LIVE Kinachoendelea kwenye mapokezi ya Miss Grand Jihan Dimack

LIVE Kinachoendelea kwenye mapokezi ya Miss Grand Jihan Dimack

Live coverage on JamiiForums

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,267
Reaction score
3,922
Habari Wakuu,

Kampeni ya Miss grand International bado inaendelea, na sasa tupo episode ya Mapokezi.
Mshindi wa Miss grand International Jihan Dinmack anatarajiwa kuwasili nchini leo Oktoba 17, 2026 ambapo Watanzania wamejitokeza kuelekea uwanja wa Kimataifa Mwalim Julius Nyerere kwa mapokezi

Vipi wakuu mmeenda?




​
Niffer ameshafika na Wanyama huku



Wamaasai pia tuliambiwa tuwepo



​
Watanzania walivyocharuka huko Airport🙌🙌


​
Miss grand International, Jihan Dinmack pamoja na Muanzilishi wa Mashindano hayo Papa Nawat walivyowasili kwa ndege ya kampuni ya Ethiopia.

Kumbe Air Tanzania haipo Thailand?


​
Rayvanny aishukuru Serikali kwa kulifanya jambo la Miss grand kuwa kubwa zaidi


​
Niffer ampokea Papa Nawata wa Miss grand😂

Msemaji wenu wa ufafanuzi, Gerson Msigwa yuko airport na heka heka za kumpokea Jihan


Papa Nawat na Jihan wakataa kuepeperusha Bendera ya Samia


 
Naiona misukule iliyo enda ubalozi wa Vatican kipindi kile ikilalamika kutukanwa na kiongozi mmoja wa dini
Screenshot_20261017-103337.png
 
Yakiitishwa maandamano ya kudai HAKI , KATIBA pamoja na TUME HURU YA UCHAGUZI hamjitokezi, lakini mambo yasiyokuwa na maana kama haya mnajitokeza kama wote. Ma.mae zenu wote kwenye huo msafara, na lolote baya liwakute
 
hebu mnambie faida au kinachowap furaha kutokana na J kutangazwa mshindi ili na mimi nianze kusherehekea huo ushindi tafadhari
 
Back
Top Bottom