Kuwa mwangalifu mkuu!!Swali langu baya!! Je ni Nani anayewaua wale Watu wanaokutwa Kwenye viroba baharini?? Wanatoka wapi?? Imekuaje?? Kuna jambo linatisha Sana linafanyika chini kwa chini
Sent using Jamii Forums mobile app

Lakiniajabu ni kuwa ujinga wa watanzania wanamshangiliaMkuu OKW BOBAN SUNZU umesema kweli tupu..
Huyu aliyeingia awamu hii amekuja kuvuruga ule mshikamano na upendo uliokuwepo miongoni mwa Watanzania..
Yeye ajiulize kwanini watu wakimuona JK leo hii wanamshangilia na kumlilia..??!
Ni kwasababu JK alipenda watu wake. Wapinzani na wana CCM wote kwake ilikuwa sawa. JK anapendwa na watanzania sio kwasababu alikuza uchumi au huduma za kijamii, la Hasha..
Ni UPENDO wake kwa watanzania..
Natoa mfano mmoja ulio hai..
Bomoabomoa inayofanyika hivi sasa Maeneo ya Kimara na Mbezi along Morogoro Rd ilikuwa ifanywe na Jpm akiwa Waziri lakini JK alikataa.
Huyu alikuwa na UTU.
JPM hana chembe ya utu.
Mkuu wa Nchi unawezaje kumpa maelekezo kwenye public Spika wa Bunge aende akawashugulikie wabunge wapinzani Bungeni??
Unategemea Mwananchi wa Ikungi anapotoka Lissu akisikia Kiongozi wake anashugulikiwa bungeni kwa maelekezo ya Rais kwa Spika ataipenda serikali??
Huyu ni mbaguzi na amekuja kuharibu kabisa umoja wa watanzania.
Bahati mbaya umeongea kinyume..hana maono ya kuendeleza nchi?wenye akili tunamuelewa sanaMagufuli ni mvurugaji wa umoja wa kitaifa ni mkabila,mkanda,mfirisi nchi asiye na maono ya kuendeleza nchi aliyechanganyikiwa hajui kwa nini yeye ni raisi,wananchi tumkatae ikiwezekana tumuondoe kupitia bunge ili kunusuru nchi na kizazi kijacho
Bila shaka wote tunafahamu ni nani ametufikisha hapa! Jamii zinafanyiana ubaya-ubaya. Ubaya unalipwa kwa ubaya!
Nimekuwa nikifuatilia sana mijadala inayiendekea juu ya matukio ya kisiasa na kijamii yanayiendelea nchi hii. Kwa ufupi naweza kusema nchi imepoteza kabisa mshikamano.
Tumekuwa kama familia maadui na mahasimu kiasi kwamba kila familia inaiombea nyingine majanga au ishindwe katika jambo ful
Tumefikaje katika hatua hiyo?
Wapinzani na wafuasi wao wamejengewa chuki na serikali iliyopo madarakani. Serikali iliyopo madarakani imewafanyia wawakilishi wao ubaya.......imewabeza,imewafunga,imewadharirisha,imewatukana na kuwanyima haki zao za kikatiba! Wapinzani wamekuwa kama wakimbizi ndani ya nchi yao,kila wanachosema kinabezwa!
Lakini kubwa zaidi na linalouma ni kudhalilishwa na kufanyiwa ukandamizaji wa hali ya juu. Hili limeleta chuki kubwa sana.
Hata sharia ya makosa ya mitandao utekelezaji wake umekuwa wa kibaguzi. Wanaokamatwa ni wale wanaomkashifu Magufuli na CCM. Lakini Lowasa,Mbowe,Lissu,Maalimu Seif wanakashifiwa na kutukanwa sana. Hapo ndipo wafuasi wa niliowataja hapo juu wanaona kumbe sheria zinatungwa kibaguzi kama wakati wa makaburu South Afrika.
Mfuasi wa Tundu Lissu hawezi kuwa tayari kuiunga mkono serikali wakati unamtesa na kumdhalilisha mwakilishi wake. Mfuasi wa Bulaya na Heche anaona uonevu anaofanyiwa mbunge wake,hivyo amejengewa chuki ya hali ya juu sana. Serikali ikishindwa kwake ni furaha.
Serikali ielewe kwamba hivi ndivyo namna magaidi wanavyozaliwa,Boko Haram na Alshabaab ndivyo ilivyoanza,jamii moja kuona inaonewa na nyingine.
Maana yake ni kwamba Serikali imekuwa ikilazimisha mshikamano wakati matendo yake ni kinyume.
Wakati upinzani ukiomba intelijensia za nje kama CIA isaidie kumtafuta Ben Saanane serikali inasema hapana,hapo unategemea wafuasi wa Ben,wafuasi wa upinzani na ndugu wa Ben wanaitafasiri vipi serikali?
Rais Magufuli na dola ionekane ikitenda haki badala ya kusema tu wananchi waiunge mkono serikali!Binafsi naona kuna mambo serikali inafanya poa,lakini ninapooana wapinzani wananyanyaswa namna hii,najikuta sioni cha kuipongeza serikali,yoote yanakuwa yamemezwa kwenye uonevu
Hakuna popote duniani ambapo msaliti anabembelezwa. Angalia yule msaliti wa Marekani ambaye alitoa siri ya Marekani inadukua simu za marais wa ulaya ilibidi akimbie Urusi kujisalimisha angeendelea kukaa Marekani tungekuwa tumemsahau! Wakati Marekani tunasema wameendelea kwenye demokrasi. Msaliti hatambuliwi popote duniani kama mtu salama kwa nchi husika!Mheshimiwa Magufuli anatakiwa alete umoja katika jamii, asibague watu kwa itikadi zao, kitu anatakiwa atende haki na asikilize wapinzani wanasema nini, maombi ya upinzani sio ya kudharau, haya mambo ya kuwafunga mara kuwazuia wasifanye mambo ya mikutano yanaleta chuki katika jamii, suala Zima la umoja na ushirikiano katika jamii Kwa kweli Mh Rais hafanyi vizuri.
