Kinachoendelea nchi hii ni Ubaya kwa Ubaya

Kinachoendelea nchi hii ni Ubaya kwa Ubaya

BAWACHA mnatekenyana na kucheka wenyewe tu,nchi inaenda vizuri sana.Hakuna wa kuleta fyoko fyoko,hizi kelele zinaishiaga humu JAMII FORUMS,mnampiga Vita JPM ila anakubalika kichizi, huyo LISSU wenu sio wa kuchekea hata kidogo nchi kama CHINA anapigwa risasi hadharani,na ile mizigo mliyoibeba (LOWASSA na SUMAYE),Haiwezi wasogeza hata hatua 2,hapo ndo mlipochemka hata waliowaamini wameshaona udhaifu wenu.Eti Raisi mkabila,ukabila wa Mbowe hamuuoni?, wabunge viti maalum CDM wamejaa kaskazini tupu,mpaka mikoa ya Moro na Mbeya wamepachikwa Wachaga kibao akina Lyimo.Eti ubaya ubaya,nyie ni mafala,mtafanya ubaya gani kwa serikali?,au alivyoropoka LISSU wiki hii mmeona Mme gain kisiasa?,. Yule dawa yake inachemka tu,AFRICA hatuwezi kusogea kwa kubembelezana,ni ubabe tu.CHINA isingekuwa ilipo bila ubabe,hamjulika mnachopigania ni mini?,halafu serikali iwachekee tu.March 2016 JPM alisema nimeamua NCHI ISONGE NA ITASONGA.Mkileta FYOKO FYOKO no KIPIGO tu.Na 2020 ni ushindi wa kishindo.Tume yetu,Polisi yetu,Jeshi letu na wananchi wanyonge tuko pamoja kutetea maslahi ya taifa.Nyie watetezi wa Manji, Rugemalila, Kitilya and CO LTD,mtaambulia 5℅ ya kura,mkibahatika.
 
Siasa za upinzan zingekua na MASHIKO na zenye maslai kwa watanzania leo hii hoja yako ingekuwa na nguvu sana.tungepata magadi na kila aina ya matukio ya kutisha.Serikal ya jpm imechukiwa toka anatangazwa kuwa mshindi 2015 na toka hapo hijawahi tokea upinzan kumuunga mkono jpm.nakumbuka siku ya kwanza tu alienda BOT kejeli na maneno machafu walitoa wapinzan.kila alilokuwa akilifanya lilionekana baya sana.Mbegu ya ubaguzi na chuki ilipandwa na upinzan wenyewe. Jpm sio malaika maana yake anamapungufu yake lkn haiondoi ukwel kwamba mbegu ya chuki imeanza kupandwa na upinzan wenyewe.

Upinzan haukuwa tayar kukubal kuwa uchaguz umeisha,wao waliendeleza kila aina ya mbinu kuhakikisha jpm hafanikiwi ktk mambo yake. Watu kama hawa kwanini usiwaweke kundi moja na wachawi wa mabadiliko?kabla hujanyoosha kidole kwa jpm kuhusu ubaguz na chuki ebu jichunguzen je mbahubiri upendo na mshikamano?Ni upinzan huuhuu umejipa legitimate ya kila wanachoongea wao ni sahihi na ndo maoni ya watanzania wote na atakaye pinga basi HAJITAMBUI mara ANAJIPENDEKEZA na kejeli kibao.Ni upinzan huuhuu kila kauli yyt ya jpm hata iwe simple kivip lazima ibadilishwe ktk mfumo ambao mwananchi aichukie serikal. Mfano tu kauli ya kuishi ka mashetani pale alipokuwa akiongelea wale wanaopokea mishahara hadi mil 40 huku kuna watu wanapokea lak 3.kauli imebadilishwa na kuwa kila mtanzania ataishi kama shetan na kila jambo likitokea watanzania wanaambiwa alisema mtaishi kama mashetani. Kwa maoni yangu wanaoongoza kwa kutangaza na kueneza chuki ktk jamii ni wapinzan wenyewe.

NI WAKATI SASA UPINZANI UJITAFAKARI NINI WAJIBU WAO KATIKA KUHUBIRI AMANI NA UPENDO kati ya jamii na jamii na jamii na serikal. Huwez simama ukaanza kuongelea ukabila au ukanda na bado ukasem ww ni mtetezi wa wanyonge. Ni mengi mno upinzan unafeli ila kwakua WAMEJIWEKA KUNDI LA MALAIKA NDO MAANA KWA AKILI YA KAWAIDA HUWEZI ONA JINSI GANI UPINZAN NI KIONGOZI WA KUHUBIRI CHUKI KATIKA JAMII

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
Kidogo kidogo utakuja kwenye mstari. Ulichokosea nikuwanyooshea vidole wapinzani wakatiunafahamu fika ni nani muabzilishi wa haya yote. Imefikiahatua hata baadhi ya watu kukatazwa kuhudhuria kwenye misiba au kuwatembelea watu mahabusu kisa tu ni waupinzani.
Hili shamba la UBAGUZI limeshakomaa linasubiri kuvunwa. Mwenye shamba sote twamjua lazima alivune peke yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanautumia ujinga wetu watanzania kama mtaji wao

Amini usiamini

Haya yoote yanayoendelea ni matokeo ya ujinga wa watanzania
 
Kidogo kidogo utakuja kwenye mstari. Ulichokosea nikuwanyooshea vidole wapinzani wakatiunafahamu fika ni nani muabzilishi wa haya yote. Imefikiahatua hata baadhi ya watu kukatazwa kuhudhuria kwenye misiba au kuwatembelea watu mahabusu kisa tu ni waupinzani.
Hili shamba la UBAGUZI limeshakomaa linasubiri kuvunwa. Mwenye shamba sote twamjua lazima alivune peke yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri kichwa chako ni kidogo katika kuweka kumbukumbu sawa.before hujaongelea kauli ya kuwazuia watu kwenda kumwona lema mahabusu ungepitia kauli ya mlinga baada ya kudai anaetropia kuvunja agizo la chadema kutowasogelea ccm.lkn ebu nkufundishe kidogo kuhusu mwanaccm kwenda kumuona lema ka lilikuwa jambo sahihi au ni unafki na uzandiki mkubwa kwa wanaccm dhidi ya mwenyekiti wao.

Lema aliwekwa mahabusu kwa kosa la kumkashifu mwenyekiti wa ccm ambaye ndie Rais wa Tanzania. Kesho wanachama wa ccm wanaenda kumuona lema mahabusu,ni sahihi?mwanaccm anaenda kumwambia nn lema huko mahabusu?kwamba pole sana jamaa ni dikteta na anachuki na nyie wapinzan au anaenda kumwambia bwana lema umeletwa huku kwa haki kabisa?lzm ujue swala la lema ni la kisiasa na sio kijamii,ingekuwa ni jambo lisilohusiana na siasa kwel ni halali kwa mwanaccm kwenda kumwona lema.Hata ingekuwa ni huko chadema mmemkamata mtu anamchafua mwenyekiti kwenye mitandao na mkapeleka mahakaman,kesho unakutana na madiwan au baadhi ya wabunge wamebeba uji wanampelekea jamaa huko mahabusu cjui mnapata picha gani.Hivi unaelewa KWELI?

Kingine hakuna mwanaccm au mwanachadema walipokataza kushirikiana ktk mambo ya kijamii mfano misiba. Hii kama kawaida yenu wazee wa kuhubiri chuki mnaeineza hii propaganda. Tumeona jpm akimtembelea sumaye hospital,tumeona chadema wakienda msiban kwa mwakyembe,tumeona lukuvi akienda Moshi kwa ndesamburo na serikal kupitia Rais mwenyewe kutuma salam za rambirambi.CHUKI MNAIENEZA WENYEWE KWA MASLAI YENU KISIASA.Kazi mliyobakiwa nayo ni kuhubiri kubaguliwa tu lkn KIUKWEL UBAGUZI MNAULETA WENYEWE

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
Tena ni ubaguzi wa kutisha.....

Nchi hii watawala wetu wameigeuza na kuifanya kuwa wenye haki ya kufanya shughuli za kisiasa hapa nchini ni CCM peke yao.

Kwa tafsiri nyingine ni kuwa ingawa kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu inasema kuwa nchi yetu ni ya mfumo wa vyama vingi, lakini kwa matendo yanayofanywa na watawala wetu wa awamu ya 5 ni kama tusharejea kwenye mfumo wa chama kimoja!

