mwenyewe amesema haya
74286bc867b09a1a27fc48ac53147483.jpg
2072257ef06371637db2ac78fde1f76b.jpg
hizi ndo watu hujidanganya kuwa ni unabii,
wakati kiuhalisia sio.

Huyo mwandishi alikuwa akiongelea vita vya enzi hizo,wakati syria na israel zilipoungana kuipiga yudah ,baada ya kukataa kuungana nao kupigana na asyria empire.

Mfalme wa yuda aliomba usaidizi kwa asyria,ndipo jeshi la asyria likaupiga na kuungasha ufalme wa Aram,ambayo ndo syria ya leo,

wasyria wakaendelea na kuungusha utawala wa israel na kuwachukua utumwani,

kuanguka kwa israel ni matokeo ya mfalme wa yudah,kuwasnitch kwa super power ya enzi ile,Asyrian empire na haihusiani na mambo ya spritual wala unabii wowote
 
ndio umejibu nini nimekuuliza Mungu ili amjaribu mtu hamjui? View attachment 704963
Mkiambiwa munasoma uchwara una panic...

hebu pitia hapa halafu tizama huo uoza ulotuwekea.

Genesis 22:1
And it came to pass after these things, that God did tempt Abraham, and said unto him, Abraham: and he said, Behold, [here] I [am].
 
wee unachekesha kwani abdul qathem alipo kufahamisha kwamba kila umma tumewajaalia kawaida yao ya ibada na sheria zao quran 22:67 kaongopa au wewe huja muelewa? Ibrahim uliye mnukuu ni kaumu gani?
 
wee unachekesha kwani abdul qathem alipo kufahamisha kwamba kila umma tumewajaalia kawaida yao ya ibada na sheria zao quran 22:67 kaongopa au wewe huja muelewa? Ibrahim uliye mnukuu ni kaumu gani?
Utakuja kujicheka mwenyeo na uje uone aibu bure.

Maana unazungumzia Ibada na Sheria wakati kinachozungumziwa ni Sifa.

Ukisema MUNGU HADANGANYI, maana yake hakuna siku hata moja atakayokuja Kudanganya. haijaalishi umma upi.

Kwaio, SIFA sio SHERIA wala IBADA.... Unashindwa kutofautisha ivi vitu.... naongea maembe wewe unaongea shokishoki 😀 😀 😀

Unajipiga mateke mwenyewe, sasa nliposema kuwa Mungu anawapa mtihani watu wake ukaja na bonge la picha kuwa mungu hafanyi ivo vitu, sasa nlipokuletea aya kwenye kitabu chenu wenyewe ukageuka kuwa eti ulikuwa umma mwengine kwaio ibada na sheria ni tofauti (wakati hatuzungumzii ibada wala sheria), sasa hio verse uloileta wewe ni ya umma upi? utwambie ilikuwa lini tukio hilo mpaka hio aya ikasema kuwa mungu hajaribiwi wala hamjaribu mtu?
 
Mungu anajua zaidi ya yale tunayoyajua sisi ndio maana hakuna aijuae kesho yake isipokua Mungu tu, Na hakuna nafsi itakayodhulumiwa wote hao wanaoteseka watapata haki zao siku ya mwisho. Cha muhimu ni kuzidi kuwaombea
 
Utakuja kujicheka mwenyeo na uje uone aibu bure.

Maana unazungumzia Ibada na Sheria wakati kinachozungumziwa ni Sifa.

Ukisema MUNGU HADANGANYI, maana yake hakuna siku hata moja atakayokuja Kudanganya. haijaalishi umma upi.

Kwaio, SIFA sio SHERIA wala IBADA.... Unashindwa kutofautisha ivi vitu.... naongea maembe wewe unaongea shokishoki 😀 😀 😀

Unajipiga mateke mwenyewe, sasa nliposema kuwa Mungu anawapa mtihani watu wake ukaja na bonge la picha kuwa mungu hafanyi ivo vitu, sasa nlipokuletea aya kwenye kitabu chenu wenyewe ukageuka kuwa eti ulikuwa umma mwengine kwaio ibada na sheria ni tofauti (wakati hatuzungumzii ibada wala sheria), sasa hio verse uloileta wewe ni ya umma upi? utwambie ilikuwa lini tukio hilo mpaka hio aya ikasema kuwa mungu hajaribiwi wala hamjaribu mtu?
kwani sasa tupo umma upi
 
kwani sasa tupo umma upi
Nafikiri wewe ndio ungetujibu tupo Umma upi hivi sasa? Kwa sababu nnavojua mimi Mungu anatupa mitihani saiv, na unavotwambia wewe Mungu hampi mitihani mja wake kwa mujibu wa maandiko uloleta ambayo hayakuspecify muda.

