Team zzk!!oyeeree
mkuu umenena..hapo ndo ujue wanavyomtumia..lumumba wanakesha kwaajili ya hii kesi..wanaacha kushughulika na jinsi gani watamshawishi mzee wa magogoni ili awapunguzie wananchi wake kupanda kwa gharama za umeme wao wanashughulika na kupandikiza migogoro kwenye vyama.wao hawajui mwananchi anakupenda wakati anapoona makali ya maisha yanapungua na serikali kuonyesha ina uchungu na kupanda kwa vitu .Nayo magazeti yetu ni ya ovvyo sana..kipiti hiki ndo wangekuwa wanaandika jinsi wananchi wanavyolalamika na kupanda kwa bei ya umeme yao yameegemea siasa tu.wangeandika kama mara tatu au nne kwa magazeti tofauti serikali ingepata woga na ingefikiria namna ya kufanya..waandishi wamekaa kimya kama vile huu upandaji haujawagusa..hiki ndo kipindi cha kupiga kelele kuanzia redioni,magazetini,na sehemu mbalimbali zenye mjumuiko wa wananchi,,serikali isikie kilio chetu cha upandaji wa umeme kwani inapandisha gharama za maisha,na kila kitu kinapanda.
Kw hyo unataka tukisaidieje?Tumesimamishwa na polisi wale wa "pikipiki" (vodafasta) wanadai wametuona saa nyingi na hwatambui ni nini kinaendelea, wamekagua magari na pikipiki. Pikipiki zimeachiwa, gari niliopo aina ya Harrier limekutwa bima imeisha kama ina siku nne, wanapambana na dereva kidogo aliwajibu vibaya police kw hiyo wamekataaa gari isitoke wanataka tuende kituoni.
ccm acheni kuingilia mambo yasiyowahusu.
Mkuu nimependa utoaji wako wa habari/ Updates. Nakuomba leo usikose kuwepo Mahakamani kutujuza kipi kiendeacho pale. Nimechoswa na utoaji wa Updates ufanywao na ndg YERICO NYERERE maana ni wakimipasho na hawezi ku balance habari. Nakuomba sanatena tafadhar.Baada ya hukumu ya pingamizi la Zzk kutosomwa jana kuaahirishwa mpaka leo saa nane mchana, hali ya taharuki kutokaana na matokeo ya hukumu hiyo imetanda, yamkini hukumu hiyo haikusomwa jana kw sababu ya tamko la mwanasheria wa CDM kuhusu uwepo wa Zitto CDM ni kw sababu ya kimahakama,kw hiyo mahakama inatambua impact ya maamuzi yaake leo.
Nimepita manzese nimepita buguruni, sasa tupo temeke mwisho tunatoka kuelekea mwembe yanga (sio viwanjani), yapo magari, na mapikipiki yamechomekeza bendera za chadema (wanasema wao ni wanachama,wanakuja H.C na kadi zao) woote ni #teamZitto ..nimepenyezewa ratiba ya wafuasi haawa wa Zitto naambiwa watawapitia wenzao wa buguruni, watapita manzese then wataingia mjini posta wakilakiwa na kundi jingine ambalo limejiandaa kuwafanyia mapokezi.
Historia inakwenda kuandikwa ambapo jiji la DSM litasimama kw muda kusubiri hukumu hiyo ya kihistoria mbayo itaandika dibaji katika harakati mpya za kidemocrasia.
-------------------------
-------------------------
More info:
Zitto anatarajiwa kuongea na wana wa hili taifa mida ya saa kumi, tutaawjulisha venue itaakuwa wapi..
---------------
---------------
Picha
Nitaendelea kuwaleteeni taarifa
![]()
--------------------------
--------------------------
Tumesimamishwa na polisi wale wa "pikipiki" (vodafasta) wanadai wametuona saa nyingi na hwatambui ni nini kinaendelea, wamekagua magari na pikipiki. Pikipiki zimeachiwa, gari niliopo aina ya Harrier limekutwa bima imeisha kama ina siku nne, wanapambana na dereva kidogo aliwajibu vibaya police kw hiyo wamekataaa gari isitoke wanataka tuende kituoni.
Inawezekana ndiyo sababu ya zitto kuambiwa aende mahakamani;
walishaona hali ya uvunjivu wa amani.
Chadema bila zitto ni sawa na debe tupu.
Mkuu Jitahidi japo kwa dakika moja tu kuitumia akiliyako ipasavyo. Unatakiwa ujue Siasa na dini ni vitu viweli visivyo fanana.kweli aisee! mbona hata wachungaji wakiona wamepata waumini wengi anaanzisha kanisa lake.
Mkuu tuombeane, nimependekezwa kwenye bunge la katiba
Mkuu nimependa utoaji wako wa habari/ Updates. Nakuomba leo usikose kuwepo Mahakamani kutujuza kipi kiendeacho pale. Nimechoswa na utoaji wa Updates ufanywao na ndg YERICO NYERERE maana ni wakimipasho na hawezi ku balance habari. Nakuomba sanatena tafadhar.