Wapinzani makini, hususani vyama vya Chadema na CUF wanakuwa treated kama "wahamiaji haramu" na ndiyo maana almost wabunge wote wa Chadema wana kesi mahakamani kwa makosa yaliyobatizwa jina na watawala wetu kuwa ni makosa ya uchochezi!
Upo sahihi mkuu
 
100 % TRUE, Kosa ni definition ya dhambi na malipo ya dhambi ni matatizo, ubaya kwa ubaya, malipo duniani
 
Nafikiri kichwa chako ni kidogo katika kuweka kumbukumbu sawa.before hujaongelea kauli ya kuwazuia watu kwenda kumwona lema mahabusu ungepitia kauli ya mlinga baada ya kudai anaetropia kuvunja agizo la chadema kutowasogelea ccm.lkn ebu nkufundishe kidogo kuhusu mwanaccm kwenda kumuona lema ka lilikuwa jambo sahihi au ni unafki na uzandiki mkubwa kwa wanaccm dhidi ya mwenyekiti wao.

Lema aliwekwa mahabusu kwa kosa la kumkashifu mwenyekiti wa ccm ambaye ndie Rais wa Tanzania. Kesho wanachama wa ccm wanaenda kumuona lema mahabusu,ni sahihi?mwanaccm anaenda kumwambia nn lema huko mahabusu?kwamba pole sana jamaa ni dikteta na anachuki na nyie wapinzan au anaenda kumwambia bwana lema umeletwa huku kwa haki kabisa?lzm ujue swala la lema ni la kisiasa na sio kijamii,ingekuwa ni jambo lisilohusiana na siasa kwel ni halali kwa mwanaccm kwenda kumwona lema.Hata ingekuwa ni huko chadema mmemkamata mtu anamchafua mwenyekiti kwenye mitandao na mkapeleka mahakaman,kesho unakutana na madiwan au baadhi ya wabunge wamebeba uji wanampelekea jamaa huko mahabusu cjui mnapata picha gani.Hivi unaelewa KWELI?

Kingine hakuna mwanaccm au mwanachadema walipokataza kushirikiana ktk mambo ya kijamii mfano misiba. Hii kama kawaida yenu wazee wa kuhubiri chuki mnaeineza hii propaganda. Tumeona jpm akimtembelea sumaye hospital,tumeona chadema wakienda msiban kwa mwakyembe,tumeona lukuvi akienda Moshi kwa ndesamburo na serikal kupitia Rais mwenyewe kutuma salam za rambirambi.CHUKI MNAIENEZA WENYEWE KWA MASLAI YENU KISIASA.Kazi mliyobakiwa nayo ni kuhubiri kubaguliwa tu lkn KIUKWEL UBAGUZI MNAULETA WENYEWE

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
Acha kutetea wasioweza kujitetea wenyewe kwa yale wanayowatendea watu fulani. Mifano ni mingi mno ila nitakupa moja tu kufupisha bandiko lako. Swala la vyeti fake ni la kada fulani tu au ni la kisheria? Wale waliotendwa ktk hilo na wengine kutetewa sio UBAGUZI? Wale waliofanyiwa hivyo na wengine kuachwa wataendelea kuipenda serikali yao?
Penye ukweli tuwe wakweli na penye unafiki na ubaguzi wa wazi lazima tukemee.

Nafikiri nirahisishe tu kwanini makonda aliachwa. Labda nianzie toka 2016 wakati zoez linaanza. Zoez hili sote tunajua lilihusisha watu gan na kusimamiwa na watu gan.Hakuna DC TXT wala kiongoz yyt wa kisiasa aliyekaguliwa hata mawaziri. Hakuna aliyewahi HOJI kwanini hawa watu hawakaguliwi. Zoez lilionekana kuwa sahihi tu lkn kiukwel hakikua sahihi na la haki toka mwanzo. Zoez limeonekana la kibaguz baada ya ishu ya makonda kutibuana na wemzie. Lkn ukizungumzia haki sio kuachwa kwa makonda tu ilitakiwa zoez lipite kwa viongoz wote hadi mawaziri wote yaani kila kiongoz wa serikal. Wanaohubiri ubaguz ktk hili jambo hawahubiri kuwa zoez lirudiwe na lipite kwa viongoz wote. Wao haki ni makonda naye atumbuliwe,je ni kweli viongoz wa serikal ni makonda tu ndo anacheti feki?je angetumbuliwa makonda haki ndo ingekuwa imepatikana?Hivi unahabar hata nape nnauye jina lake ni naumu sio nape?unahabar viongoz kama akina mwigulu,kubenea nk kuna utata katika elimu yao?Ili kuondoa dhana ya ubaguz kwanini hamuitishi uhakiki kwa kada zote zaid mnamlilia vyeti vya makonda tu?

