joyce mngongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 890
- 972
Wewe mtu wa Mungu,barikiwa sana.ccm wamediriki kusema siku za Lisu zinahesabika ni msaliti dawa yake ni kuuwawa !ila Lema kuonyeshwa tu magufuli asipo badilika atakufa,alivamiwa na polisi wote na kukaa ndani kama kaua ! Kwa hiyo ccm ni sawa kusema lolote na kuua wapinzani.sasa mmechokoza kila mtu,waislamu, wapinzani,wasio na vyama ccm wenzenu wasiopenda uhuni wenu,kote mmegusa na mikono yenu michafu. kitakachozaliwa hapo na mutungi kumtumia lipumba kuharibu CUF, ccm mtakijutia mpaka mwisho wa dunia.Mungu muone mtu wako huyu aliyeandika kwa unyenyekevu wa hali ya juu na busara mno,ili kusaidia kuiponya nchi.mpe magufuli busara ya kuona haya,kama ishara yakumtakia mema.ila akishupaza shingo kwakua yeye ni mbabe,Ivunje Mungu bila huruma.asante kwakua utachagua njia sahihi yakuvunja shingo yake kulingana na kiburi alichonacho,nakuamini mno kwa majibu yako sahihi kila nikuombapo,Amen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app