Ukishajibu hilo na hili unijibu mana huna sifa ya kujibu masuali ukiulizwa maana unaona utadhalilika badala ya kufikiri kuwa utapata elimu, nataka nijue, Mungu huyu wa wakati wa Ibrahim ndio Mungu huyu huyu mnaemfuata wakiristo?
 
Nani kasema washambuliaji wanafata maagizo ya Mungu ??.

Unajua maana ya ufunuo ??. Sasa ufunuo ni maono yamambo yatakayokua yanatokea either nimazur au mabaya.

Kasome kitabu cha Isaya ..utajua kwann syria ,iran,misri ,tunisia,libya, n.k kwann zimekua ivi zilivyo ?.

Mimi sio theologian ila naamin wakati mwingine mambo haya yanatokea sawa sawa na maandiko kwasababu Mungu anataka watu wamjue.. Ukiingia ndani sanaaaaaaaaaaa utagundua mambo haya yanatokea ili kuhakikisha UKRISTO unaingia ktk nchi za Kiarabu.

Ukifatilia sanaaaaaa utagundua Mzozo wa mashariki ya kati SIO kitu bali ni mzozo wa DINI TU.

Kama Mungu wako anafanya mambo ya SIRYA yaende kama yanavyoenda basi Mungu wako ni mshamba sana na mpenda sifa. Haiwezekani watu wanakufa na yeye yupo tu pembeni and anazidi kuchochea kuni watu wafe ili yeye tujuw tu kama yupo!!!! MUNGU wako hajiamini kwa kweli, na sasa ameamua kuladhimisha watu kilazima kama yupo.
 
Nafikiri wewe ndio ungetujibu tupo Umma upi hivi sasa?

unafikiri nini wakti jibu hili hapa
the-law-i-verse-1209736227115261-8-thumbnail-3.jpg
aya hii imeshuka wapi sababu ya kushuka ipi na Abdul Qathem amefundishaje?!.

Kwa sababu nnavojua mimi Mungu anatupa mitihani saiv, na unavotwambia wewe Mungu hampi mitihani mja wake kwa mujibu wa maandiko uloleta ambayo hayakuspecify muda.

120316James1-13-14Nologo.jpg
niwekee Andiko kama hilo toka Agano kongwe..na sio umebakia andiko halikuspecify muda kwani hujui upo zama zipi?

Ukishajibu hilo na hili unijibu mana huna sifa ya kujibu masuali ukiulizwa maana unaona utadhalilika badala ya kufikiri kuwa utapata elimu, nataka nijue, Mungu huyu wa wakati wa Ibrahim ndio Mungu huyu huyu mnaemfuata wakiristo?

Mungu ni Yule Yule jana leo hata mwisho wa dahari

acha kufuru chilubi Mungu akupe mtihani hakujui? ni sawa unajua mwanao mwizi halafu unamuwekea laki mezani ili aibe umfunge jela
 
Nani kasema washambuliaji wanafata maagizo ya Mungu ??.

Unajua maana ya ufunuo ??. Sasa ufunuo ni maono yamambo yatakayokua yanatokea either nimazur au mabaya.

Kasome kitabu cha Isaya ..utajua kwann syria ,iran,misri ,tunisia,libya, n.k kwann zimekua ivi zilivyo ?.

Mimi sio theologian ila naamin wakati mwingine mambo haya yanatokea sawa sawa na maandiko kwasababu Mungu anataka watu wamjue.. Ukiingia ndani sanaaaaaaaaaaa utagundua mambo haya yanatokea ili kuhakikisha UKRISTO unaingia ktk nchi za Kiarabu.

Ukifatilia sanaaaaaa utagundua Mzozo wa mashariki ya kati SIO kitu bali ni mzozo wa DINI TU.
Upo sawa.
 
Back
Top Bottom