Uhakiki umefanywa toka mwaka jana na mwaka huu ilikua imebakiza procedure chache tu mnataka makonda naye atumbuliwe,vyeti vyake vilihakikiwa lini?kama hoja ni haki kwanini sio wanasiasa na baadhi ya upinzan hawatak hoja ya uhakiki kwa viongoz wote?wao wanaamn haki ni angetumbuliwa makonda tu ambaye yuko kwenye kundi lao ambalo halikuhakikiwa.Jpm kafanyia kazi report iliyofanyiwa Kaz toka mwaka jana,ingekuwa maajabu ktk hiyo report kukuta jina la mtu ambaye hakuhakikiwa na ingekuwa ni kuendeshwa na mihemko.HOJA YENU IWE NA MASHIKO na msionekane mna conflict of interest na makonda kupitia wabunge hoja ya uhakiki ianze upya na ihusu viongoz wote.yaani wabunge,DC,rc na viongoz wote ngaz za juu.HAKI SIO KUMTUMBUA MAKONDA TU,HAKI SIO KUWATUMBUA WAALIMU TU,HAKI NI ZOEZI LIHUSISHE KILA KIONGOZI ANAYEPOKEA MSHAHARA KUTOKANA NA JASHO LA MTANZANIA.

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
Kule Tarime polisi wameshindwa kutoa kifungu cha sheria alichovunja Bulaya
 
Mheshimiwa Magufuli anatakiwa alete umoja katika jamii, asibague watu kwa itikadi zao, kitu anatakiwa atende haki na asikilize wapinzani wanasema nini, maombi ya upinzani sio ya kudharau, haya mambo ya kuwafunga mara kuwazuia wasifanye mambo ya mikutano yanaleta chuki katika jamii, suala Zima la umoja na ushirikiano katika jamii Kwa kweli Mh Rais hafanyi vizuri.
mikutano ya nini na kampeni zimeshakwisha,wasubiri 2020,msitake kuwapotezea watu muda,muda ni mali acheni watu wachape kazi.
 
mikutano ya nini na kampeni zimeshakwisha,wasubiri 2020,msitake kuwapotezea watu muda,muda ni mali acheni watu wachape kazi.
Ibakie ile mikutano ya kina Kasheku and co. maana yenyewe muda si mali
 
Nafikiri nirahisishe tu kwanini makonda aliachwa. Labda nianzie toka 2016 wakati zoez linaanza. Zoez hili sote tunajua lilihusisha watu gan na kusimamiwa na watu gan.Hakuna DC TXT wala kiongoz yyt wa kisiasa aliyekaguliwa hata mawaziri. Hakuna aliyewahi HOJI kwanini hawa watu hawakaguliwi. Zoez lilionekana kuwa sahihi tu lkn kiukwel hakikua sahihi na la haki toka mwanzo. Zoez limeonekana la kibaguz baada ya ishu ya makonda kutibuana na wemzie. Lkn ukizungumzia haki sio kuachwa kwa makonda tu ilitakiwa zoez lipite kwa viongoz wote hadi mawaziri wote yaani kila kiongoz wa serikal. Wanaohubiri ubaguz ktk hili jambo hawahubiri kuwa zoez lirudiwe na lipite kwa viongoz wote. Wao haki ni makonda naye atumbuliwe,je ni kweli viongoz wa serikal ni makonda tu ndo anacheti feki?je angetumbuliwa makonda haki ndo ingekuwa imepatikana?Hivi unahabar hata nape nnauye jina lake ni naumu sio nape?unahabar viongoz kama akina mwigulu,kubenea nk kuna utata katika elimu yao?Ili kuondoa dhana ya ubaguz kwanini hamuitishi uhakiki kwa kada zote zaid mnamlilia vyeti vya makonda tu?

Uhakiki umefanywa toka mwaka jana na mwaka huu ilikua imebakiza procedure chache tu mnataka makonda naye atumbuliwe,vyeti vyake vilihakikiwa lini?kama hoja ni haki kwanini sio wanasiasa na baadhi ya upinzan hawatak hoja ya uhakiki kwa viongoz wote?wao wanaamn haki ni angetumbuliwa makonda tu ambaye yuko kwenye kundi lao ambalo halikuhakikiwa.Jpm kafanyia kazi report iliyofanyiwa Kaz toka mwaka jana,ingekuwa maajabu ktk hiyo report kukuta jina la mtu ambaye hakuhakikiwa na ingekuwa ni kuendeshwa na mihemko.HOJA YENU IWE NA MASHIKO na msionekane mna conflict of interest na makonda kupitia wabunge hoja ya uhakiki ianze upya na ihusu viongoz wote.yaani wabunge,DC,rc na viongoz wote ngaz za juu.HAKI SIO KUMTUMBUA MAKONDA TU,HAKI SIO KUWATUMBUA WAALIMU TU,HAKI NI ZOEZI LIHUSISHE KILA KIONGOZI ANAYEPOKEA MSHAHARA KUTOKANA NA JASHO LA MTANZANIA.

