Kinachoendelea kwenye mapokezi ya Miss Grand Jihan Dimack

Kinachoendelea kwenye mapokezi ya Miss Grand Jihan Dimack

Habari Wakuu,

Kampeni ya Miss grand International bado inaendelea, na sasa tupo episode ya Mapokezi.
Mshindi wa Miss grand International Jihan Dinmack anatarajiwa kuwasili nchini leo Oktoba 17, 2026 ambapo Watanzania wamejitokeza kuelekea uwanja wa Kimataifa Mwalim Julius Nyerere kwa mapokezi

Vipi wakuu mmeenda?

Niffer ameshafika na Wanyama huku


Wamaasai pia tuliambiwa tuwepo

R.I.P NYERERE,MKAPA &MAGUFULI
 
bread and circus (mkate na sarakasi) ...

1792228319573.png
 
Kina Juma Lokole na Anko unaweza vipi kuwahesabu kuwa ni wanaume?

Hapo ukiona jinsia nje ya jinsia ya kike ujuwe ni mabwabwa huyo, hakuna mwanaume ambaye hata kama hana kazi ya kufanya eti kitoto kama Niffer kimuingize mkenge kwenda airport kwa upuuzi huo.
Naona rais wa Burkina Faso kaondoa mambo hayo,maarufuku

Ova
 
Back
Top Bottom