Tuanze wote , mkuu tupigie debe wanasayansi na wanahesabu wetu wawekewe mazingira ya kufanya hivyo. Sidhani kama upo tayari kuwafitini wasiwezeshwe.Kila mtu anaenda kule anapo shabikia sasa wewe wkitaka kuja ulisha wahi kuhamasisha watu muende?

Hahaa.....Watu wa Dar miaka yote maisha yao ni kupoteza muda ,hapo wakifika sehemu watasababisha foleni ya magari kwa vurugu zao.
Labda wanasubiri siku wewe ukiileta hiyo Nobel prize kwenye hayo masuala ya kisayansi na hesabu.Hivi ni lini pia tutafanya gwaride la kumpokea mshindi mtazania wa Nobel Prize kwenye masuala kisayansi, na hesabu ?
Ujinga mtupu yaani kwenye mambo ya msingi tumelala ila hayo mengine sasa ! Na kuna wanaume wengi tu wapo huko sijui hawana kazi za kufanyahebu mnambie faida au kinachowap furaha kutokana na J kutangazwa mshindi ili na mimi nianze kusherehekea huo ushindi tafadhari
Mi sio shabiki wa huko Kila mtu apambane na Hali yakeTuanze wote , mkuu tupigie debe wanasayansi na wanahesabu wetu wawekewe mazingira ya kufanya hivyo. Sidhani kama upo tayari kuwafitini wasiwezeshwe.
Hii itafanyiwa kazi. Asante sana.Labda wanasubiri siku wewe ukiileta hiyo Nobel prize kwenye hayo masuala ya kisayansi na hesabu.
Ujumbe umefika. Na umeeleweka kuwa haupo tayari kusaidia kada nyingine tofauti na ya kwako iwe kwa hali ama mali.Mi sio shabiki wa huko Kila mtu apambane na Hali yake
Mwinyi hajafa?R.I.P NYERERE,MKAPA &MAGUFULI
Bado namwona yupo!Mwinyi hajafa?