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
Hapo nakubaliana nawe kwa maeneo fulani ila kuna sehemu sikubaliani na wewe. Zoezi la uhakiki wa vyeti halikuanzishwa na Wapinzani bali na Serikali. Baada yakuona kuwa kuna wapendwa wao watakaoangukia pua ktk hilo zoezi sheria zikapindishwa.
Sasa ukiwalaumu wapinzani kwakutolipigia kelele hujawatendea haki kwani wamelipigia sana lkn kiburi pamoja na ulevi wa madaraka hawakusikilizwa.
Ndugu yangu nakuomba kama mnahitaji kuisaidia nchi yetu basi kuweni wakweli. Hakuna sehemu wapinzani waliwahi kusema watu fulani ndio wakaguliwe vyeti vyao na wale wengine waachwe. Hili zoezi liliendeshwa na serikali ya chama cha mapinduzi. Sasa kama mapungufu yamejitokeza ni wajibu wao kulirekebisha na si kuwatupia lawama wakosoaji.
Nini maana ya Wapinzani? Mf Kama Serikali ya ccm wakisema tunanunua madawati Wapinzani wanaweza kusema hapana tujenge vyumba vya madarasa kwanza kwani mkianza na madawati mtayaweka wapi? Mwisho tutapata hoja ambayo ina mashiko nakuisaidia nchi yetu. Sasa ninyi ni wabaguzi wa kila kitu ilimradi tu limetoka upande wa pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu umeandika ukweli mtupu!ukiwa upinzani nchi hii ni kama DHAMBI lakini ni wazi kabisa ule umoja upendo heshima, hekima za muasisi wa taifa mwl nyerere umekwisha vunjwa na haohao wa chama alicho kiachia nguvu. Nawaza hao wenye mamlaka za juu wanafikiria nini kwa kizazi hichi wanacho kilea ipo siku wataacha madaraka watazeeka wataongozwa na hawahawa walio wapandikiza visasi sijui itakuaje MUNGU ibariki Tanzania,
Amen.
 
jamani wanaotudai huko nje wengine wakamate chochote chenye nembo ya Tanzania. dawa ya deni ni Kulipa. Mbona sumaye na Mbowe wameshalipa jamani tatizo nini?
 
Magufuri ana roho mbaya nashangaa anajiita mkristo... amefanya jamii ichukiane sana huyu Ndio adui wa kwanza kwetu!! Anafanya tuchukiane, ananyanyasa watu sababu tu ya ikulu!! Kuna watu webgine wameumbwa kufarakanisha huyu mmoja wao!! Kama wafuasi wake watasoma hapa mwambieni ya dunia tutayaacha hapahapa!! Kwa Mungu mbali..
That is very true

Na huyu jamaa ndiye atakayesababisha nchi iingie kwenye machafuko kutokana na tabia yake ya kuwa-treat viongozi wa upinzani kama wakimbizi haramu ndani ya nchi hii.

Hivi anawezaje kuwaagiza Polisi wake kwa mfano wamkamate Mbunge wa Bunda Esther Bulaya eti kwa kile ambacho anakiita kuwa yeye hataki mbunge wa upinzani wa Jimbo Fulani kwenda kujiunga na mbunge mwingine wa Jimbo lingine kufanya shughuli za harambee!

Hao Polisi wetu tunawaomba watutajie ni Ibara ipi ndani ya Katiba ya nchi yetu inayokataza Mbunge wa Jimbo Fulani kwenda kuungana na mbunge mwenzake wa Jimbo lingine kwa ajili ya kufanya harambee ya shughuli za maendeleo?

Hivi unyanyasaji wote anaowafanyia wapinzani, bado akisimama majukwaani anafanya unafiki wa hali ya juu kuwa eti yeye ni Rais wa watanzania wote na habagui mtu kutokana na Imani yake ya dini au itikadi yake ya kisiasa!

Lakini ambacho tunapenda kumtahadharisha Magu ni kuwa Mungu huwa hafanyiwi usanii, na yeyote anayefanya hivyo huwa anamshushia mapigo ya hali ya juu.

Mapigo mengine tayari tumeshaanza kuyaona yameshaanza kushushwa kama hilo la kukamatwa kwa Bombardier yetu huko Canada.
 
Back
Top Bottom