Jk Alikataa barabara SITA?Mkuu OKW BOBAN SUNZU umesema kweli tupu..
Huyu aliyeingia awamu hii amekuja kuvuruga ule mshikamano na upendo uliokuwepo miongoni mwa Watanzania..
Yeye ajiulize kwanini watu wakimuona JK leo hii wanamshangilia na kumlilia..??!
Ni kwasababu JK alipenda watu wake. Wapinzani na wana CCM wote kwake ilikuwa sawa. JK anapendwa na watanzania sio kwasababu alikuza uchumi au huduma za kijamii, la Hasha..
Ni UPENDO wake kwa watanzania..
Natoa mfano mmoja ulio hai..
Bomoabomoa inayofanyika hivi sasa Maeneo ya Kimara na Mbezi along Morogoro Rd ilikuwa ifanywe na Jpm akiwa Waziri lakini JK alikataa.
Huyu alikuwa na UTU.
JPM hana chembe ya utu.
Mkuu wa Nchi unawezaje kumpa maelekezo kwenye public Spika wa Bunge aende akawashugulikie wabunge wapinzani Bungeni??
Unategemea Mwananchi wa Ikungi anapotoka Lissu akisikia Kiongozi wake anashugulikiwa bungeni kwa maelekezo ya Rais kwa Spika ataipenda serikali??
Huyu ni mbaguzi na amekuja kuharibu kabisa umoja wa watanzania.
Umeongea vitu vya ukweli mtupu by 100%Bila shaka wote tunafahamu ni nani ametufikisha hapa! Jamii zinafanyiana ubaya-ubaya. Ubaya unalipwa kwa ubaya!
Nimekuwa nikifuatilia sana mijadala inayiendekea juu ya matukio ya kisiasa na kijamii yanayiendelea nchi hii. Kwa ufupi naweza kusema nchi imepoteza kabisa mshikamano.
Tumekuwa kama familia maadui na mahasimu kiasi kwamba kila familia inaiombea nyingine majanga au ishindwe katika jambo fulani.
Tumefikaje katika hatua hiyo?
Wapinzani na wafuasi wao wamejengewa chuki na serikali iliyopo madarakani. Serikali iliyopo madarakani imewafanyia wawakilishi wao ubaya.......imewabeza,imewafunga,imewadharirisha,imewatukana na kuwanyima haki zao za kikatiba! Wapinzani wamekuwa kama wakimbizi ndani ya nchi yao,kila wanachosema kinabezwa!
Lakini kubwa zaidi na linalouma ni kudhalilishwa na kufanyiwa ukandamizaji wa hali ya juu. Hili limeleta chuki kubwa sana.
Hata sharia ya makosa ya mitandao utekelezaji wake umekuwa wa kibaguzi. Wanaokamatwa ni wale wanaomkashifu Magufuli na CCM. Lakini Lowasa,Mbowe,Lissu,Maalimu Seif wanakashifiwa na kutukanwa sana. Hapo ndipo wafuasi wa niliowataja hapo juu wanaona kumbe sheria zinatungwa kibaguzi kama wakati wa makaburu South Afrika.
Mfuasi wa Tundu Lissu hawezi kuwa tayari kuiunga mkono serikali wakati unamtesa na kumdhalilisha mwakilishi wake. Mfuasi wa Bulaya na Heche anaona uonevu anaofanyiwa mbunge wake,hivyo amejengewa chuki ya hali ya juu sana. Serikali ikishindwa kwake ni furaha.
Serikali ielewe kwamba hivi ndivyo namna magaidi wanavyozaliwa,Boko Haram na Alshabaab ndivyo ilivyoanza,jamii moja kuona inaonewa na nyingine.
Maana yake ni kwamba Serikali imekuwa ikilazimisha mshikamano wakati matendo yake ni kinyume.
Wakati upinzani ukiomba intelijensia za nje kama CIA isaidie kumtafuta Ben Saanane serikali inasema hapana,hapo unategemea wafuasi wa Ben,wafuasi wa upinzani na ndugu wa Ben wanaitafasiri vipi serikali?
Rais Magufuli na dola ionekane ikitenda haki badala ya kusema tu wananchi waiunge mkono serikali!Binafsi naona kuna mambo serikali inafanya poa,lakini ninapooana wapinzani wananyanyaswa namna hii,najikuta sioni cha kuipongeza serikali,yoote yanakuwa yamemezwa kwenye uonevu
JamaniMali ziendelee kushikiliwa tu. Natamani sana Magufuli ashindwe!
We nawe unaongea ujinga tupu! Jua kwamba kwa kipindi kirefu watz tulipoteza uzalendo. Kwa sasa uzalendo umerudi Mara dufu, bado tu kwa wapiga dili kama wewe na wenzio wachache.Bila shaka wote tunafahamu ni nani ametufikisha hapa! Jamii zinafanyiana ubaya-ubaya. Ubaya unalipwa kwa ubaya!