Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

Status
Not open for further replies.
Wewe Bocho kweli hujielewi kusalitiwa kwa
Bwana Yesu na yuda hakitengenezi uhalali
Kuwa usaliti ni mzuri na ndio maana maandiko
Yameorozesha usaliti ni moja ya mambo
Ambayo yanatambulika kuwa ni dhambi
Sasa Wewe unahalalisha nini
Mungu anachukia dhambi ya usaliti
Kusaliti sheria ni kusaliti maamuzi halali
Ndivyo alivyo alinyofanya msaliti wenu
Zito: na Wewe unaewatofautisha BwanaYesu
Na Mungu Baba kiutendaji ni kipofu
Mwenye macho ya kuona ila haoni ndivyo
Mlivyo Maccm wengi Giza tu🔒
 
Mkuu mageti sita kwa hyo mmeshawalipa wote hamna anayewadai?
 
daah makamanda nyie noma sana watu wakiwa hawako upande mnawaita mateja wakiwa upande wenu wanakuwa watu safi kabisa
 
Nilijiulizaga Sana Kwamba Kwanini Mzee THOMAS Nyimbo Alijitoa Chadema, Sasa Jibu Ninalo Nyimbo Your Skillfull Man!
 
Chadema ni zaidi ya ZZK. Kwa hiyo na afukuzwe tu ili tuwe na aman ndan ya chama chetu
 
SONG dedication to ZZK chochea kuni by MRISHO Mpoto na salamu zangu kwako mjomba by Mpoto
 
Mkuu njoo posta uone halaiki badae

Halaiki ya MaCCM ........................ Wewe ni CCM Blood In Blood out kila mtu humu JF anakujua. Sasa unaposema na wewe upo huko halafu unasema ni CDM ......................... twambie hiyo design mpo wangapi?? Ritz umemuacha wapi!!??
 
Mkuu Endeleza Hii Thread Mpaka Mahakamani Yeriko Anaandikaga Uongo Mwingi
 
MACCM mnahangaika na siasa za kishamba,hakuna mwanachama hi wa CDM anayeweza kufanya huo upuuzi wenu! maamuzi ya cc ya cdm yapo palepale!
 
Naona sixgate umevaa wigi..........hongera

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
berenya, uko sawa! ZZK hayuko kwenye "ndoa ya kikristo" kwamba mpaka kifo, aondoke, HATUTAKI watu WASIOELEWEKA!
 
Baada ya hukumu ya pingamizi la Zzk kutosomwa jana kuaahirishwa mpaka leo saa nane mchana, hali ya taharuki kutokaana na matokeo ya hukumu hiyo imetanda, yamkini hukumu hiyo haikusomwa jana kw sababu ya tamko la mwanasheria wa CDM kuhusu uwepo wa Zitto CDM ni kw sababu ya kimahakama,kw hiyo mahakama inatambua impact ya maamuzi yaake leo.

Nimepita manzese nimepita buguruni, sasa tupo temeke mwisho tunatoka kuelekea mwembe yanga (sio viwanjani), yapo magari, na mapikipiki yamechomekeza bendera za chadema (wanasema wao ni wanachama,wanakuja H.C na kadi zao) woote ni #teamZitto ..nimepenyezewa ratiba ya wafuasi haawa wa Zitto naambiwa watawapitia wenzao wa buguruni, watapita manzese then wataingia mjini posta wakilakiwa na kundi jingine ambalo limejiandaa kuwafanyia mapokezi.

Historia inakwenda kuandikwa ambapo jiji la DSM litasimama kw muda kusubiri hukumu hiyo ya kihistoria mbayo itaandika dibaji katika harakati mpya za kidemocrasia.

-------------------------
-------------------------
More info:
Zitto anatarajiwa kuongea na wana wa hili taifa mida ya saa kumi, tutaawjulisha venue itaakuwa wapi..

---------------
---------------
Picha

Nitaendelea kuwaleteeni taarifa

attachment.php


--------------------------
--------------------------
Tumesimamishwa na polisi wale wa "pikipiki" (vodafasta) wanadai wametuona saa nyingi na hwatambui ni nini kinaendelea, wamekagua magari na pikipiki. Pikipiki zimeachiwa, gari niliopo aina ya Harrier limekutwa bima imeisha kama ina siku nne, wanapambana na dereva kidogo aliwajibu vibaya police kw hiyo wamekataaa gari isitoke wanataka tuende kituoni.

------------------
------------------
TAAHADHARI
Wapo kundi la vijana ambao ni wakutengenezwa nasikia wanasubiri tukifika HC waje kuanzisha fujo wajidai wanadai hela kutoka kwetu, eti tumewanunua n hatujawlipa..ninachosema hakuna anaetudai.
Naona CCM na NCCr ndio mnahamasisha watu wanunue bendera za CDM na kumshangilia Zito kumbe kweli kijana alikuwa anawatumikia?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom