Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,617
- 287,350
Hakika mkuu .Mimi huwa napata shida sana kusema, "Raisi wetu." Nafsi inagoma kabisa.
Hakika mkuu .Mimi huwa napata shida sana kusema, "Raisi wetu." Nafsi inagoma kabisa.
Ndugu yangu hakuna sehemu jata moja nililo mention jina la Mh Makonda lkn wewe naona unalitumia sana kama refference ktk maelezo/majibu yako.Wanahoji haki kuhusu uhakiki hawahoji katika misingi ya haki Bali wanahoji ktk misingi ya siasa.na nilishawahi elezea sehem;tatizo sio vyeti vya makonda Ttz nafasi aliyonayo makonda.Ingetokea makonda sio mkuu wa mkoa wa Dar na hana chokochoko na ukawa basi zoez lingeonekana ni sahihi au la haki au kungetafutwa sabb nyingine kupinga. Kuna mdau humu aliwahi toa hoja kwanini upinzan usiunge mkono swala la uhakiki wa vyeti feki kwa wabunge toka upinzan kutafuta njia yyt kwenda kuverify vyet vyao?majibu aliyopata yanasikitisha sana.Sikusikia kelele toka upinzan kuhusu uhakiki kutokuwa haki coz sio kwamba hawakujua nn kinaendelea,walijua vizur tu lkn kutokana na wao kuwa wahanga ndo maana walikaa kimya na cha ajabu wakaanza kutafuta cheap politics baada ya matokeo kutangazwa.UPINZANI MAKINI NI PROACTIVE NA SI REACTIVE. Siasa za upinzan kudai makonda atumbuliwe ni NYEPESI mno na hazina mashiko zingekua na MASHIKO badala ya kwenda kumfungulia kesi makonda wao kwa UMOJA wao wangeishinikiza serikal kama walivokuwa wanashinikiza atumbuliwe kuwa tunataka ZOEZ LA UHAKIKI LIANZE UPYA NA SASA LIPITE NGAZI ZOTE.ila sema vyeti vya makonda sio Ttz na Ttz ni cheo chake ndo maana kelele ni nyingi mno.MAKONDA NI HATARI KWA USTAWI WA UKAWA DAR NA UKAWA NI HATARI KWA USTAWI WA MAKONDA DAR ndo maana kila mmoja akipata upenyo anataka kumwangamiza mwenzie. Mbinu na nguvu na sapoti sasa zimetofautiana.
posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
Ni kwel mkuu.lkn nimejibu kutokana na reference ya watu kumtumia makonda kama kigezo cha haki kutotendeka. Watu hawakosoi zoez zima zaid ya kuonesha makonda kaachwa kwa upendeleo na sabb kibao. Serikal ilikosea sana na ktk kuonesha hili lazima uanze kulaumu mfumo mzima sio kulaumu matokeo. Huwa nashangaa sana watu wanahoji y makonda kaachwa na wengine kutaka nae atumbuliwe kati zoez zima hakuna mkuu yyt aliyehakikiwa.Ndugu yangu hakuna sehemu jata moja nililo mention jina la Mh Makonda lkn wewe naona unalitumia sana kama refference ktk maelezo/majibu yako.
Swala nikwamba wale victim wa vyeti feki ni Mh pekee? Nilichohitaji kutoka kwako ni kutolea ufafanuzi wa wazi ulioonyeshwa na serikali ya ccm. Mh Makonda ingekuwa vema kama ungetumia jina lake kama reff kati waliopendelewa/kulindwa na serikali yako na sio kujaribu kumsafisha.
Waliotusababishia hasara kwa mikataba mibovu hadi hivi sasa hakuna hata aliyewahi kuhojiwa zaidi ya kuwakamata na kuwanyanyasa wale walioiinya serikali(Mh Lisu). Kama sio ubaguzi ni nn?
Hivi mnafikiri Watz waleo ni wale wale?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naogopa sana sanaNa kwa vile mamlaka inayohusika na ulinzi Wa RAIA haionyeshi kushtuka, watu wanaamini kuwa kuna uhusika. Jee wananchi wanapofikia kuidhania mamlaka waliyoiweka kuwa inahusika na kutoa roho wataendelea kuiunga mkono?
Uadui tayari umejengeka mioyoni, hivi vigelegele ni unafiki tuu Wa usoni
Hatari sana imeshakuwa sawa na mashariki ya kati mmoja anaruhusiwa kumiliki silaha na kuzitumia mwingine hatakiwi kwa sababu anahatarisha usalama wa mwenye silaha!kwa kuwa ni viongozi ruksa lakini hao wapiga kelele wasubiri kipindi cha kampeni.
Na isitegemee kuunganisha jamii kwa staili hizi za kibaguzi. Mimi nikisikia janga lolote kwa serikali hii nitalifurahia, hata likitokea tukio la kutoa uhai wa wote walio madarakani nitagonga mvinyo kwa furaha.Serikali haitaji pongezi za wasaliti mkuu!!
Na isitegemee kuunganisha jamii kwa staili hizi za kibaguzi. Mimi nikisikia janga lolote kwa serikali hii nitalifurahia, hata likitokea tukio la kutoa uhai wa wote walio madarakani nitagonga mvinyo kwa furaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Very true x 100 times........taifa letu limezidi kugawanyika. rais anaendelea kusambaratisha mshikamano wa taifa letu huku akishangiliwa.....
Na wananchi tusipoendelea kupaza sauti zetu kwa nguvu zetu zote hakika Taifa letu litaangamia!Tuna Rais wa ajabu haijawai kutokea narudia tena Tuna Rais wa ajabu haijawai naomba mnielewe hapo-tundu lissu